Uchaguzi 2020 CHADEMA muwachunge wajumbe wenu kwa umakini mkubwa, kuna uwezekano wakahongwa fedha nyingi ili wamchague mtu asiye sahihi kwa maslahi ya chama fulani

Kiboko ya Jiwe

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
12,987
37,040
Habari wakuu!

Moja ya mambo niliyokirimiwa ni kuwa na uwezo mkubwa wa kuona jambo la sirini, au jambo la mbali. Muda mwingine naweza kusema am a spiritual scanner.

Hili ninaloliandika si tetesi na halina ukweli direct bali ni forecast yangu tu.

Huu muda mfupi uliobaki kabla ya Uchaguzi mkuu ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo maarufu kama CHADEMA, kuna uwezekano mkubwa wa chama hasimu na CDM kugawa fedha nyingi kwa baadhi ya wajumbe ili wamchague mgombea fulani kwa maslahi ya chama hicho.

Please mod naomba huu Uzi muuache angalau mpaka pale CHADEMA watakapomaliza uchaguzi wao wa kumsimamisha mgombea wa kiti cha Urais.

Hapa wanakwenda kutengenezwa akina Yuda kwa vipande vya fefha za kutosha tu kwa kila kichwa.

CHADEMA kuweni karibu na makini na wajumbe wenu.

Nimemaliza.
 
Pale Ufipa hakuna wa kumzuia Nyalandu !
Tuko imara na Lissu
FB_IMG_15961659433172364.jpg
 
Wakihongwa na wasipohongwa matokeo ni yale yale, aliyehongwa bado atapiga kura moja sawa na ambaye hajahongwa.

Kumbuka hata aliyehonga hana mamlaka ya kura kwa aliyemuhonga.

Aliyehonga bado haendi kuchukua nafasi ya aliyehongwa, hivyo aliyehongwa anapiga ajuavyo na atakavyo hakuna wa kumbadilishia kura.

Kumbuka wagombea wote uhonga, na wote hufanya hivyo kila mmoja kwa nafasi na wakati wake na kiasi chake.

Lakini hawana uhakika kwamba hongo zao zinathamani gani kwa mpiga kura.

Mjumbe atapiga kura kama alivyopanga kupiga hakuna ushahidi kwamba hongo imewahi kubadirisha matokeo.
 
kuna hongo unapewa kibabe ndugu. Au huzijui hizo hongo?
Na kuna hongo zina ahadi mbele ya matokeo. Wewe usifanye masihara
 
Habari wakuu!

Moja ya mambo niliyokirimiwa ni kuwa na uwezo mkubwa wa kuona jambo la sirini, au jambo la mbali. Muda mwingine naweza kusema am a spiritual scanner.

Hili ninaloliandika si tetesi na halina ukweli direct bali ni forecast yangu tu.

Huu muda mfupi uliobaki kabla ya Uchaguzi mkuu ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo maarufu kama CHADEMA, kuna uwezekano mkubwa wa chama hasimu na CDM kugawa fedha nyingi kwa baadhi ya wajumbe ili wamchague mgombea fulani kwa maslahi ya chama hicho.

Please mod naomba huu Uzi muuache angalau mpaka pale CHADEMA watakapomaliza uchaguzi wao wa kumsimamisha mgombea wa kiti cha Urais.

Hapa wanakwenda kutengenezwa akina Yuda kwa vipande vya fefha za kutosha tu kwa kila kichwa.

CHADEMA kuweni karibu na makini na wajumbe wenu.

Nimemaliza.
Msihofu chaguo la umma litapita.
 
Back
Top Bottom