mtu

  1. R

    JamiiForums Tanzania Mwabukusi: Mkataba haufai hata kuwa 'toilet paper'

    Mwabukusi amesema huu mkataba haukuwa wa ghalfa, walikuwa nao wameuficha, na walivyoupeleka bungeni waliulizwa dharura imetoka wapi wakati wamekaa nao kwa miezi tisa na kusema kwamba yeye alitumia dakika tano tu kuutazama mkataba huo na kusema haufai hata kuwa toilet paper. Akisema kuwa haamini...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Lema: Msitetee mtu sababu ya Ushungi na Kanzu, teteeni mtu sababu ya Haki

    Lema amewaambia waislamu wasitetee mtu sababu ya Ushungi na Kanzu, teteeni mtu sababu ya Haki. Huku akiwaambia Wakristo wasitetee mtu sababu ya uchungaji bali wamtetee sababu ya haki. Akisema kuwa wengi wanaleta mambo ya udini sababu hawamjui Mungu, Maandiko wala haki, na kwamba wangekuwa...
  3. R-K-O

    JamiiForums Tanzania Hivi mtu kuwa charismatic ni kipaji au?

    Aina hii ya watu ni kama wana sumaku ya mvuto, mtu yupo simple tu anavaa kawaida, sura ya kawaida, uchumi wa kawaida lakini watu wanampenda sana uwepo wake, kuongea nae, kuchati nae, kwenda kumsalimia, n.k. Ni mtu ambae hata akiwa mgeni sehemu flani basi kesho yake kashazoeleka, akikaa sehemu...
  4. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya wanawake wa sasa hawakupi msaada mpaka alale na wewe kwanza

    Nimesikitika sana. Huyu dada tupo naye ofisini. Sasa nilipungukiwa tu vicent kadhaa kwa ajili ya kuongezea kununua shamba sehemu fulani. Nikamwambia aniazime nijazie ntamrudishia baada ya week. Akaniambia sawa niende nikachukue kwake Mbezi jana jioni. Nimeenda tukapiga stories na kupata msosi...
  5. Surya

    JamiiForums Tanzania Ndoto ukifanya mapenzi na mtu UNAYEMJUA, Tafsiri yake

    Nadhani hii ndio ikawa sababu kubwa ya kwanini watu wengi wanakua wagumu kuamini kuwa kila ndoto unayoipata inakuwa na maana na umuhimu wake. Lengo kuu la ujumbe wa ndoto ni i. Kupewa maelekezo nini cha kufanya (mawazo) ii. Maonyo (warning) iii. Kuoneshwa mambo ya mbele yatakayokuja kutokea...
  6. kavulata

    JamiiForums Tanzania Asikuzuge mtu, jezi zote za timu zetu ni fulana na bukta za kawaida tu

    Kama jezi ya timu yako haina logo ya Nike, puma, umbro au adidas badala yake ina logo ya vunja bei, sandaland, sijui kindoki, gsm na akina aden rage, hiyo ni fulana na bukta tu, sio jezi ya kupandisha sijui mlima gani na kuunajisi. Tufike mahali tuwaambie watu wetu ukweli kuhusu hizi jezi...
  7. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alikosea kwenye mambo mengi mno. Kubwa mojawapo ni kumchagua huyu mtu

    Mtu huyo ni Rais Samia! Nashawishika kabisa kuamini kuwa huyu Samia alichaguliwa kutokana na jinsia yake tu [kama ilivyojuwa kwa Kamala Harris…the word salad queen…kule Marekani]. Ref: Uchaguzi 2020 - Mkutano Mkuu wa CCM 2020 wamchagua John Magufuli kuwa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa...
  8. benzemah

    JamiiForums Tanzania Umeelewaje Katuni hii ya King Kinya aliyomchora mtu anayefanana na Tundu Lissu

    Gazeti la Mwananchi limechapisha katuni hii iliyochorwa na mchoraji wake King Kinya ikimuonyesha Mtu anayefanana na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Tundu Lissu akiwa na taswira kama ya kulalama huku ameshika kitu kama matope au kinyesi hivi na mengine yakiwa usoni mwake...
  9. Ejolisi

    JamiiForums Tanzania Siku hizi watu wanavurugwa sana mtu hata hakujui anakufokea njiani

    Leo mida ya mchana nimetoka naelekea kwenye safari zangu nikakutana na mama flani ivi mfupi mwenye sura ya ugomvi sehemu kama ya kilima ivi kuna ka mteremko alivyoniona kutoka mbali kaanza kubwata kwa sauti kubwa wewe unaenda wapi nakuuliza unaenda wapi😂😂 si nakuuliza yaani nikikufikia...
  10. S.M.P2503

    JamiiForums Tanzania Mbarikiwa Mwakipesile: Malaika uliyemtia adabu farao pita CCM, Polisi, Serikalini

    Msije sema hamkujua, ombeni reconcilliation naye maana si vema kuacha mtu afike viwango hivi. Hebu msikilizeni na ombeni upatanishi naye, acheni kupaza shingo zenu, ni hayo tu : - Maombi makuu ya kuangusha mamlaka ya CCM. Malaika uliyemtia adabu farao pita CCM, Polisi, Serikalini
  11. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Si sawa kumpeleka mtu Mahakamani Kwasababu ya kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja

    Si sawa kumpeleka mtu Mahakamani Kwasababu ya kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja kwasababu ni starehe ya mtu binafsi na maisha yake mwenyewe. Mtu amezaliwa mwenyewe na atakufa mwenyewe kwa wakati wake hivyo basi starehe zake binafsi aachiwe mwenyewe kwasababu hajalazimisha watu washiriki nae...
  12. Pascal Ndege

    JamiiForums Tanzania Nguzo za umeme za zege sasa ni hatari kwa maisha kuweni makini msikae karibu

    Kudondoka kwa nguzo za umeme za zege imekuwa kawaida kabisa. Mimi mwenyewe nimeshuhudia nguzo mbili Moja ikijeruhi mtu akiwa ndani ya gari. Wahusika wawataarifu wananchi wasisogelee hizi nguzo. Ni hatari hazina vyuma ndani yake. ikipata unyevunyevu tu inaanguka. Mimi nilishangaa engineers...
  13. 5

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna Mtu yeyote amefanikiwa kujaza form ya mikopo Loan Board (HESLB)?

    Imebidi nije hapa huu mtandao wa Loan Board hauko vizuri hasa hasa kwenye kipengele cha Preliminary information hakuna chochote unachoweza kujaza na uka submit na ukakiona kwenye preview. picha hata useti kwa kiwango kipi 120x150px haionyeshi wala haikai kwenye mfumo. Tunaomba kujua hapa nina...
  14. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Ni jiji lipi linampa mtu fursa ya kuanza biashara na kukua kwa biashara yake?

    Dar es Salam ni jiji ambalo biashara nyingi ni za kubangaiza tu kwa mtu mwenye mtaji chini ya million 5, maana gharama ya frame, stoo ni kubwa sana. Mfano ukifungua duka la accecories za simu Dodoma/Arusha, kukua kibiashara ni rahisi kuliko kufungua duka kama hilo Dar es Salam. Watu wengi kwa...
  15. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania MwanaCCM asema Kitenge ni comedian wa habari, sio mtu wa kuzungumzia DP World

    MwanaCCM akosoa mtumizi ya influencers kwenye mambo serious kama bandari. Amekosoa matumizi.ya watu kama kina Maulid Kitenge na Steve Nyerere ambao hawana uwezo wa kujenga hoja.
  16. B

    JamiiForums Tanzania SINGIDA: Auawa baada ya kufumaniwa na mke wa mtu shambani

    MKAZI wa Kijiji Cha Merya Tarafa ya Ilongero wilayani Singida, Innocent Dube (49), ameuawa kwa kuchomwa kisu mgongoni baada ya kukutwa akifanya ngono na mke wa mtu shambani. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida, Stella Mutabihirwa, amethibitisha kutokea kwa tukio hilo wakati akizungumza na...
  17. shadrack lutengano

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kwanini Tanzania haipigi hatua kimaendeleo kama inavyostahili

    Maendeleo, ni hali ya kutoka hatua moja hadi hatua nyingine ambayo ni bora kuliko ile ya awali. Hatua hizo ni zinaweza kuwa ni za kiuchumi,kijamii au kisiasa. Maendeleo hujumuisha maendeleo ya mtu mmoja mmoja,taasisi au nchi. ambapo maendeleo ya nchi au taasisi yanategemea sana maendeleo ya...
  18. K

    JamiiForums Tanzania SoC03 Aonavyo mtu nafsini mwake ndivyo alivyo

    Habari ndugu msomaji: kwa upande wangu mimi ni buheri wa afya: leo nakutonya kidogo 😜kwambaliii,😂inanihusu mie mwenyewe! Wataka kujua🤩nk'onk'o!! Samahani ni ni kikohozi tu kilinibana ! Ok back to the point" namaanisha nimerudi tuzungumzie mambo lenyewe' nikiwa Darasa la tano miaka ile niliwaza...
  19. King Muchachu

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kwanini mtu huyu haguswi?

    Kuna majukumu mengi ambayo napaswa kuyatekeleza katika nchi yangu, mengine ni kwa mujibu wa sheria na mengine ni yakutumia busara lakini yote ni kwasababu ya kuwasaidia wananchi wangu, kikundi au jamii niliyo apa kuitumikia kwa mujibu wa sheria lakini sifanyi hivyo na siwajibishwi, muda mwingine...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Ukiwasikiliza hawa watu kila mtu ana hoja ya msingi sana, shida huwa hatukubali kukubaliana katika kutofautiana

    Binadamu anapozaliwa huwa kakusudiwa aishi miaka mingi hata buku lakini harakati zake za maisha ndiyo huanza kuipunguza hiyo miaka taratibu au kwa mpigo! Anyway! Tuachane na hilo turudi kwenye hoja ya hawa watu! 1. Wanandoa: Ukiwasikiliza wanandoa kwa makini vile wanazungumza umhimu wa ndoa...
Back
Top Bottom