Tujifunze kumsifia mtu akiwa hai hiyo ni heshima na kwa Mungu pia

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
52,368
24,092
Vyemaa tukaelimishana tulipotoka na tunapoenda. Watanzania wengi husubiri kumsifia mtu pale waaposika amelala anaitwa hayati ama marehemu

Wengi huonà hapa ipo muda muafaka kumsifia marehemu. Ndugu zangu nimekuwa nikilaani sana marehemu hasemwi vibaya sababu hawezi tena kujitetea

Hivyo hivyo wakati muafaka wà kuwapongeza viongozi wetu mahiri waliofanya makubwa kwenye nchi hiii wakiwa hai na hii mnapata thawabu toka kwa Mungu wetu

Na wao wanajisikia kweli kabisaa walijitahidi kufikisha nchi na wananchi wameliona hilo na kuwaheshimu. Bado hatujachelewa wana wa Mungu aliye hai mkiona maendeleo pata muda wa kusifia na kuheshimu hilo

Mungu awalaze mahali pema peponi wote waliosaidia kufikisha Tanzania yetu kwenye ubora huu leo hii awapo nasi tena

Bwana ametoa bwana ametwaa, Jina lake lihimidiwe
 
Sanaa mkuu
UNAWEZA hisi walikuwaa wanasubiria rambirambii nn
 
Back
Top Bottom