msamaha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Nimemfuma mke wangu akiliwa uroda daaah! Nimemuomba msamaha na yeye ameniomba msamaha tumesameana

    Ila shida nimemzoea nikimuacha nitampata wapi mwingine? Na ukiangalia mie mwenyewe ni domo zege huku mwanamke nimemoata kibahati nilikutana nae pale mbagala rangi tatu nyuma ya stendi ya magari ya kusini pale akijiuza na nilimchana akanirlewa sana Mwanzoni alionekana kubadilika sana hakutaka...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Biden kapitisha Jumapili ya Pasaka iwe siku ya Mwonekano wa Watu waliobadili jinsia, Trump amlaani na kumtaka awaombe msamaha wakristo.

    Rais wa Marekani, Joseph Biden ametangaza rasmi kwa taifa lake kwamba leo Jumapili ya Pasaka Tarehe 31 Machi ni siku rasmi na maalumu ya kuonyesha mwonekano kwa watu wote waliobadili jinsia, Trump ameonyesha kukasirishwa kwa maamuzi haya na kumsihi Biden awaombe msamaha mamilioni ya wakristo...
  3. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Rais wa Senegal atangaza msamaha wa jumla kwa wapinzani wa kisiasa

    Taifa hilo la Afrika Magharibi linakabiliwa na mzozo mbaya wa kisiasa katika kipindi cha miongo kadhaa baada ya Sall kuahirisha gafla uchaguzi wa rais wa Februari 25 saa chache kabla ya kampeni ya uchaguzi huo kuanza. Sall ameitangaza hatua hiyo ya msamaha kama njia ya kuiunganisha nchi, baada...
  4. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Aliyeachiwa kwa msamaha wa Rais ahukumiwa miaka 30 jela

    JOHN Chibuga (31), mkazi wa Kijiji cha Bugolola wilayani Ukerewe, mkoani Mwanza, ambaye Desemba 9, mwaka jana aliachiliwa kwa msamaha wa Rais, amehukumiwa kifungo cha miaka 30 gerezani baada ya kukutwa na kosa la unyang'anyi wa kutumia silaha. Mwendesha Mashtaka wa Serikali, Aidan Nziku, alidai...
  5. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Nilitarajia CHADEMA wangetumia msiba wa Lowasa kuiomba msamaha familia yake

    Habari zenu wanaJF wenzangu Kwanza natoa pole kwa familia ya mzee wetu hayati Edward Lowasa kwa kuondokewa na kipenzi chao, natoa pole pia kwa watanzania wenzangu kwa kuondokewa na aliewahi kuwa waziri mkuu wetu hayati Edward Lowasa. Ki ukweli huu msiba umewashtua wengi wakiwemo ndugu zake...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Hungary: Rais ajiuzulu kwa kumpa msamaha mtu aliyehusishwa na kesi ya unyanyasaji wa kingono kwa watoto

    Rais wa Hungary, Katalin Novak ametangaza kujiuzulu baada ya kutoa msamaha kwa mtu aliyeficha taarifa katika kesi ya unyanyasaji wa kingono dhidi ya Watoto Mtu huyo alitiwa hatiani kwa kuwalazimisha watoto kubadili kauli zao kuhusu ukatili wa kingono uliodaiwa kufanywa na msimamizi wa kituo cha...
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Akiwa Kanisani, Ole Sabaya atangaza kuwaomba msamaha aliowakosea

    Mwanasiasa Lengai Ole Sabaya ambaye alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, amewaomba msamaha wote aliwakosea na kusema amewasamehe wale wote waliomkosea. Amesema hayo katika Kanisa la Ebenezer Restoration Ministry For All Nations Jijini Arusha katika ibada ya shukrani, leo Jumapili Februari 4, 2024...
  8. Daydream

    JamiiForums Tanzania Je, nimekosea kuomba msamaha?

    Niliwahi kuwa kwenye mahusiano na binti fulani ambae alikuwa nami bega kwa bega. Kuna muda tulitengana lakini alikuwa ana tabia ya kunitafuta na kunisalimia, hata kama utapita mwezi au miezi miwili lakini lazima tu atanitafuta na kunisalimia na mimi namjibu vizuri kabisa. Ingawa alikuwa...
  9. Bulamba

    JamiiForums Tanzania Ushauri katika kuuza gari lililo na msamaha wa Serikali

    Nilinunua gari mwaka 2008. Nilibahatika kupata msamaha wa Serikali mwaka 2008 katika kodi ya kuagiza hili gari kutoka ng'ambo.. Nafikiria kuliuza ili kupata gari lingine kwa maana limechakaa. Je nikiuza itabidi anayelinunua alipe kodi yote niliyosamehewa mwaka 2008? Je sheria inaruhusu kuliuza?
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Taasisi ya MOI yasema inatoa msamaha wa Tsh. Bilioni 3 kila mwaka kwa wagonjwa wanaokosa gharama za matibabu

    Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) kupitia Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini, Prof. Charles Mkony wameiomba Serikali kuangalia namna ya kuwapunguzia deni ambalo wanadaiwa kutokana na msamaha wa gharama za matibabu kwa baadhi ya wagonjwa ambao wamepatiwa huduma na kushindwa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania tususie biashara za Pauline Gekul mpaka aombe msamaha

    WanaJF, Nashauri kuanzia leo tususie biashara zote anazofanya huyu mbunge wa Babati kwa kitendo chake cha unyanyasaji. Naomba anayezifahamu aweke majina yake hapa. Tuanze na hiyo hoteli inaitwa Palii sijui nini. Hakuna kufanya biashara na muuaji au wanaomsapoti mpaka akili iwakae sawa...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Mzazi wako akikukosea anakuombaje radhi?

    Wakuu, Mzazi wako akikukosea anaombaje msamaha? Omba msamaha kama mzazi/mlezi wako anavyokuomba akikukosea. Twende kazi... ==== Unajua wewe ndio umesababisha mpaka nikakuchapa (kosa linatajwa upya na lawama zote zinarudi kwako zinarudi kwako tena, hapo ndio imetoka hiyo😂😂😂).....
  13. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Inaitwa "Colonal Crime", Msamaha hautoshi, Ujerumani ilipe fidia

    Hakutembelea Makumbusho ya Vita ya Majamaji bali alitembelea makumbusho ya Uhalifu wa Kikoloni. Hivi ndivyo inavyoitwa duniani, ni uhalifu wa Kikoloni "Colonial Crimes'. Na hivihivi tumwambie mgeni wetu Rais wa Shirikisho la Ujerumani kuwa hayo ni Makumbusho ya Uhalifu wa Kikoloni. KUHUSU...
  14. Ngurukia

    JamiiForums Tanzania Bongo Star Search hiki mnachofanya ni udhalilishaji

    Hiki kipindi kadri siku zinavyozidi kwenda kinazidi kuwa cha kidhalilishaji. Ma judge wamekuwa na tabia za kuattack utu wa watu kuliko hata kuangalia vipaji wanavyopaswa kuangalia. Shilole alikuwa mchafu mpaka miaka ya hivi karibuni tu baada ya kushika vijipesa sasa ghafla kawa msafi mno kiasi...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tamko la wana Kawe ( Raia ) kwa Wanajeshi wa Lugalo baada ya KUTESWA kwa VIPIGO na KUUMIZWA vibaya, huku hadi leo JWTZ halijawaomba msamaha

    1. Kuanza sasa RAIA wa Kawe TULIOPIGWA, TULIOTESWA na KUUMIZWA vibaya hatutaki tena Wanajeshi wa Kawe kuja KUTUKOPA Pesa Sisi Raia wa Kawe na badala yake waende wakamkompe Amiri Jeshi Mkuu au CDF wao bila kumsahau Waziri wa Ulinzi 2. Kuanzia sasa RAIA wa Kawe TULIOPIGWA, TULIOTESWA na KUUMIZWA...
  16. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Dick Cheney: Sitaomba msamaha kwa kuweka familia yako salama

    Wengi mtamkumbuka Cheney kama makamu wa Raisi wa George Bush. Cheney alipitia criticism sana kwa kuwa ali engineer kufanya vita dhidi ya Iraq na mataifa yoyote yaliyo husishwa na janga la gaidi 2001 pale World Trade Centre. Katika moja ya interview yake ya mwishoni mwa career yake ya uongozi...
  17. Maleven

    JamiiForums Tanzania Kuomba msamaha na kukubali kosa ni janga kwa wadada wengi

    Akijitahidi sana kuomba msamaha utasikia "Sawa basi nimekosa" "Aya basi nisamehe" hapo ni baada ya kumbana kona zote na ameona hamna pa ku excuse. Kwanini? Kwanini inakua shida kukubali kukosea na kuomba msamaha genuinely?
  18. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Licha ya ushahidi wa AL Jazeera, kwanini Hamas hawataki kuomba msamaha familia za Wapalestina 500 waliofariki kwa kombora lao kupata hitilafu?

    Si kila kombora linalorushwa na Hamas huwa linafikia target, Kuna mengine yanashindwa kuvuka yanadondokea ndani ya Gaza, Kwa lugha ya kitaalamu inaitwa "Misfire". Ifuatayo ni Video inayoonyesha kilichotokea, chanzo ni cha kuamika AL - JAZEERA 18:59 - Kombora linalorushwa kuelekea Israel lina...
  19. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania Familia ya msichana mweusi wa Ireland aliyebaguliwa yasema msamaha 'hauna maana'

    Mama wa msichana mweusi ambaye hakupewa medali katika sherehe ya michezo ya sarakasi nchini Ireland anasema msamaha aliopokea "hauna maana". Video iliibuka hivi karibuni ikionyesha madai ya ubaguzi wa rangi ya kijana mweusi akipuuzwa na afisa ambaye alikuwa akigawa medali katika hafla...
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Vicky Kamata asema marehemu mume wake "Alikuwa na vinyumba vya kawaida na msururu wa watoto!"

    Nakuomba msamaha mume wangu kwa kuwa mimi ni Mkatoliki na Imani yangu inaniambia unaona na unajua kila kitu kinachoendelea kati yangu na wanao. Najua muda utaongea lakini kwa kuwa nami ni binadamu naomba niseme yafuatayo! Ni kweli mimi ni kiumbe dhaifu na mwenye dhambi nyingi tu kama wengine...
Back
Top Bottom