mshahara

  1. AnyWayZ

    JamiiForums Tanzania Mshahara: Askari Magereza anaeanza kazi na Cheti cha Kidato cha Nne

    Salaam Wakuu. Samahani, yeyote mwenye kutambua viwango vya Mishahara ya hawa jamaa hasa kwa hawa walioanza kazi Mwaka huu, naomba kujuzwa. Najua Mshahara ni siri hivyo ni ngumu sana kupata majibu sahihi kwa watu unaoishi nao mtaani ila humu inaweza kuwa rahisi Angalizo; Mimi si Askari na sina...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hii sasa ni kufuru ya Pesa: Mohamed Salah apewa offer ya mshahara wa Pound 2.45M kwa wiki na Al Ittihad ya Saudi Arabia!

    Huko Saudi Arabia waarabu wameamua kumwaga pesa kama mawe!! Timu ya Al Ittihad ambao ni mabingwa wa Saudi Arabia wamempandia dau Mohamed Salah la kufa mtu. Kwanza wametoa offer ya uhamisho kutoka liverpool ambayo ni rekodi mpya ya dunia., offer ya USD 270M. Awali Liverpool walikataa offer ya USD...
  3. Candela

    JamiiForums Tanzania Mshahara ni deni

    Leo niwasanue wadau, kuna mtu kagombana na boss wake kwa kuwa hakwenda japo aliomba ruhusa lakini ofisi ikawa na kiherehere kutaka kujua kwa nini hakufika. Binafsi nikamshauri aseme tu hakuwa na pesa, akaniambia lakini nimepokea mshahara hata wiki 2 hazijaisha wakiniuliza ntajibuje...
  4. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Binafsi sijapata ongezeko la mshahara hata shilingi 1. Ni Mimi tu au ni wote?

    Habari! Vipi jamani na kwenu imekuwa kama Mimi hamjaoana nyongeza hata Senti moja au ni Mimi tu? Thanks
  5. Jensen salamone

    JamiiForums Tanzania Serikali yafanya ubaguzi kwenye nyongeza ya mshahara

    Licha ya serikali kujigamba kuongeza mshahara "annual increment" kuna baadhi ya makundi ya watumishi wa umma hususani walimu hawajanufaika na ongezeko Hilo. Miongoni mwa makundi yaliyofanyowa ubaguzi ni pamoja na, 1. Walimu waliopandishwa vyeo tarehe 1/5/2023 kwa madai kwamba wanaendelea...
  6. Madihani

    JamiiForums Tanzania Kubadili akaunti ya malipo ya mshahara kutoka NMB kwenda CRDB

    Habari wana Jamii, Naomba kupata ushuhuda kwa waliobadili akaunti za kupitishia mshahara. 1. Je, haiwezi kupelekea kukosa mshahara? 2. Je, mhusika ni HR tu au kuna ngazi nyingine ya kwenye zoezi tajwa? Kwa upande wangu naona NMB wana shida kwenye mifumo yao, kuna mwezi benki zingine mshahara...
  7. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania JWTZ: Tunamsaka aliyesema tumeongezewa Mshahara

    Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limesema taarifa iliyosambazwa na mtandao wa kijamii wa Tanzania Abroad TV (TAT) kwamba Wanajeshi wa ngazi za juu wa JWTZ wameongezewa mshahara ni taarifa ya uzushi na upotoshaji na tunamtafuta. Kaimu Mkurugenzi wa Habari na Uhusiano Makao Makuu...
  8. benzemah

    JamiiForums Tanzania Jeshi La Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Lakanusha Wanajeshi wa Ngazi ya Juu Kuongezewa Mshahara

    Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linatoa taarifa kuwa kuna habari ya uzushi iliyosambazwa na mtandao wa kiiamii wa Tanzania Abroad TV (TAT) kwamba Wanajeshi wa ngazi za juu wa JWTZ wameongezewa mshahara. Taarifa hiyo imeeleza kuwa ongezeko hilo limelipwa tarehe 18 Agosti 2023...
  9. Idugunde

    JamiiForums Tanzania JWTZ: Hakuna aliyeongezewa mshahara. Aliyepotosha kushughulikiwa

  10. Melancholic

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Mshahara wangu ni mdogo sana; hautoshelezi mahitaji yangu na familia inayonitegemea

    Mimi ni muajiriwa wa kampuni X, ila kiukweli mshahara ni mdogo sana nalipwa 250/month. kiukweli hii pesa nashindwa kuigawa coz ni ndogo, 90% inaisha kwenye kula na matumizi mengine madogo madogo. Ni changamoto kiasi kwamba nashindwa hata kununua aset za ndani sababu pesa yote inakwisha najikuta...
  11. Isolated

    JamiiForums Tanzania Feitoto kusema anataka mshahara kama wa Azizi Ki! Kiko wapi?

    Nataka mshahara kama wa Azizi KI, mwenzio dk 20 zimetosha kuamua mechi, Wewe dk 90 zote unaruka ruka kiwanjani! Kuna msemo wa wahenga usiteme big G kwa karanga za kuonjeshwa Future yako iko rehani, huko uliko hakuna mashabiki wa kukusifia kama ilivyokuwa ukiwa Yanga, kiuhalisia hukuwa na maajabu😄
  12. Notorious thug

    JamiiForums Tanzania Mzee Kinana ataka Wabunge waongezewe mshahara

    Hakika huyu mzee ni mzigo wa Taifa. Mzee Kinana anadai wabunge wa Tanzania ndio wanaopokea mshahara mdogo zaidi Afrika Mashariki. Ameenda mbali na kudai wakisema waongezewe mshahara wananchi wataanza kelele.
  13. Money Penny

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa mpenzi wangu NI TSH 200,000 Kwa mwezi, nikae au nimkimbie?

    Haya mnaolipwa laki 2 naomba mje mumsaidie dada WA watu amekwama huku? Kwan skuhizi mishahara inaanzia TSH ngap wajameni au ndio vita ya Eukran na Russia imebana Kila kitu mpaka mishahara? Jamani TSH 200,000 ndio anapewa Benki ishakatwa makodi yote Ps: Mpenzi wake nI mwanaume jamaa, sio...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Beno alitaka tu Tsh 65M na Mshahara wa Tsh 10M mkakataa, ila Mbrazili mbovu mmempa Tsh 400M na Mshahara wa Tsh 14M

    Hivi Uongozi wangu wa Simba SC kwa huu Upuuzi na Upumbavu Watani zetu wakubwa Yanga SC wakitucheka na Kutuita Mbumbumbu FC tutakataa na Kuwanunia? Beno Kakolanya aliipenda sana Simba SC na Kaondoka kwa Maumivu makubwa Moyoni kwani alichukiwa na Viongozi Wawili kwakuwa tu alikataa kuwapa 10% ya...
  15. CK Allan

    JamiiForums Tanzania TUCTA: Nyongeza ya Mshahara itaanza kulipwa Mwezi August

    Barua ndio hii ngoja tusubiri! Ingawa naona dalili za mkutano kuahirishwa au ukiwepo hautakuwa na tija. Tunajua kabisa TUCTA ndio Serikali yenyewe. ====== SHIRIKISHO LA VYAMA VYA WAFANYAKAZI TANZANIA (TUCTA) TARIFA KWA WAFANYAKAZI KUHUSU AHADI YA NYONGEZA YA MSHAHARA YA KILA MWAKA (ANNUAL...
  16. CK Allan

    JamiiForums Tanzania Naamini mshahara umeongezwa sema huwezi kuona kwa macho ya kawaida ni mpaka ufafanuzi utolewe

    Siamini kama raisi atamke jambo kwenye mei mosi halafu lisitekelezwe. Kwahiyo naamini kabisa Kuna nyongeza isiyoonekana kwa macho haya ya damu na nyama, kwa hivi nategemea ndugu Gerson Msigwa atakuja na ufafanuzi sooon kuelezea namna nyongeza hii ilivyo, Niwasihi watumishi tuendelee kuchapa...
  17. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania Poleni watumishi wa umma uyo ndio mama anaupiga mwingi hakuna ongezeko la mshahara

    Poleni sana tena sana endeleni kunywa mchuzi nyama mtazikuta chini
  18. Jugado

    JamiiForums Tanzania Mshahara umetoka hakuna incriment hakuna nyongeza!

    Ndo hivyo yaani kama walivyosema tutawaongeza kimya kimya tusubiri🚬🚬
  19. M

    JamiiForums Tanzania Mshahara umetoka lakini hakuna mabadiliko!

    Hii ni habari ya kushangaza kidogo, baada ya kuangukiwa na kizito kizito Cha 23%=Mwaka Jana! Sasa tuliambiwa annual increment kuanzia Julai. Lakini mshahara umetoka na haina hiyo increment! Ila sisi Wafanyakazi ..... !
  20. The Cock

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mshahara wa mwezi huu July 2023, tutarajie makubwa!

    Itakumbukwa katika sherehe za Mei mosi mwaka huu Mh. Rais aliahidi kurudisha annual increment kuanzia mwaka huu wa fedha. Nyongeza hiyo ya mwaka ilisimama kwa muda mrefu!
Back
Top Bottom