Nakumbuka zamani mfano nikitaka kuona nyuzi za member fulani humu jamiiforums naminya profile yake nakuta kuna kitufe cha kuangalia threads zake zote.
Ila baada ya kile kipindi JamiiForums kulinda taarifa za watu zisionekane kama email waliyojisajilia basi hii ishu ikabana hadi kusiwe na ile...
Wakuu mnakumbuka mwaka flani Jay-Z alikua nomenated kwenye cartegories 8 kwenye tuzo za GRAMMY lakini mwisho wa siku akaambulia zero (sifuri) yaani 0/8?
Naona GRAMMY walikusudia kumdhalilisha Jay-Z lakini unajua Jay-Z mwenyewe alifanya nini kuonesha kwamba kwake ile haikua big issue?
Kwanza...
Binafsi kura yangu ni kitu muhimu sana. Kabla sijampa mtu huwa natafakari kwa kina na siwezi kupiga kura kwa mihemko. Siwezi kumpigia kura mgombea mwenye kauli kama hii.
Uchaguzi na propaganda ukaa pamoja siku zote. Lakini propaganda zisivyopangiliwa vyema zinaweza kuwa mwiba kwa anayesimuliwa.
CCM fanyeni maamuzi magumu, kubalini kuwa Polepole amepwaya kwenye hiyo nafasi, kubalini kuwa ni kipindi Cha kutafuta wabobezi waingie kazini si kuruhusu watu kama...
Watu wa chama Tawala jengeni hoja mkiwashawishi wananchi wawachague, wao wanajua Nani Ni makini na Nani siyo makini. Mkikosa kutambua sifa za mgombea Urais
Ni zipi msitulazimishe kwa sifa ambazo azikuandikwa, sifa ya makini sijui mzoefu subirini iandikwe kwenye sheria lakini Kama haipo sisi...
MJUMBE wa Kamati kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Kassim Majaliwa amesema kiti cha urais siyo cha mchezo, kinahitaji mtu makini.
“Uongozi wa nchi siyo jambo la mchezo, linataka kiongozi makini, kiongozi anayetetea rasilmali na anayetetea wanyonge dhidi ya rushwa na ufisadi,” amesema...
"MTOTO WA NYOKA NI NYOKA"
Na, Robert Heriel
Panya huzaa panya
Paka huzaa paka
Mbwa huzaa mbwa.,.....n.k
Mtoto wa nyoka ni nyoka, wahenga walisema kisha wakaongezea, maji hufuata mkondo. Baadaye Yesu wa Nazareth akasema; huwezi chuma tini kwenye zabibu" Hii ni kusema, muembe huzaa maembe...
Kwanza nikiri wazi kwamba mtaji wa siasa ni maneno matamu, lakini siasa ni adui mkubwa wa ufahamu na nirafiki wa shetani, mwanasiasa si wa kumwamini 100% kwa sababu siasa ndio chanzo mabaya yote duniani.
Tokea nimemfahamu mtu aitwaye Tundu Lissu nimejifunza kitu baada ya kufuatilia watu...
Huyu mtu pamoja na kiburi alichonacho, hivi sasa anaishi kwa hofu na mashaka kwani anajua lolote linaweza kutokea Oktoba 28 na ndio maana mnamuona anahangaika kutoa kauli za kujaribu kurekebisha makosa yake ya Siku za mwanzo (kavurugwa).
Ukweli ni kwamba, anajua uwezekano wa yeye kushinda ni...
Hivi ni mimi tu pekeangu huwa najionea kwa hawa ndugu zangu weusi wakiwashangaa white people's! Akionekana muzungu anatembea iwe kwa miguu ama kwa gali wanamshangaa, akionekana mwarabu, mhindi ama mchina wanamshangaa ata kama wanaishi mji mmoja but watamshangaa tu,kana kwamba awajawai kuwaona...
Kwenye maisha ya kila siku tunakuwa tunakutana na watu mbalimbali kuna time tunahitaji majibu ya ukweli especial kwenye mahusiano. Hizi ni alama za kutambua kama mtu anadanganya.
1. If he raises his eyebrows when he says "How would I know", then he probably knows.
2. Ask him questions. If he...
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums.
Ndugu yangu;
Mtanzania Raia Mpenda Misifa: Ukiambiwa umefanana na mtu wa usalama wa taifa usifurahie wala kuchekelea. Hiyo sio sifa njema hata kidogo. Unaweza ukadhurika au kuuwawa kwa bahati mbaya (Mistaken Identity);
Huko mtaani mnapoishi...
Habari wana JF!
Please, kama kuna mtu ana kile kibao cha yule mwanamuziki Munishi kinachoitwa CCM naomba anipatie hapa.
Yule jamaa yupo wapi siku hizi?
"miss sana yule mtu"
Msaada, kazi yoyote inahitajika.
Habari ndugu na poleni na michakato ya uchaguzi, kijana hapo chini anatafuta ajira lakini pia anaweza kufanya freelancing yaani kama una kazi ya mara moja unampatia kwa makubaliano.
Elimu: Bachelor's degree(IT)
Experience: 5 years. - Network and System...
Rais amesema anashangaa sana kuona mtu anajitokeza kumpinga Dkt. Mpango, kwani kwa namna Dkt. Mpango alivyosimamia uchumi vizuri, hakupaswa kupingwa na mtu yeyote.
Cha ajabu ni kwamba, muda mfupi kabla ya kusema hayo mheshimiwa alisifia ukomavu wa demokrasia ndani ya CCM.
Kwakweli Kama tunataka mustakabali mwema wa taifa Basi tufwate matakwa ya wananchi. Waacheni watu wachague wamtakae msiwachagulie watu Nani wa kuwatawala. Mfumo wa Sasa umemfanya kila mtu kuwa mateka (terrorised) society.
Binadamu amezaliwa huru kabisa na mungu ametupa Uhuru toka day one...
S.hikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums.
Ndugu zangu watanzania;
Hivi mnajua, kuna mtu anaweza asikupe pesa kwa sababu hana kwa wakati huo, lakini akakupa ushauri wa maana wenye thamani mara 3 zaidi ya pesa uliomuomba?
This is my true story
=========
Siku moja nikiwa chuo kikuu...
Kwanza nimeshindwa kuamini nilipo iona hiyo clip kwa mara ya kwanza Maana mkono wa huyo mama unatereza juu ya nyuzi za gita kama moja ya mikono ya wale viumbe walioumbwa pamoja na lusifa
Sasa nisikuchoshe video ina dakika 2 na sekunde 42. Nina uhakika ukifika sekunde ya 58 utakuwa umeshakubali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.