Natoa woto kwa watanzania wote kwa ujumla, safari hii watanzania tushikamane kupiga makelele kila kona hadi yafanyike mageuzi makubwa kuhusu mtazamo na mawazo ya viongozi wetu kuhusiana na mkataba mbovu sana wa bandari za Tanzania!
Kwa ujumla wetu safari hii "kelele za chura lazima zimzuie mtu...
Ni kauli ya Meja Jenerali Mstaafu Kahinda Otafiire, aliyewaomba Wabunge wa Uganda kuondoa bidhaa hiyo katika orodha ya Vilevi vilivyopigwa marufuku Nchini humo.
Waziri huyo amesema, sidhani kama Mirungi ni hatari zaidi kuliko Kahawa na Pombe. Kwa hivyo mabibi na mabwana, naona bora tuiondoe...
Na GENTAMIYCINE nikiwa kama mwana Yanga SC hapa JamiiForums na hata nje ya JamiiForums nasema hii tabia iwe mwanzo na mwisho sawa?
Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said tunamtaka haraka Fabrice Ngoma wa Al Hilal FC na asipotua Yanga SC Kwetu tunakuomba Uondoke Yanga SC au Mimi GENTAMIYCINE kwa...
Ni mwaka wa ku 9 tangu Nilipoanza kuutumia huu mtandao lakini sijawahi kukutana na mdau wa mtandao huu.
Leo nimejaribu kuwauliza colleagues Kama wanaufahamu, wote walikiri kuufahamu lakini wakasema hawautumii.
Nikajiuliza iwapo ni kweli au wanaficha privacy zao. Je, uliwahi kumuona mtu live...
Nukuu:-
Kaka, issue kama hii kwanza tulikuwa hatulali! Pili, usijidanganye eti utampa mwamba karatasi zenye kurasa nyingi asizisome-hahaha!
Niwe mkweli wa nafsi, binafsi huwa nadhani mwamba alikuwa anapenda sana issue za migogoro ili aweze ku solve. Jiulize, mtu ambaye akiletewa jambo kwa...
Ndo hivyo wakuu, naomba nisaidiwe hilo!. Najua kuna wataalamu na wazoefu wa kung'amua tabia humu.
Mtoto ni wa kike, still todler (2+ yrs).
Mtoto huyu halali kama hajanyonya kidole chake gumba cha mkono wa kushoto huku mkono wa kulia akiutumia kumfinyafinya mama yake (au yeyote aliyemshika). Na...
Wakuu MUNGU NI MWEMA HATA SASA
Nina rafiki yangu mmoja ambaye tumeshakuwa kama ndugu sasa.
Maana tokea tuko secondary mpk chuo tumekuwa wote mpk ndugu zake nao walishaniona kama ndugu yao tu.
Huyu rafki yng ni mtumish wa MUNGU yaan ni mchungaji na mimi huwa namsaidia pia napopata nafasi...
Wee mwanaume. Kama:-
1. Una umri kati ya 53 - 56
2. Single/Divorced na upo tayari kuingia kwenye mahusiano ya kudumu.
3. Umejitunza kiafya
4. Watoto wako wamejitegemea.
5. Una shughuli nzuri tu za kujiingizia kipato.
6. Upo radhi ku settle nje ya Tanzania na utajilipia tiketi yako kuja huku...
Nilipoteza namba yangu ya voda kabla haujaingia mfumo huu wa sasa wa kusajili kwa NIDA na kuthibitisha. Baada ya huu utaratibu kuanza ikawa imepewa mteja mwingine.
Natamani niirejeshe iwe yangu kwa sababu nilijiunga nayo vitu vingi vya muhimu ikiwamo email na kwa sasa siwezi kutumia email...
TABIA YA UWAJIBIKAJI HUTENGENEZWA NDANI YA MTU
Mara nyingi mtu anapopokea cheo au nafasi flani, kwa zile siku za mwanzo huanza kwa kasi ya ajabu, lakini muda unavozidi kusonga mbele, ile kasi inapungua, kwanini inakuwa hivyo? Kuna sababu nyingi ambazo hupelekea jambo hilo kutokea. Familia zetu...
Je, ni kweli ataweza kuvumilia aendelee kukifuga kifungu cha kutoshtakiwa watangulizi wake?!
Je, ni kweli wanaopitisha vipengere vya hovyo kwenye MIKATABA ajaye anaweza kuwavumilia na kuwatangazia msamaha?!
Mwenzenu ninayo hofu kuu iliyo wazi kuhusu ajaye kutokuyavumilia hayo hapo juu...
“Wakati Zoran akiwa Simba ilikuwa unacheza kulingana na ulivyoperfom kwenye mazoezi, lakini baada ya kuondoka ikawa kama Kuna watu wanaleta list ya wachezaji wanaotakiwa kucheza na hawa wasicheze bila kujali ni nini wamekifanya kwenye uwanja wa mazoezi,” Aliyekuwa mchezaji wa Simba Sc, Nelson...
Nimesikia kwamba Rais wa Tanzania, Mheshimiwa Samiah Sukuhu Hassan hataki kusikia maoni ya wananchi wake juu ya mkataba wenye ukakasi wa ugawaji bure wa Bandari zote za Tanganyika.
Sina shaka habari hizi ni za ukweli, maana nimeona video clip, na it seems aunthentic. Sasa hapa kuna maswali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.