Kuna anayejua kuifanya hii device itumie laini za mtandao mingine

EvilSpirit

JF-Expert Member
Jun 15, 2017
8,559
12,682
Hii ni kifaa cha kampuni fulani.nimekinunua kwa hela nyingi lakini mwisho wa siku kikawa hakina kazi kutokana na mtandao husika kutokuwa na coverage kwenye remote areas.Coverage ipo mijini tu.Ni jambo la kushangaza sana katika kipindi hiki cha Sci & Tech eti mtandao unashika mjini tu.Nimeamua kuipiga chini.Halafu inawezekana ufanyike utundu niweze Tumia line ya mtandao mwingine
20210223_164022.jpg
 
View attachment 1709942

Hiyo inawezekana ukipata unlock code yake. Ukiweka simcard ya mtandao mwingine inakupa option ya kuweka unlock code.

Check yule jamaa anayejiita streetwinners huwa anauza codes
 
Nina sim aina ya oppo f9 pro inatumia laini ya TTCL tu mwenye kuweza kutoa lock itumie line zote a nicheck pm
FB_IMG_1614180372130.jpg
 
Hii ni kifaa cha kampuni fulani.nimekinunua kwa hela nyingi lakini mwisho wa siku kikawa hakina kazi kutokana na mtandao husika kutokuwa na coverage kwenye remote areas.Coverage ipo mijini tu.Ni jambo la kushangaza sana katika kipindi hiki cha Sci & Tech eti mtandao unashika mjini tu.Nimeamua kuipiga chini.Halafu inawezekana ufanyike utundu niweze Tumia line ya mtandao mwingine
View attachment 1709942
Ni cha mtandao gani?
 
Hakifai ni kama TTCL hao
Hao viumbe TTCL ndio wa ovyo kabisa.Wiki iliyopita nilikuwa nina tatizo la kukwangua vocha vibaya nikafuta token kila siku napiga naongea na customer services naambiwa tatizo linashughulikiwa niwe mvumilivu kwa saa 24 kumbe hizo saa 24 ni siku 3 ikimaanisha siku moja ina masaa 8 ya kazi.Mpaka sasa nikihesabu ni siku tano zimepita kila nikiwapigia hamna la maana ni usenge mtupu TTCL
 
Hao viumbe TTCL ndio wa ovyo kabisa.Wiki iliyopita nilikuwa nina tatizo la kukwangua vocha vibaya nikafuta token kila siku napiga naongea na customer services naambiwa tatizo linashughulikiwa niwe mvumilivu kwa saa 24 kumbe hizo saa 24 ni siku 3 ikimaanisha siku moja ina masaa 8 ya kazi.Mpaka sasa nikihesabu ni siku tano zimepita kila nikiwapigia hamna la maana ni usenge mtupu
Nunua vocha ingine tu mie nimefanya kazi customer care naelewa hizo sound nimewapiga sana wateja wa Airtel
 
Hahaha aisee we jamaa usikute hata mimi umeshanipiga sound.Nimenunua vocha nyinginezo na naendelea kudai
 
Back
Top Bottom