Travis Walker
JF-Expert Member
- Apr 10, 2017
- 323
- 332
Katika mada inayonivutia sana ni hili jambo la kusafiri kwenye muda lakini pia ni jambo ambalo nahisi lina utata au lisilowezekana kabisa.
Wanasema muda ni kama snapshot ambazo zimeanza kujipiga tokea ulimwengu umeanza mpaka utakapomaliza halafu zika rewind mwanzo kabisa ndipo wakati ukaanza kuhesabu hizo snapshot. Kwa dhana hii ina maana matokeo yote yaliyokushapita, yaliopo, na yanayokuja siku za usoni yamehifadhiwa katika muda hapo awali. Na hapa ndipo wanaposema, kusafiri mbeleni kwenye muda yaani katika future au kurudi nyuma ya muda yaani past inawezekana.
Basi hapa huwa inanishawishi sana niamini suala hili, lakini wanaposema muda unaenda na matokeo hapo ndipo ninapohisi haiwezekani, yaani eti wewe kama utafanikiwa kurudi nyuma ya muda utayakuta maisha ya bibi yako alipokuwa hai, na siyo hivyo tu, bali unaweza hata kuongea nae na hata kuumua pia ikibidi inawezekana.
TIME TRAVELLING
Mada ya time travelling imeanza kuzuka mara baada ya Albert Einstein alipogundua Theory of relativity . Nadharia hii inazungumzia uhusiano wa fizikia na mvuto katika muda. Yaani muda huathiriwa na fizikia pamoja na mvuto (Gravitiy). Athari hutokea wakati kasi ya fiziki na mvuto inapozidi ama kupungua. Ili kuelewa vizuri, naomba nikupe mfano huu. Anatembea kwa miguu masafa ya kilo mita 10 pengine huchukua lisaa limoja lakini anaetembea kwa gari atachukua dakika 10, na yule anaesafiri kwa kutumia ndege pengine atachukua 1 au sekunde chache. Hicho albert kwa ufupi alichokigudua.
WARM HOLE THEORY
Lakini pia, wormhole tehory ikaja kuunga mkono juu ya uwezekano wa ishu ya Time-travelling. Hii ni theory inaoelezea katika duni kuna wormhole ambazo ni kama shortcut za kutokezea upande mwengine wa ulimwengu au katika future ya muda kwa muda mchache zaidi. Hapa ndipo wanasayansi wakapata nguvu na kusema time-travelling inawezekana kama kutatengezwa kitu kinachoitwa Time Machine. Ili hiyo time machine ifanye kazi lazima watu wagundue wapi inapatikana wormhole na pia mashine hiyo iwe na uwezo kusafiri kwa speed ya mwanga yaani kasi zaidi kulikoni unavyowasha tochi na kufika kwenye ukuta. Basi yakiwezekana hayo watu wataweza kurudi nyuma ya muda kuona maisha ya zamani lakini pia wanaweza kwenda mbele yaani kunako kesho kama unavyokwenda kariakoo na kurudi nyumbani.
WATU WANAODAI WALISAFIRI KATIKA MUDA
Kuna hadithi zinazosimulia eti kuna watu waliyowahi kusafiri kwenye muda. Kama ni hivyo basi kuna watu wanazo hiyo time machine au itakuwa wamesafiri kwa miujiza.
UFAHAMU WANGU JUU YA HILI.
Pengine ni kweli inawezekana kusafiri kwenye muda na kuweza kuona matokeo yote lakini katika mfumo wa uono yaani vision. Kwasababu huwezi kusema eti umedondosha glass halafu ikavunjika baadae useme utasafiri kurudi nyuma katika muda na kuikuta glass hiyo bado ni mzima na kuweza kuitumia. Hapa ndipo ninapohisi utata kuamini kama nadharia hii inawezekana.
Kwangu hapa nimefika mwisho. Na nasubiria uelewa wako juu ya hili .
Thanks