kiukweli nimeogopa ujasiri alionao TL. Hajaogopa wanaotaka kumuua maana bado wapo kwa kuwa bado hawajakamatwa, hajaogopa mateso ambayo yanaweza kumkuta kutoka kwa wenye mamlaka. Hakika huyu bwana ni shujaa, anafaa kupewa nchi, hatawaogopa wale walitufikisha kwenye hili lindi la umasikini kwa...
Nakumbuka nilirudi likizo Mwaka 1999 Nikakuta mzee anayo simu ya Motorola kubwa nikashindwa kuitofautisha na radio call aliyokuwa anatumia na simu ya motorola aliyokuwa nayo na kipindi hicho ndio huduma za simu zimeanza kutolewa kwenye vibanda vya wafanyabiashara. Cha kushangaza ilikuwa...
Yafuatayo yafanyike baada ya kutua uwanja wa ndege JKNIA
Kumnyang'anya passport ya kusafiria mara moja na jina lake liwe blacklisted kwenye mfumo wa waombaji Passport uhamiaji yaani yeye asije tena kupewa passport ya kusafiria maisha yake yote
Uchunguzi wa shambulio lake uanze Mara moja siku...
Lissi kafanyiwa mahojiano(kwa lugha ya kingereza) huko Ubelgiji(probably leo) kuhusu swala zima la kama tutarajie uchaguzi huru na wa haki, ila alivyojibu,ni wazi mwenzetu huyu sUala la kutegemea uchaguzi huru na wa haki, kwake halipo kabisa kwani ameonyesha wazi hatarajii hilo kutokea, ila...
Kwa utaratibu uliowekwa na CCM kwa wagombea kutofanya Kampeni kwenye kura za maoni,ni wazi sasa wote waliopata kura moja au sifuri ndio ambao hawajatoa rushwa au kukutana na wajumbe.
Swali ni je CCM ambayo huchukua mshindi wa kwanza hadi wa nne,inaweza kuvunja utaratibu mwaka huu na kuchukua...
Umeoa kanisani ila kweli maisha ni mduara.
Unaingia kwa mdada na pete ya ndoa kwenye geto lake unamla bila wasiwasi unajisifu kuwa wewe ni malaya mzoefu unafuliwa mpaka nguo unamnunulia vitu vya gharama what?😟😪 yaani hadi aibu .
Sijui hata kama kwako unamlipia vyote kama hivi mkeo , sijui wa...
Wana JF,
Jimbo la Kawe ni jimbo lililosheheni viongozi wengi vichwa, mpaka sasa kuna Mawaziri wakuu wastaafu watatu, makatibu wakuu karibu wote. Jimbo hili linataka mtu kichwa tu, si kwa kuwa na hela nyingi eti utafanya kampaini, la hasha. Lenye vituo vya mafuta, lina migogoro ya ardhi tu...
Huu Uzi hauna kejeli, matusi wala dhihaka. Huu uzi umebeba ukweli mchungu (a bitter truth) ambao wengi hawaupendi.
Kama Magufuli angesimamishwa na MwanaCCM yeyote imara kuwania tiketi ya kupeperusha bendera ya CCM 2020 katika ngazi ya Urais asingeshinda.
Mioyoni mwa wanaCCM kuna siri na ajenda...
Mahmoud Mousavi Majd amehukumiwa kufa kwa tuhuma za kupeleka taarifa za kiusalama za Iran kwa wamarekani na kufanikisha mpango wa kumuua Qassem Soleimani. Majd ameuawa Julai 20, kwa amri ya mahakama.
Mahakama ilisema kuwa Majd alikuwa na uhusiano na Shirika la kijasusi la kimarekani, CIA, na la...
CHADEMA nakuwaje mtu anagombea viti vyote cha Ubunge wa Jimbo na Viti Maalumu kwa mpigo na anashinda vyote? Kwanini asigombee moja?
Mifano michache ni hii hapa Devota Minja na Grace Kiwelu
MATOKEO YA KURA ZA MAONI JIMBO LA MOROGORO MJINI
1. Jimbo
Idadi ya Wapiga kura 125
Kura zilizoharibika 6...
SOMO LA MAISHA: Mambo kumi (10) muhimu yatakayokufanya uonekane kuwa ni mtu aliyestaarabika sana mbele za watu.
Ten Rules of Common Courtesy.
(1) Show respect for others.
When appropriate, say please, thank you and excuse me. After you receive a gift, make sure you write a thank you note or...
Sasa ni rasmi kuwa ' Hesabu ' za nyingi kwa ' Mpuuzi ' Mmoja ' Kumalizwa ' kabisa na Umaarufu wake unaenda ' Kuzimika ' ghafla ndani ya nchi ya Tanzania na kubakia Mtu wa Kawaida sana tena pengine hata Mimi ' Popoma ' GENTAMYCINE nitamzidi Umaarufu kwani ukiwa ' Maarufu ' tu JamiiForums hapa jua...
Salma Kikwete ambaye ni Mke wa Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete amechukua fomu ya kuwania Ubunge Jimbo la Mchinga, Mkoani Lindi kupita Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Machi 2017, Salma ambaye ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM aliteuliwa na Rais Magufuli kuwa Mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa...
Mimi si mtu mzima sana ingawa nami najongea miaka ya kuweza kugombea Urais wa Tanzania kwa mujibu wa Katiba yetu ya sasa(miaka 40). Hatahivyo, nimekuwa mfuatiliaji mkubwa wa siasa na mambo ya kinchi tangu nikiwa mdogo. Leo, nitalizungumzia Bunge kama Mhimili mmojawapo wa dola. Mingine, wengi...
Niliona mada ikihoji Mwinyi kutaka kugombea uongozi wakati ni mweupe kiasi kwamba mtoa mada anastaajabu ilikuwaje akaaminiwa kufanywa Waziri wa Jeshi. Kichwa cha habari kiliashiria kwamba mtajwa hana asili ya Kiafrika na kwamba hastahili kupewa uongozi huo. Napenda kuchukulia kwamba hoja ya...
Kwa wanasaikolojia na wengine wote ambao mnapenda kudadisi mambo. Kwa kawaida ili mtu aweze kufikiria, lazima tumie lugha, na lazima iwe ni lugha anayoijua, kwa sababu kwa maana nyingine, kufikiria ni sawa na kuongea mwenyewe kimyakimya, na mtu hawezi kuongea kwa kutumia lugha ambayo haijui! Kwa...
Uswahilini mnakokukimbia ni wapi? Inawezekekana mnakimbia kushirikiana jiko, choo na bafu kwanye nyumba ya kupanga lakini hata Manzese, Mbagala, Mwananyamala kwa Kopa Kinondoni Shamba kuna nyumba self contained na gate kabisa mlangoni, ukiingia na gari yako hakuna mtu anaejua maisha yako...
Mzuka wanajamvi
Mimi ni kati ya watu nayempenda Yesu kupita maelezo na huniambii kitu. Ila dah kumfananisha Yesu na wamatumbi hiii nakataa aisee.
Dunia kweli haishi vituko. Leo ndege ya Alaska airlines imelazimaka kutua jwa dharura baada ya abiria kutishia kuua abiria wengine wote wasipokiri...
Kuna watu hususa kuhudumia wateja wakorofi na wenye roho mbaya
Huyu mhudumu alijikuta akipata utajiri kwa kuhudumia mteja mwenye roho mbaya.Kuna la kujifunza kwa wahudumia wateja
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.