msamaha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atoa msamaha kwa wafungwa 1548

    MIAKA 63 YA UHURU WA TANGANYIKA: Katika kuadhimisha sherehe hiyo, Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais Dk. Samia Suluhu Hassan leo Disemba 09, 2024 ametoa msamaha kwa wafungwa 1548, ambapo wafungwa 22 kati yao wanaachiliwa huru tarehe 9 Disemba, 2024, na 1526 wanabaki...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Mimi kama shabiki wa Yanga naomba msamaha Simba kwa kuwaita Mwaka-robo

    Simba ilitinga robo fainali klabu bingwa Africa mara nyingi mfululizo, hadi kuipandisha ligi ya Tanzania na kwenye chati na kuwa moja ya ligi bora Africa, Yanga tukadhani ni kitu kirahisi tukabeza na kuanza kuwaita Mwakarobo Leo hii naona ugumu wa kazi waliyokuwa wanaifanya Simba, Yanga katika...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Ally Kamwe amtolea povu Baba Levo "Sijakutuma kuniombea msamaha"

    Ally Kamwe amtolea povu Baba Levo: akisema: "Sijakutuma kuniombea msamaha," baada ya Kampuni ya Kisheria inayomwakilisha mfanyabiashara Sandaland the Only One, mtengenezaji wa jezi za Klabu ya Simba, kumtumia barua ikimtaka kulipa fidia ya Shilingi Bilioni Tatu. Barua hiyo inadai kwamba kauli...
  4. ngara23

    JamiiForums Tanzania Huwa unatumia mbinu Gani kumuomba mwenza wako msamaha

    Sisi wanaume wa Kanda ya ziwa ni kosa la jinai kutamka samahani mbele ya mkeo au watoto hata ukosee vipi na kosa liwe wazi Tunaamini kulitamka hilo neno ni udhaifu Kwa mwanaume Huwa tunaomba msamaha Kwa vitendo sio Kwa kusema na mwanamke ataelewa kabisa kwamba Kwa matendo haya naombwa msamaha...
  5. Shanily

    JamiiForums Tanzania Jinsi msamaha kutoka moyoni unavyoweza kuwa tiba maishani

    Kwa binadamu yoyote ambae ana akili timamu ni jambo lisiloepukika kupitia changamoto ya dharau, kashfa , kebehi , matusi kutoka kwa majirani, marafiki au watu wetu wa karibu kama mke , mume au familia zetu. Tukiwa kama binadamu, hatuwezi kuzuia hali ya kuchukizwa , kuwa na nogwa au hasira...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Kuna watu hata kama umemsemehe husiwarudishe au kua karibu nao katika maisha yako utaepuka mengi

    Usijifanye kua mwenye huruma kuliko Yesu au Nabii wa Mungu kuna watu Mungu amekuepusha usiwe nao katika maisha yako watakufanyia makubwa zaidi na walio kutendea mwanzoni, jifunzeni kukinai bila kutumia chuki. Watu wengi wamekufa au kufilisiwa mali baada ya kujifanya wana huruma wa kusamehe na...
  7. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Katika mazingira yasiyo ya kawaida Manara amuombea msamaha Ally Kamwe sakata la Sandaland

    Utu uzima dawa Manara ametumia utu uzima na busara zake kumuombea msamaha Ally Kamwe . Adai masuala ya michezo ni tofauti sana ni mambo mengine kama uinjinia , udaktari ..nk https://youtu.be/cUoVBt40irw?si=8ujhQqXeDnsOBJ7U
  8. Minjingu Jingu

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wetu Hersi jishushe nenda kamwombe msamaha Haji Manara aturudishie Mganga wake

    Mimi sina mengi. Baada ya kuwa tumekosa kumtumia yule mganga sasa hali yetu imekuwa mbaya. Hata ile namna nyingine ambayo tuliamua kuwa ingetusaidia katika kupata ushindi matches hizi inakuwa ngumu sababu ni... Turudie katika asili yetu. turudi kule ambako kulitusaidia tukawa Yanga ile. Tatizo...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Najuta sana kuharibu ndoa ya huyu jamaa. Nitumie mbinu gani kumuomba msamaha?

    Poleni na msiba wa kariakoo watanzania wenzangu. Issue yangu iko hivi. Kuna mwanamke ni rika langu tumekua nae toka utotoni huko kwa kifupi alikua ni my childhood sweetheart, so ktk harakati za maisha tukajikuta tumepotezana.tumekuja kukutana ukubwani tukiwa chuo kikuu tukayaendeleza yale...
  10. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Kwako Steve Nyerere: Ombi la kuwasiliana na Viongozi wa Serikali kuhusu msamaha kwa Niffer na Diva

    Mpendwa Steve Nyerere, Kwa heshima kubwa, napenda kukushukuru kwa kazi zako nzuri na mchango wako wa kipekee katika kuleta maelewano ndani ya jamii yetu. Kama mmoja wa viongozi wenye ushawishi mkubwa, nina imani kuwa unaweza kuwa kiungo muhimu katika kutatua suala la Niffer na Diva kwa njia ya...
  11. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Shetani, kwa nini haukuomba msamaha yaishe? Ulipewa nafasi ya kujirudi au basi tu na wewe ulikuwa mhanga wa Matrix? Au ni kiburi chako tu?

    Eeh Mungu nisamehe kama ninakufuru!! Like nini haswa kilikuwq nyuma ya shetani kuasi. Alipata hamasa binafsi au kulikuwapo na mamlaka nyingine iliompa hamasa ili washirikiane kumpindua Mungu pamoja kwa ahadi ya vikubwa zaidi ya vile mwenyezi Mungu alivyokuwa amempa. Is lucifer, satan? Au...
  12. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Clouds Media ombeni msamaha watanzania kwa kudanganya zoezi la uokoaji kariakoo limesimama

    Hii habari ni ya uongo hakuna zoezi lililositishwa hivi navyozungumza nipo kariakoo sababu mimi ni mdau hapa. Zoezi la uokoaji liandelea watu wanapiga kazi na baadhi wamefikiwa tayari. Media kama hii kubwa inapotoa upotoshaji kama huu inawaacha watu kwenye mshtuko na kukatisha watu tamaa...
  13. Uwesutanzania

    JamiiForums Tanzania Nimekukosea sana baba yangu, naomba Msamaha

    Nimefanya makosa makubwa na nimekukosea pakubwa imetosha sasa na nimeamua kukuomba msamaha popote pale ulipo. Baba nimekua mjeuri kwako kwa kuzani kuna mahitaji ulipaswa kuyatimiza kwangu na umeshindwa kizembe, Nilikuwa nawaza kuwa: 1) Kusomesha mtoto kwenye shule za gharama ni kitu rahisi 2)...
  14. MFALME WETU

    JamiiForums Tanzania Kumwomba msamaha mpenzi wako mliepishana sana umri ni ngumu sana, wengine mnawezaje?

    Imagine mwanaume unapishana na mpenzi wako kwa zaidi ya miaka mitano af eti ukae kumwomba msamaha zaidi ya lisaa lakini haelewi 😀 aisee Huyu nishambembeleza mpaka nmechoka kisa nilimwambia leo tutameet ila sijatokea ndo kamind siku nzima wakati kazaliwa 2004.!! think i should just swallow my...
  15. O

    JamiiForums Tanzania Haji Manara anahitaji kuomba msamaha, asema sababu ya kuondoka Simba ni Try Again na si Barbara wala Mo Dewji

    Baada ya kumsikiliza Haji Manara leo katika Radio ya Clouds, kaongea mengi lakini hakuna jipya ila kuna kitu kimenigusa. Leo kasema nitawaambia ukweli sababu kuu ya mimi kuondoka Simba ni Try again sio Barbra wala Mo. Je baada ya hii kauli haoni sababu ya kuwaomba msamaha rasmi Mo na Barbra...
  16. Maleven

    JamiiForums Tanzania Nyie wenzangu wake zenu wanaomba msamaha?

    Mi akijitahidi sana anasema "basi sawa yameisha" Au "tufanye yaishe" Na likiwa more obvious anajifanya kulia, lakini hawez sema " Nimekosa mume wangu sitarudia" Kwanini?
  17. DogoWaNjombe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakili Ogola asema “Kitendo cha Gachagua kuomba msamaha inaweza kutumika kama amekiri kosa”

    Wakili Steve Ogola amesema uamuzi wa Naibu Rais, Rigathi Gachagua kuomba msamaha kwa bosi wake, Rais William Ruto unaweza kuchukuliwa kuwa ni sehemu ya kuthibitisha ana makosa. Gachagua anatarajiwa kuhojiwa na Bunge kuhusu tuhuma mbalimbali ikiwemo utovu wa nidhamu, Rushwa, kukiuka katiba...
  18. Brojust

    JamiiForums Tanzania Jamiiforum nawaomba msamaha kwa swali hili, Hivi mnapataje pesa ?

    Salaam Moja kwa moja kwenye mada, Mods na max naombeni mnilinde. Inawezekana watu wengi hawajui labda tuanze kuwekana wazi ili vijana wengine wabunifu wajifunze na waache kukopy idea za watu. Hivi ni kweli haya matangazo matangazo ya makampuni ya simu mnayoyaweka kama sponsored ads ndio...
  19. Madwari Madwari

    JamiiForums Tanzania Naona waarabu wameanza kuomba msamaha

    Mbona wanatoka na haya hadharani sasa badala ya Oct 6 mwaka jana? Mshtuko huu na kujitolea kwa Israel salama kulikuwa wapi wakati ilionekana kama Israel ndio ilikuwa karibu kuangamizwa mnamo Oktoba 7? Sina shaka na maneno yake au unyoofu wake, ninashangaa tu kwa nini anafadhaika zaidi kuhusu...
  20. Desierto

    JamiiForums Tanzania Nimemwambia leo silali nyumbani, ameanza kuwapigia ndugu zangu na ndugu zake simu wamuombee msamaha

    Alinibania nikamvumilia sasa nikaona huu ni upuzi ya nn niteseke sasa baada ya kugundua nimeanza mahusiano mapya ameanza kuvurugwa. Kipindi sina demu alikuwa ananijibu kwa jeuri kwa sababu alikuwa na uhakika yupo mwenyewe Sasa baada ya kuendeleza mgomo nikamwambia Leo sitalala nyumbani, kufika...
Back
Top Bottom