mshahara

  1. The dumb Professor

    JamiiForums Tanzania Ndo nimeajiriwa kwa huu mshahara, nipeni mbinu za kufanya nitoboe ndani ya huu mwaka

    Wataalam wa Darisalaam nawasalim, Ndo nmereport kazin apa na takehome ya 1M. Nipeni mbinu za kufanya ili kufikia mwisho wa mwaka huu nisiwe Tena mtegemezi wa mshahara. Nipeni mbinu za kiasi gani Cha kusave, kuspend na kuinvest ili kijana wenu nisiwe napiga marktime. Na kama nainvest nipeni...
  2. Mzalendo Uchwara

    JamiiForums Tanzania TANESCO ni national embarrassment, kuanzia mwezi ujao walipwe nusu mshahara mpaka tatizo la mgao litakapoisha

    Nimejiuliza sana, chanzo cha mgao huu wa umeme ni nini haswa? Kuongezeka kwa wateja, uchakavu wa mitambo? What exactly? Mambo yote hayo sio dharura, taasisi yenye vision na mission inapaswa kuyaona hayo na kujipanga miaka kadhaa nyuma kabla hayajatokea. TANESCO ni punda asikwenda bila kiboko...
  3. The dumb Professor

    JamiiForums Tanzania Kwa huu mshahara, take home ni shingapi?

    Hello wajuvi nimepewa offer huko private sector naomba mnisaidie calculation ya takehome kwa huu mshahara: 582,000/=. Nadaiwa HESLB.
  4. T

    JamiiForums Tanzania Nimepata kazi ambayo inaniruhusu kuhamia USA nikitaka, lakini mshahara ni ule ule popote nitakapoamua kufanyia kazi

    Habari wakuu, Nahitaji ushauri kidogo hapa. Nimepata kazi ambayo inaniruhusu kufanyia kazi popote pale, na hata kuhamia yalipo makao makuu ya shirika kama nikitaka (Houston, Texas, USA), lakini pia nikitaka naweza kubaki hapa hata Tanzania nikaendelea kufanya kazi remotely, nikawa naenda USA...
  5. She Quoted you

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri: Nilichezea mshahara wa milioni 10

    Habari wanaJf, Mwezi wa 6 mwaka Jana nilipata kazi NGO moja huko Kigoma as a purchasing officer, nikilipwa mshahara+ Bonus + madili nilikuwa naingiza average ya million 10 kwa mwezi. Pale walinipa short contract ya miezi 6 maana mradi wao upo kwenye closing phase. Mkataba wangu umeisha...
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Direct Sales Agents NBC upoje?

    Habari wana jukwaa, Naomba kufahamishwa mshahara au malipo kama kichwa cha habari kinavojieleza hapo juu. Asante
  7. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Je rais kama mtumishi wa umma, hawezi kukopa kwa mshahara wake?

    Nilikuwa naomba kujuzwa hili?, na je kwa mshahara wake kiwango chake cha mkopo kinaweza kufikia kiasi gani kwa kuwa rais huwa na mshahara mnono sana.
  8. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Kwa mshahara gani viongozi wa sasa wananunua nyumba za bilioni 25 uko Dubai?

    Mahojiano ya Daktari Kigwangala yametupa ufunuo na kutupa maswali inawezekana vipi Kiongozi wa Tanzania akanunua nyumba shilingi bilioni 25 uko Dubai,na wengine wamenunua nyumba za bilioni 6 Masaki,je wamelipwa kitu gani hadi wamepata pesa hizo,je wameuza nini hadi kupata fedha hizo!? Je ni...
  9. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Kama haulipwi mshahara wa 6 million kwa mwezi usinunue gari

    Mwanahabari nguli hapa nchini, Jenerali twaha ulimwengu amewaasa vijana kuacha mara moja kununua magari kama hawana kipato cha million 6 kwa mwezi. Mwanahabari huyo ameainisha kuwa, Nimepata feedback kwa vijana wanasema wakiwa na kipato cha million mbili wanaweza kununua gari. Tatizo hapa ni...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mara: Wafanyakazi wa Mgodi wa Dhahabu CATA MINING warejesha mgomo, walala ofisini wakisubiri mshahara

    Wafanyakazi wa Mgodi wa Dhahabu CATA MINING ulioko Kijiji Katalyo, Wilaya ya Butiama wamerejea kwenye mgomo na wakulala ofisini wakishinikiza Mwekezaji wa Mgosi kulipwa mshahara na malimbikizo, ikiwa ni wiki moja tu tangu walipositisha mgomo baada ya kuahidiwa kuwa watalipwa Januari 11, 2024...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Hili suala la posho ya mbunge ya siku moja kuzidi mshahara wa mwezi wa Mwalimu, HALIKUBALIKI!

    Salaam wapenzi wana JF. Leo nimeamua kuwasilisha hii kero ya ukosefu wa usawa linapokuja suala la kufaidi keki ya Taifa. Yaani haiingii akilini kabisa kwa mbunge kulipwa pesa ya posho ya siku moja ambayo ni kubwa zaidi kuliko mshahara wa Mwalimu wa mwezi mzima. Siyo sawa kabisa. Ahsanteni.
  12. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kumuongeza mshahara huyu kijana

    Kijana anastahili kuongezewa mshahara na Boss.
  13. BigTall

    JamiiForums Tanzania Lini ilikuwa mara ya mwisho Mshahara wako ulikutana na unaofuata?

    Kuna swali najiuliza hivi kadiri unavyoata fedha ndivyo majukumu yanaongezeka au ni akili tu inajiambia sasa hivi kipato kimeongezekana nawe ongeza matumizi? Nasema hivyo kwa kuwa mara nyingi imetokea kwa watu wengi hasa sisi wa hali ya kawaida na hali ya chini imekuwa kawaida mishahara...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa SGR, Dar, Tabora, Dodoma na Singida wagoma wakishinikiza kulipwa mshahara

    Baadhi ya Wafanyakazi wanaoshiriki katika Ujenzi wa Mradi wa Reli ya SGR wameshiriki katika mgomo wa kutofanya kazi leo Jumamosi Januari 6, 2024 kutokana na kinachodaiwa kutolipwa mishahara yao ya Desemba 2023. Licha ya kupunguza wafanyakazi zaidi ya 600 hivi karibuni Mkandarasi Mkuu wa SGR...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Nifafanulie formula atakoyotumia nabii au mtume kunifanya mimi mwenye mshahara wa 1,500,000 nijenge au ni nunue gari

    Amani iwe kwenu, Kumekuwepo na maneno mengi juu ya miujiza inayofanywa na wachungaji ,manabii na mitume kuwa, wanaweza kufanya miujiza ukabadilisha maisha yako mfano ukapandishwa cheo kazini, ukajenga ukapata mtoto na hata ukanunua gari. Mnaowaamini hao mitume na manabii leteni ufafanuzi...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa 2,116,000 kwa Kikokotoo kipya atalipwa shilingi ngapi akistaafu?

    Naomba kwa wenye utalamu wa kujua kwa mtumishi mwenye mshahara 2,116,000. Na kafanya kazi kwa miaka 32. Kwa kikokotoo hiki kipya 1 atalipwa keshi tshs ngapi? 2 pesa ya kila mwezi atakuwa anachukua kiasi gani Naomba kwa anaejua anisaidie
  17. mkarimani feki

    JamiiForums Tanzania Kwa mshahara huu, niwekee bajeti safi ya mwezi ilii niishi bila mikopo umiza

    Kwa takehome below 700k ,nifanyeje nisione dunia ni jehanamu wala kuwa ndugu, jamaa na marafiki kuhusu mikopo ama kuenda benki ambao riba zao ziko juu sana. Wazoefu, wachumi na waatalamu niwekee mgawanyo wa bajeti safi ya mwezi ili niwe debt free. Maana sukari iko juu, vyakula vikojuu, kodi nk
  18. Championship

    JamiiForums Tanzania Una mshahara wa laki nane, kwanini uchukue mkopo na kuanza kukatwa karibu laki nne?

    Mtu analipwa laki 8 kwa mwezi baada ya makato yote halafu anachukua mkopo wa milioni 10+ na anaanza kukatwa karibu laki 4 kwa miaka mitano. Hizi akili watu wanatoa wapi? Hela zenyewe hamna cha maana mnafanya na matokeo yake mnasumbua watu kwa kuombaomba na mnapoteza ufanisi kazini...
  19. Candela

    JamiiForums Tanzania Ananitafuta tarehe za mshahara tu

    Wakuu, mmoja wa wapenzi wangu hunitafuta anpoona mshahara umekaribia. Yaani kuanzia tarehe 20 anakesha na mimi mpaka tarehe 26 nikipokea tu mshahara anapotea. Haombi pesa lakini binafsi huwa nampa 50,000 asubuhi akiondoka ndio hutasikia kapiga simu wala kutuma sms ila ikifika tarehe tajwa...
  20. P

    JamiiForums Tanzania Salary rate ya Fair Competition Commission ipoje?

    Habari zenu wakuu, Salary rate ya FCC inakuwa vipi? Kuna rate zao FCCGSS from 4 to 12 inakuwa inahesabika vipi? Asanteni
Back
Top Bottom