Mshahara: Askari Magereza anaeanza kazi na Cheti cha Kidato cha Nne

WeedLiquorz

JF-Expert Member
May 30, 2022
3,282
5,451
Salaam Wakuu.

Samahani, yeyote mwenye kutambua viwango vya Mishahara ya hawa jamaa hasa kwa hawa walioanza kazi Mwaka huu, naomba kujuzwa.

Najua Mshahara ni siri hivyo ni ngumu sana kupata majibu sahihi kwa watu unaoishi nao mtaani ila humu inaweza kuwa rahisi

Angalizo; Mimi si Askari na sina nia mbaya (naomba jibu tu kiroho safi huna jibu kausha).

Karibuni🙏
 
Salaam Wakuu.

Samahani, Yeyote mwenye kutambua viwango vya Mishahara ya hawa jamaa hasa kwa hawa walioanza Kazi Mwaka huu, naomba kujuzwa.

Najua Mshahara ni siri hivyo ni ngumu sana kupata Majibu sahihi kwa watu unaoishi nao Mtaani ila humu inaweza kua rahisi

Angalizo; Mimi si Askari na sina nia mbaya (Naomba jibu tu Kiroho Safi huna Jibu Kausha)

Karibuni🙏
Thread imenifanya nikumbuke stori ya job mate ambaye mke wake alikuwa anataka afahamu mshahara wake ili jamaa akipata mshahara mwisho wa mwezi wakae na mke wake ili wapange matumizi ya mwezi, kitu ambacho jamaa alikuwa hataki na mwisho wa siku mke alitumia njia za panya Kama hizi akajua mshahara wa mumewe
 
Una akili wewe Jamaa😅, Ila me nimejiridhisha ni kweli sijadanganywa ni vile tu siwezagi amin KE moja kwa moja.
 
Kule njaa kali sana mwanangu, mvua ni chini ya mm 600 kwa mwaka. Kuna kipindi kirefu sana cha jua (msoto) ukilinganisha na ukanda wa barabara kuu
 
Uaskari magereza, inaonyesha ni msoto, sasa kama hela ndogo hivyo na marupurupu hakuna, si hatari sasa?
Inaogopesha sana.
 
Back
Top Bottom