Kabla sijawa tajiri kama kuna mtu anataka kufa, afe kabisa

Mkogoti

TAPELI Mkubwa
May 3, 2020
2,416
3,912
Habari za mida Hii!?

Nasemaje kama nafoka nitafoka sana tu ni hivi maisha unatafuta kwa nguvu zote unapigana huku na kule,

Sio baadae Niwe Tajiri ndio ufe, Nionekane nimekutoa kafara hiyo haipo na nikisikia maneno hayo wote napiga risasi, mtu unapambana kwa hali na mali jua na mvua dili likatiki hata tu la betting pale,

Haki ya nani wote ni shaba. 🧐

Niwatakie Jumapili njema.

Nimemaliza na naondoka kama ifuatavyo 🤪🤦🏃
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom