mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,663
- 18,037
Huko Saudi Arabia waarabu wameamua kumwaga pesa kama mawe!! Timu ya Al Ittihad ambao ni mabingwa wa Saudi Arabia wamempandia dau Mohamed Salah la kufa mtu. Kwanza wametoa offer ya uhamisho kutoka liverpool ambayo ni rekodi mpya ya dunia., offer ya USD 270M. Awali Liverpool walikataa offer ya USD 189M. Ndo matajiri wa Saudia wakaja tena na offer iliyoboreshwa hapo jana. Lengo ni kwamba wamng'oe leo tarehe 7/9/2023 ambapo ndiyo mwisho wa dirisha la uhamisho huko uarabuni!!
Salah mwenyewe amepewa offer ya mshahara wa Pound 2.45M kwa wiki (USD 3.06M), ambazo ni sawa na Tsh bilioni 7.66 kwa wiki nakwa mwezi ni zaidi ya bilioni 30!!
Je Salah atakubali kuipoteza fursa hiyo kama liverpool watamkatalia?
Saudi Pro League champions Al Ittihad are making a new attempt to land Liverpool star Mohamed Salah by tabling a world record 215 million-pound ($270m) offer, according to The Sun.
The Sun reported that Salah, the world’s highest profile Arab footballer, has been offered a Saudi Pro League record salary of £2.45m a week.
It also reported Salah had been also offered a significant percentage of shirt sales, a £55,000 win bonus, and ambassadorial roles with at least three major Saudi companies for the duration of his contract.
Ila pesa zikiwa nyingi hivyo nadhani zinakosa hata utamu wake!!
Salah mwenyewe amepewa offer ya mshahara wa Pound 2.45M kwa wiki (USD 3.06M), ambazo ni sawa na Tsh bilioni 7.66 kwa wiki nakwa mwezi ni zaidi ya bilioni 30!!
Je Salah atakubali kuipoteza fursa hiyo kama liverpool watamkatalia?
Al Ittihad offer Liverpool world record fee for Mohamed Salah: Report
The Sun reports that officials from the Saudi club are in the UK to make a $270m offer for the Egyptian superstar.Saudi Pro League champions Al Ittihad are making a new attempt to land Liverpool star Mohamed Salah by tabling a world record 215 million-pound ($270m) offer, according to The Sun.