mtu

  1. G Sam

    JamiiForums Tanzania Je, ndani ya Serikali ya Awamu ya Tano yumo mtu au watu wenye gubu?

    Gubu ni neno la kiswahili ambalo tafsiri yake ni mtu kuwa na hasira na kupaniki hovyo hata kwa jambo ambalo ni la kawaida. Mtu huyo mara nyingi ni mgomvi mgomvi, mlalamishi, anayenuna nuna hasa pale anapoelekezwa jambo, kuadhibiwa kwa kosa lake au kuonywa! Hivyo gubu siyo tusi. Sasa basi...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Mambo ya kutisha na yenye kuumiza hisia tunayokutana nayo tukiwa maskini

    Kudharauliwa, kuchekwa, kupewa maneno ya kejeli, kwa sababu ya kukosa kazi na umaskini ulionao, ingawaje anaekudharau ni maskini kama wewe.. Naapa kwa mbingu na ardhi siku nikija kufanikiwa sana kipesa, sitokuja saidia hata Mtu mmoja chini ya hili jua, nikitoa pesa ntakua nalenga faida ya mara...
  3. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA muwachunge wajumbe wenu kwa umakini mkubwa, kuna uwezekano wakahongwa fedha nyingi ili wamchague mtu asiye sahihi kwa maslahi ya chama fulani

    Habari wakuu! Moja ya mambo niliyokirimiwa ni kuwa na uwezo mkubwa wa kuona jambo la sirini, au jambo la mbali. Muda mwingine naweza kusema am a spiritual scanner. Hili ninaloliandika si tetesi na halina ukweli direct bali ni forecast yangu tu. Huu muda mfupi uliobaki kabla ya Uchaguzi mkuu...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Kariakoo Mitaa ya Mkunguni, Tandamti, Nalung'ombe na Sikukuu kila mtu ni trafiki na mjuaji

    Mitaa hiyo wenye magari wanapata tabu sana kwa kufokewa na wapita njia. Mwenye gari akipita mitaa hiyo ajiandae kisaikolojia. Kuanzia mtembea kwa miguu, kilema, msukuma mikokoteni, mwenye baiskeli, machinga na wazee wa mingo za parking wooote wote ni matrafiki, waelekezaji, wajuaji na...
  5. Dam55

    JamiiForums Tanzania Mtu akikuomba ushauri kwa jambo kama hili utamjibu nini?

    KILA NIKIMUONA MTOTO WA MUME WANGU NAHISI KUCHANGANYIKIWA! Kaka naomba tu unisaidie maana najikuta nashindwa haya maisha. Mimi nimeolewa ndoa yangu ina miezi minne sasa. Wakati nakutana na huyu mchumba wangu aliniambia kabisa kuwa ana mtoto ambaye amezaa na mwanamke mwingine, alishaachana na...
  6. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Ni mwaka wa tano sasa, sijwahi kusikia wala kuona mtu anaumwa malaria, uchawi gani huu?

    Miaka ya 2015 kurudi nyuma, binafsi ilikuwa haipiti mwaka sijumwa malaria, na haipiti wiki lazima nisikie habari za mtu wangu wa karibu au rafiki au jirani au ndugu wa mbali kaumwa malaria. Lakini toka 2015 kuja mbele hali imekuwa ya miujiza kabisa, sisikii wala kuona mtu anaumwa, si mimi wala...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi lamtaka mtu yoyote mwenye hofu na usalama wake kutoa taarifa polisi badala ya kulalamika mitandaoni!

    Msemaji wa jeshi la polisi nchini amemtaka mtu yoyote mwenye hofu na usalama wake kutoa taarifa polisi badala ya kulalamika mitandaoni na kwenye vyombo vya habari vya ndani na nje; kama si kuonyesha nchi yetu hakuna amani. Source East Africa Radio! Maendeleo hayana vyama!
  8. ommytk

    JamiiForums Tanzania Hivi ishawahi kukutokea kuna mtu unakutana naye mara nyingi na anakukuta na nguo zile zile

    Wadau hivi haijawahi kuwatokea kuna mtu mnakutana naye na kila akikuta anakukuta na nguo zile zile yaani ata mkae miezi miwili alafu siku ukikutana naye anakukuta na nguo zile zile yaani unatamani umwambie ninazo nyingi.
  9. J

    JamiiForums Tanzania Mzee Kikwete aweka rekodi sawa, Uchumi wa Kati waliopanga na Mkapa ni wastani wa dola 3,000 kila Mtanzania

    Kikwete naona kaweka sawa kuhusu hizi propaganda kuwa Magufuli kafikia uchumi wa Kati kabla ya muda uliopangwa. Kikwete kaweka sawa kuwa Uchumi wa Kati uliopangwa ni dola 3,000 na sio hii 1080. Na kampa Magufuli challenge kuwa 2025 inatakiwa awe amefikia kipato hicho kwa kila mtanzania. Pia...
  10. Travis Walker

    JamiiForums Tanzania Ufahamu na mashaka juu ya kusafiri kwenye muda yaani Time Travelling

    Katika mada inayonivutia sana ni hili jambo la kusafiri kwenye muda lakini pia ni jambo ambalo nahisi lina utata au lisilowezekana kabisa. Wanasema muda ni kama snapshot ambazo zimeanza kujipiga tokea ulimwengu umeanza mpaka utakapomaliza halafu zika rewind mwanzo kabisa ndipo wakati ukaanza...
  11. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Tujifunze kumsifia mtu akiwa hai hiyo ni heshima na kwa Mungu pia

    Vyemaa tukaelimishana tulipotoka na tunapoenda. Watanzania wengi husubiri kumsifia mtu pale waaposika amelala anaitwa hayati ama marehemu Wengi huonà hapa ipo muda muafaka kumsifia marehemu. Ndugu zangu nimekuwa nikilaani sana marehemu hasemwi vibaya sababu hawezi tena kujitetea Hivyo hivyo...
  12. BAK

    JamiiForums Tanzania Hakuna mtu aliye juu ya Taifa

    "(MKAPA: HATA WABAYA HUOMBWA KUENDELEA" Tunaendelea na maombolezo ya kifo cha Rais wa awamu ya tatu Benjamin William Mkapa. Yamesemwa mengi na kuandikwa mengi. Yeye hasikii kinachoendelea. Lolote laweza kusemwa na hawezi kukanusha. Hata mimi nimesema na kuandika. Katika kila msiba kuna "kulia...
  13. Mtini

    JamiiForums Tanzania Tuache utani! TL ni shujaa, ni mwanaume wa shoka. Hakika he is a living miracle. Akipewa Nchi hatamuonea mtu aibu wala kuogopa

    kiukweli nimeogopa ujasiri alionao TL. Hajaogopa wanaotaka kumuua maana bado wapo kwa kuwa bado hawajakamatwa, hajaogopa mateso ambayo yanaweza kumkuta kutoka kwa wenye mamlaka. Hakika huyu bwana ni shujaa, anafaa kupewa nchi, hatawaogopa wale walitufikisha kwenye hili lindi la umasikini kwa...
  14. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Tunamshukuru vipi Mzee Mkapa katika ulimwengu wa utandawazi?

    Nakumbuka nilirudi likizo Mwaka 1999 Nikakuta mzee anayo simu ya Motorola kubwa nikashindwa kuitofautisha na radio call aliyokuwa anatumia na simu ya motorola aliyokuwa nayo na kipindi hicho ndio huduma za simu zimeanza kutolewa kwenye vibanda vya wafanyabiashara. Cha kushangaza ilikuwa...
  15. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Kutokutiwa nguvuni Tundu Lissu kesho 27/7/2020 ni kutangaza uasi juu ya Sheria za Nchi yetu

    Yafuatayo yafanyike baada ya kutua uwanja wa ndege JKNIA Kumnyang'anya passport ya kusafiria mara moja na jina lake liwe blacklisted kwenye mfumo wa waombaji Passport uhamiaji yaani yeye asije tena kupewa passport ya kusafiria maisha yake yote Uchunguzi wa shambulio lake uanze Mara moja siku...
  16. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu kaongea jambo moja ambalo kila mtu anapaswa kulitafakari na kujiuliza kama ambavyo yeye anajiuliza

    Lissi kafanyiwa mahojiano(kwa lugha ya kingereza) huko Ubelgiji(probably leo) kuhusu swala zima la kama tutarajie uchaguzi huru na wa haki, ila alivyojibu,ni wazi mwenzetu huyu sUala la kutegemea uchaguzi huru na wa haki, kwake halipo kabisa kwani ameonyesha wazi hatarajii hilo kutokea, ila...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Hivi CCM inaweza kuchukua mtu aliyekuwa wa mwisho kwenye kura za maoni apeperushe bendera?

    Kwa utaratibu uliowekwa na CCM kwa wagombea kutofanya Kampeni kwenye kura za maoni,ni wazi sasa wote waliopata kura moja au sifuri ndio ambao hawajatoa rushwa au kukutana na wajumbe. Swali ni je CCM ambayo huchukua mshindi wa kwanza hadi wa nne,inaweza kuvunja utaratibu mwaka huu na kuchukua...
  18. katoto kazuri

    JamiiForums Tanzania Mume wa mtu kweli kwa hili huna haya

    Umeoa kanisani ila kweli maisha ni mduara. Unaingia kwa mdada na pete ya ndoa kwenye geto lake unamla bila wasiwasi unajisifu kuwa wewe ni malaya mzoefu unafuliwa mpaka nguo unamnunulia vitu vya gharama what?😟😪 yaani hadi aibu . Sijui hata kama kwako unamlipia vyote kama hivi mkeo , sijui wa...
  19. mgt software

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya jimbo la Kawe: Halina propoganda za kuletewa Maji, Barabara wala Umeme; akili tu ya mtu wa kujenga Taifa

    Wana JF, Jimbo la Kawe ni jimbo lililosheheni viongozi wengi vichwa, mpaka sasa kuna Mawaziri wakuu wastaafu watatu, makatibu wakuu karibu wote. Jimbo hili linataka mtu kichwa tu, si kwa kuwa na hela nyingi eti utafanya kampaini, la hasha. Lenye vituo vya mafuta, lina migogoro ya ardhi tu...
  20. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania GE2020 Magufuli kama angesimama na mtu mwingine kwenye kura za maoni asingeshinda kama ilivyokuwa kwa Makonda

    Huu Uzi hauna kejeli, matusi wala dhihaka. Huu uzi umebeba ukweli mchungu (a bitter truth) ambao wengi hawaupendi. Kama Magufuli angesimamishwa na MwanaCCM yeyote imara kuwania tiketi ya kupeperusha bendera ya CCM 2020 katika ngazi ya Urais asingeshinda. Mioyoni mwa wanaCCM kuna siri na ajenda...
Back
Top Bottom