mshahara

  1. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania JInsi Mshahara wa Mkenya utakavyopigwa panga kuanzia Julai 1, 2023

    JIRANI ZETU WATAENDELEA KUKIONA CHA MTEMA KUNI , HAPO BADO ISSUE YA DOLA KUPOTEA HAIJAINGIA.. Huku Wakenya wakiendelea kukumbwa na hali ngumu ya maisha kutokana na ongezeko la gharama ya juu ya maisha, hakuna matumaini ya afueni kupatikana hivi karibuni. Hatua hii inajiri baada ya serikali...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Sintofahamu ya mpaka sasa Serikali haijawalipa watumishi mshahara wa mwezi wa mwezi Mei

    Mpaka sasa si WAALIMU, MATABIBU wala MAAFISA WA JESHI waliopokea mishahara yao ya mwezi Mei 2023. Hazina ya serikali inahitaji wastani wa bilioni zaidi ya mia sita kila mwezi kwa mishahara ya watumishi wa umma na nyingine zaidi ya bilioni 8 bilioni kwa malipo ya pensheni. Watalaam mbalimbali...
  3. Mpwayungu Village

    JamiiForums Tanzania CLOUDS: Mishahara ya walimu inadhalilisha utu wao

    Mpaka vyombo vya Habari vimeliona hili, walimu mjitathimini vinginevyo mtadharaulika mpaka kufa kwenu. Mnachekwa mpaka na watoto wanadai mmekuwa ombaomba kwa kuwaomba wanafunzi wawanunulie Chai muda wa break na wakisema pesa hawana mnawachapa. Walimu wengi mnawalazimisha wanafunzi wanunue...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Anahitajika Mpishi, Mshahara Milioni 1.-Kwa Balozi wa Uingereza nchini Tanzania

    View Vacancy - Chef (08/23 DAR) The British Government is an inclusive and diversity-friendly employer. We value difference, promote equality and challenge discrimination, enhancing our organisational capability. We welcome and encourage applications from people of all backgrounds. We do not...
  5. The unpaid Seller

    JamiiForums Tanzania Mahmoud Ahmadnejad: Rais aliyekataa mshahara mkubwa na kuendelea kupokea mshahara wa mwalimu na kurudi na kufundisha baada ya miaka 8 ya urais

    Mwanaume Aliyeitawala Iran kwa Miaka 8 akiingia kwenye Basi kwenda Kazini kama mwalimu, kazi yake kabla hajawa rais. Rais wa zamani wa Iran Mahmoud Ahmadinejad, ambaye aliongoza taifa la Iran kwa miaka 8, sasa anafanya kazi kama mwalimu. Picha ya Ahmadinejad akitumia usafiri wa umma ilionekana...
  6. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Mwalimu mwenye kujua kazi ya 2% ya makato ya Mshahara wake kwenda CWT tukutane hapa

    Niko siti ya mbele karibuni walimu. Tahadhari, walimu wa ajira mpya itakayotolewa mapema mjihadhari na mkato ya 2% ya vyama vya wafanyakazi, lipeni 5,000 makato ya kila mwezi. KARIBUNI
  7. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania "WICLIFFE MOENGA" kijana, aliemaliza degree yake ya IT, Amehack mfumo wa serikali na kunilipa mshahara

    "WICLIFFE MOENGA" kijana,aliemaliza degree yake ya IT, Amehack mfumo wa serikali na kujilipa mshahara kwa muda wa mwaka mmoja bila serikali kujua. Aliongeza Jimbo nchini kenya na kuwa MBUNGE, na kuendelea kupokea Mshahara pasipo kujulikana. Elimu,imemkomboa japokuwa yupo mikono salama kwa Sasa.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Miaka mitano baada ya kumaliza chuo, hatimaye naenda kwenye mshahara wa Milioni 6, bado siamini, nawaza sana

    Wameniconferm jana, niende kituo cha kazi huko Geita ,mwezi ujao, hapa nilipo nahisi kama naota vile. Naona siku kama haziendi niende nikalipoti, nahisi kama jamaa wanaweza ahirisha vile, nawaza namna gani maisha yangu yanaenda kubadilika, nawaza namna gani naenda kuitoa familia yangu kwenye...
  9. GEITA NAFAKA BORA

    JamiiForums Tanzania Kipi bora kwa graduates kati ya mtaji wa milioni 4 au kuwa mwalimu wa primary mshahara wa Tsh. 300,000

    Habarin ndugu Wana JF. Nimekaa nikafikiria sana kati ya pande hizi mbili zinazokinzana. Hivi nikipi kinaweza kuwa bora zaidi kwa mhitimu wa elimu ya juu ambaye hana Ramani yeyote maisha lakini ndoto zake ni kuwa mkubwa kiuchumi. Mara ghafra tuu ikatokea hii option. Je wewe kama mwanaJf...
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Mimi mfanyakazi Namba 1 sikupata nyongeza ya Mshahara

    Akizungumza kutoka katika Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi (Mei Mosi), #RaisSamia amesema ongezeko la 23% la Mshahara lililofanyika mwaka 2022 halikuwagusa Wafanyakazi wote akiwemo yeye. Amesema lengo la nyongeza hiyo ilikuwa kuwainua Wafanyakazi wa Kima cha Chini huku ikiongeza Posho kwa...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya Kazi Ubalozi wa Uingereza, Mshahara Milioni 5.3 kwa Mwezi

    View Vacancy - Senior Programme Manager (04/23 DAR) The British Government is an inclusive and diversity-friendly employer. We value difference, promote equality and challenge discrimination, enhancing our organisational capability. We welcome and encourage applications from people of all...
  12. Mr Q

    JamiiForums Tanzania Kwanini watumishi hawana hamu na tarehe 1/5/2023 sikukuu ya wafanyakazi? Ni majeraha ya nyongeza ya 23% mshahara?

    Kama mjuavyo mwaka jana watu walikuwa kimuhemuhe cha nyongeza ya mishahara kwa asilimia 23.3 kitu ambacho "msigwa na raisi wa tukta" hawana majibu ya namna asilimia hizo zilivyo ongezwa kwenye mishahara ya watumishi. Jambo hilo huwenda ndio chanzo cha watumishi walio wengi kupoa mioyo yao...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Mwenyekiti wa Mtaa na Diwani ni shilingi ngapi?

    Habari za saa hizi Wanajamii Forums, Kwa mtu anayejua, Mwenyekiti wa Mtaa na Diwani wanalipwa mshahara kiasi gani, na wakistaafu wanalipwa shilingi ngapi?
  14. B

    JamiiForums Tanzania Video ya wimbo huu Wa zamani unaoitwa "chezea mshahara, usichezee kazi" nitaipata wapi

    Nliona video ya huu wimbo mwaka 2007, Moja ya mistari yake unaimbwa, (usione twaendeshaa, tunafanya kazii) ×2..video yake ntaipata wapi
  15. Desierto

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyofanya kazi kwa mrundi kwa mshahara wa laki 3 kwa mwaka Kigoma

    Maisha hata yasikie tu kwa mwebzio yaani kufupisha story ni hivi, Saa 12 asubuhi natoa kichwa change chini ya mabehewa ya treni, nakaa kwnye kiti pembezoni mwa dirisha, macho yanavutiwa na mandhari nzuri ya kijani na miti mirefu na mifupi ya michikichi\migazi, Naona watu wamesimama pembezoni...
  16. Jumanne Mwita

    JamiiForums Tanzania Mshahara haujawahi kutosha labda uibe

    Kijana wa Kitanzania popote pale ulipo, kwenye kazi yeyote ile, kama unapiga kazi kisawasawa na malipo yako hayafurahishi, DAI UNACHOSTAHILI! Kuna ubaguzi sana kwenye hizi ajira ni njaa tu zinawafanya watu wawe kimya. NB; Ushauri wangu siyo sheria usije ukajichanganya, Badala ya kudai...
  17. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Agricultural Manager, Tanzania - mshahara kuanzia milioni 7 hadi 10 na other benefits

    Location - Tanzania Salary - USD3000 to USD4000 plus accommodation, vehicle and medical aid, depending on experience Our client is a large established agricultural organisation who is looking for an additional 1 or 2 Agricultural Managers to join the team in Tanzania. Our client is a...
  18. Amaizing Mimi

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa wanaojua Viwango vya Mshahara kwa Mwalimu nchini Botswana

    Habarini wanajamvi, Nimechoshwa na maisha ya walimu hapa nchini. Nimekuwa nikiona baadhi ya machapisho kuwa angalau Botswana kuna kaunafuu. Kwa anaejua mshahara wa Mwalimu wa Degree nchini Botswana naomba anijuze, na pia connection kama itawezekana. Ahsanteni.
  19. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi Zanzibar waongezewa Tsh. 47,000 kima cha chini cha Mshahara

    Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imetangaza kima cha chini cha mishahara kwa sekta binafsi, kikipanda kutoka Sh300,000 hadi kufika Sh347,000. Akitangaza viwango hivyo jana, Waziri wa Nchi Ofisi ya Kazi, Uchumi na Uwekezaji, Mudrick Ramadhan Soraga alisema viwango hivyo vitaanza kutumika Aprili...
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Man City yapanga kumpa Erling Haaland mshahara wa Tsh. Bilioni 1.4 kwa wiki

    Baada ya Real Madrid kuonesha nia ya kutaka kumsajili mshambuliaji huyo, Manchester City inataka kuboresha mshahara huo ili kumshawishi abaki. Haaland (22) ambaye amefunga magoli 42 katika michuano yote msimu huu, ana mkataba hadi Mwaka 2027 Kwa sasa, Haaland analipwa Paundi 375,000 kwa wiki...
Back
Top Bottom