mshahara

  1. Mlalamikaji daily

    JamiiForums Tanzania Kitu gani kinapelekea mshahara kutoka kwa mafungu awamu hii?

    Natamani kujua, Maana kwa uelewa wangu kama ni system ingeweza kuwa tofauti ya dakika tu, au angalau range ya masaa mawili kwa Kila mfanyakazi kupata mshahara, Lakini Hali hii ya mpishano zaidi ya siku mbili mpaka tatu ni wazi Kuna shida mahali.. Wasi wasi wangu ni kuwa pengine mheshimiwa Raisi...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Msaada: Anayefahamu mshahara wa PUTs

    Habari za leo wana bodi. Niende moja kwa moja kwenye mada, naomba anayefahamu mshahara wa PUTs anisaidie Kwa anayeanza kazi. Natanguliza shukrani kwa wachangiaji.
  3. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Kenya kama Malawi, wapanga kupeleka vibarua wa Mashamba ya Israel kwa ujira wa Ksh. 228,000 (4,000,000Tsh)

    Kenya inapanga Kupeleka Vijana wapatao 1,500 kuwa Vibarua wa Mashamba ua Wayahudi Kufuatia Vibarua zaidi ya 10,000 wengi wao kutoa Thailand kukimbia Vita vya Israel vs Hamas hivyo kuacha mashamba ya waloweso yakiwa hayana Vibarua. Israel Kwa Sasa imekuwa inakimbilia Afrika ambako watu Wana...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kipindi unafurahia kulipwa mshahara mkubwa wakuanzia mil 3-5, basi tambua kuna watu nchi hii wanalipwa mpaka mil 13-27 private sector

    Hakika kuna watu wanalipwa aisee, sisi tuendelee kupambana. Nimeona salary slip ya Jamaa yangu nimejiona mie bado kabisa.
  5. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Makato ya Mshahara kwa Daktari mpya Serikalini, bado tuna safari ndefu sana

    Kwa makadirio, mshahara wa daktari Serikalini basic ni 1,480,000 HESLB wanakata 222,000 74000 ya PSSSF kodi ni 290,580 bima ya afya 44,400 Unabaki na 849,020 Toa kodi ya nyumba, bill ya maji, umeme, usafiri na chakula halafu niambie unabaki na sh ngapi?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Siku ya kwanza ulivoanza kukatwa marejesho kwenye mshahara wako ulijiskiaje?

    Wale waliokopa kupitia mshahara siku ya kwanza ulivoanza kukatwa marejesho kwenye mshahara wako ulijiskiaje...funguka
  7. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania Kulikoni mpaka leo mshahara wa novemba haujaingia?

    Tuliopo TRA mpaka sasa mshahara haujaingia? Kuna tatizo gani huko Hazina
  8. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Bukoba: Mwalimu atakiwa kurejesha Mshahara aliolipwa kwa kufanya Udanganyifu kwa Mwajiri

    Novemba 22, 2023 katika Mahakama ya Bukoba imeamriwa kesi ya Jamhuri dhidi LYDIA KOKUSHOBOKA KAOO, ambaye ni alikuwa mwalimu wa Shule ya Msingi Kashai- Manispaa ya Bukoba. Imemtia hatiani kwa makosa mawili la kwanza matumizi ya nyaraka kumdanganya mwajiri kwa kuandika barua kwa mwajiri...
  9. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Hii chelewa chelewa ya mshahara inanipa wasiwasi

    Hello, Ni miaka 7 sasa mishahara tunapokea tarehe 21, 22 au 23. Kama tarehe 21 ikiangukia katikati au mwisho wa wiki mshahara tunaupata tarehe hiyo. Kama tarehe 21 ikiwa Jumapili au Jumatatu basi Jumanne tarehe 22 tunapata mshahara. Sasa jana tarehe 22 Jumanne kwa kawaida ilibidi watumishi...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Walitumia kigezo gani kupanga mshahara wa Mwalimu?

    Hii kitu inafikirisha sana kuona mwalimu analipwa 300,000 kwa mwezi Sawa na Bei ya pair MOJA ya kiatu/Raba air Jordan og grade one pale england
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Walimu wasotea mshahara miaka 11 Shule ya Wazazi CCM

    Watumishi 14 wakiwamo walimu wa shule ya Jumuiya ya Wazazi ya CCM), Bulima Sekondari iliyopo Wilaya ya Busega mkoani Simiyu, wamekuwa katika sintofahamu baada ya shule hiyo kubinafsishwa bila kupewa taarifa. Aidha, walimu hao wamekuwa na madai matatu dhidi ya mwajiri wao ambayo ni barua ya...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Mwezi wa tisa na mwezi wa 10 haujaingia kwa baadhi ya Waajiriwa wapya, huko Karatu-Arusha

    Kwako waziri husika, sanasana hapo Tamisemi. Kwanza nitoe shukrani kwa Rais wa Tanzania, kwa kuweza kutoa ajira, hatimaye nikaitwa kufanya usaili na mwisho wa siku nikapata ajira na kupangwa halmashauri ya karatu. Kwakweli huu mchakato wa kuingia kazini kwa baadhi ya waajiri wapya umekuwa...
  13. Candela

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa IT hapa bongo

    Aisee wadau kuna mtu kaniuliza mshahara wa IT hapa Bongo umekaaje na soko likoje kwa mtu aliesoma IT, COMPUTER SCIENCE au COMPUTER ENGINEERING na kozi relevant na hizo.
  14. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania ( Uzalendo)Nimekataa mshahara wa milioni 50 kwa mwezi ili nirudi nyumbani Tanzania

    Hapa majuzi nilipata email kutoka shirika moja la Afya hapa Marekani jina kapuni kutokana na usiri( privacy) ya kimkataba na sheria ya hilo shirika na pia naweza kushitakiwa na then ninaweza kukosa madili mengi mengi ya hapa ya hapo ukimani kwenu Kutokana na uzalendo wangu nimeamua kurudi...
  15. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Kuna kundi kubwa la watumishi ambao bado hawajapata mshahara mpaka leo tarehe 25-10-2024

    Ni kweli taasisi nyingi tu za umma bado hawapata mishahara yao hadi muda huu saa7 kasoro dakika 13 mchana. Naomba Mungu anipe nguvu na huruma ya kuwavumilia watumishi niliowakopesha, nilipatwa na jazba sana kwa hatua ya kuchukua simu zao. Nimetafakarii sana hatua Ile, nimejifunza jambo kama...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Oktoba bado haujatoka, wafanyakazi tunalia njaa

    I swear to God, Mshahara ukichelewa even another single day Nafwa jamani. Ni shida kutegemea mshahara Ajitokeze jamani mtu uwiiiii mshaharaaa nafwaaa mimi. Mshaharaaa uwiii
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Gabon: Jenerali Brice Nguema akataa kulipwa Mshahara wa Urais, apunguza Posho za Wabunge

    Kiongozi huyo wa Kijeshi ametangaza rasmi kuwa hatochukua Mshahara huo kwa muda wote atakaokuwa Madarakani isipokuwa ataendelea kupokea Mshahara wa Kamanda wa Jeshi, nafasi ambayo alikuwa akiitumikia kabla ya Mapinduzi yaliyomuondoa Ali Bongo. Msemaji wa Serikali amesema Jenerali Nguema...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua mshahara wa muuza duka la nguo Kariakoo

    Habari wana Jamiiforums? Naomba kujuzwa range ya mshahara wanaolipwa vijana wanaouza kwenye maduka ya nguo kariakoo. Na baadhi ya Vipengele muhitimu kwenye makubaliano baina ya boss na mfanyakazi.
  19. Suley2019

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Rais Museveni aagiza ongezeko la mshahara kwa wahadhiri wa masomo ya sayansi

    Rais Museveni ametoa agizo kwa serikali kuongeza mishahara ya walimu wanaofundisha programu za sayansi katika vyuo vikuu vya umma. Agizo hili limetokana na taarifa iliyotolewa na Profesa Eli Katunguka, Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kyambogo, ambaye alionyesha wasiwasi kuhusu changamoto...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Ukisikia kufuru ya pesa ndiyo hiyo: Cristiano Ronaldo analipwa Dola za Marekani $6.78 kwa sekunde kama mshahara wake!!

    Mshahara wa Ronaldo ni kama ifuatavyo: Ronaldo's mind-boggling new salary equates to: Monthly: $17.75m Weekly: $4.43m Daily: $633,928 Hourly: $24,413 Per minute: $406.88 Per second: $6.78 Kwa pesa za Tanzania (leo $1=Tsh 2500/=): Kwa mwezi: 44,375,000,000/= (Tsh bilioni 44.375) Kwa wiki...
Back
Top Bottom