DOKEZO (Video) Raia wa Uturuki wanaojenga Reli ya SGR waendeleza mgomo, wakidai mishahara, waomba msaada kwa Rais Samia

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
A

Anonymous

Guest
Baadhi ya Wafanyakazi hao katika Mradi wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR), leo Agosti 17, 2023 wameendeleza mgomo wao wakishinikiza malipo yao kutoka kwa Mkandarasi Kampuni ya Yapi Merkezi.

Sehemu ya hotuba yao inaeleza “Sisi ni Wafanyakazi tuliopo katika Mrati Awamu ya Pili (Lot 2), Kambi ya Kilosa, tunaendelea na mgomo ambao umekuwepo kwa siku 14, sababu ni kuwa tunahitaji malipo yetu ya mishahara ya miezi saba, mara ya mwisho tulilipwa Februari 2023.

“Tunapaza sauti zetu ili kuusisitiza uongozi wa kampuni kutulipa lakini hatujapata mwitikio, hivyo, tunamuomba Rais wa Tanzania, Samia Suluhu na uongozi wa TRC kusikiliza sauti na kilio chetu kwani tunapata wakati mgumu sisi na familia zetu.”

Pia Soma:
Waturuki wanaojenga Reli ya SGR wapo katika mgomo, inadaiwa haijalipwa fedha zao

Mkandarasi Yapı Merkezi anayejenga Reli ya SGR atoa ufafanuzi taarifa za kushindwa kuwalipa wafanyakazi wake raia wa Uturuki
 
Si Wana Rais wao kule Turkiye? Samia ndio aliwaleta?

Anyway Waziri husika akae na huyo contractor na wawakilishi wao wayamalize,wanatuchelesha tuu Sgr yetu.
 
Mh!hapo kuna jambo.Ninatia shaka kuendelea kwa mradi.
 
Ushashiba kande unaropoka tu unavyojisikia.
Ut- oko majimaji war!!!
tapatalk_1692106317553.jpg
 
2025 naitaji kupeleka mchumba kwa njia ya TRAIN aiseeee sitaki kusikia migomo alafu mtuambie mnaomba kuongeza miezi ya kazi. Sitokubali
 
Si Wana Rais wao kule Turkiye? Samia ndio aliwaleta?

Anyway Waziri husika akae na huyo contractor na wawakilishi wao wayamalize,wanatuchelesha tuu Sgr yetu.
Maneno gani yasiyo na busara kiasi hicho. SGR ni ya kwetu Watanzania.........ni vizuri tukajali utu wa mtu. Miezi saba mingi sana ndugu yangu.
Wanaomba msaada kwa Raisi Samia..kwa roho nzuri tu baada ya kuona kilio chao hakisikilizwi.
 
Baadhi ya Wafanyakazi hao katika Mradi wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR), leo Agosti 17, 2023 wameendeleza mgomo wao wakishinikiza malipo yao kutoka kwa Mkandarasi Kampuni ya Yapi Merkezi.

Sehemu ya hotuba yao inaeleza “Sisi ni Wafanyakazi tuliopo katika Mrati Awamu ya Pili (Lot 2), Kambi ya Kilosa, tunaendelea na mgomo ambao umekuwepo kwa siku 14, sababu ni kuwa tunahitaji malipo yetu ya mishahara ya miezi saba, mara ya mwisho tulilipwa Februari 2023.

“Tunapaza sauti zetu ili kuusisitiza uongozi wa kampuni kutulipa lakini hatujapata mwitikio, hivyo, tunamuomba Rais wa Tanzania, Samia Suluhu na uongozi wa TRC kusikiliza sauti na kilio chetu kwani tunapata wakati mgumu sisi na familia zetu.”

Pia Soma:
Waturuki wanaojenga Reli ya SGR wapo katika mgomo, inadaiwa haijalipwa fedha zao

Mkandarasi Yapı Merkezi anayejenga Reli ya SGR atoa ufafanuzi taarifa za kushindwa kuwalipa wafanyakazi wake raia wa Uturuki
Acha wateseke maana walikuwa wanawafunga matumbo mabinti na akinadada ili wakifanya nao mapenzi kuzuia mimba, walikuwa wanampunga wanatamba kitaani na bado wakome kabisa
 
Baadhi ya Wafanyakazi hao katika Mradi wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR), leo Agosti 17, 2023 wameendeleza mgomo wao wakishinikiza malipo yao kutoka kwa Mkandarasi Kampuni ya Yapi Merkezi.

Sehemu ya hotuba yao inaeleza “Sisi ni Wafanyakazi tuliopo katika Mrati Awamu ya Pili (Lot 2), Kambi ya Kilosa, tunaendelea na mgomo ambao umekuwepo kwa siku 14, sababu ni kuwa tunahitaji malipo yetu ya mishahara ya miezi saba, mara ya mwisho tulilipwa Februari 2023.

“Tunapaza sauti zetu ili kuusisitiza uongozi wa kampuni kutulipa lakini hatujapata mwitikio, hivyo, tunamuomba Rais wa Tanzania, Samia Suluhu na uongozi wa TRC kusikiliza sauti na kilio chetu kwani tunapata wakati mgumu sisi na familia zetu.”

Pia Soma:
Waturuki wanaojenga Reli ya SGR wapo katika mgomo, inadaiwa haijalipwa fedha zao

Mkandarasi Yapı Merkezi anayejenga Reli ya SGR atoa ufafanuzi taarifa za kushindwa kuwalipa wafanyakazi wake raia wa Uturuki
wameshaanza kuiga vitabia vya ukaidi vya bongo wachunguzwee hawa unaweza kuta wana kadi za chadema
 
Back
Top Bottom