Kuna mwanamke amepanga kuniroga ili uume wangu usifanye kazi baada ya kumwambia nataka tuachane, naomba msaada nimdhibiti.

Wadiz

JF-Expert Member
Nov 10, 2022
5,413
11,065
Habari wajameni,

Kwa unyenyekevu kabisa wapendwa, jokes aside please, nakuja mbele yenu kinyonge na kuomba msaada.

Kuna mdada mmoja wa kimag'hati niko nae kwenye mahusiano miezi kama mitatu. Huyu manzi yuko Bomba sana yaani bonge la pisi kali na shoo anaweza sana.

Tatizo lake limetokea hivi huyu mdada analazimisha kutaka kunipa plot kule buza kwa mpalange. Mimi nakataa yeye anataka kuforce kisa tu anajua nina demu mwingine wa kisandawe hapa Dodoma na huyo msandawe ni pisi kali kumzidi yeye.
Imani yake jinsi msandawe alivyo anaamini huwa napewa mfumo wa buza na huyo msandawe ndiomana sitaki kumuacha.

Nimempa makavu mimi mfumo wa buza sitaki na kwa mpalange sijafika na sitegemei kufika. Nimemchana kuwa kama umethubutu kuwaza kuniteka kwa mfumo wa buza basi hufai bora tuachane.

Nampenda Mungu na zinaaa kwangu ni ajali ya nafsi ila sio kwamba ndio imenitoa Imani yote ya kumuogopa na kumuabudu Mungu.

Huyu mwanamke amefura sana na amecharuka amenitisha eti jaribu kuniacha uone. Na ameweka bayana ataanza kwao mang'ola kisha ataenda kuweka Kambi ya wiki mbili kondoa vijijini amenipa siku tano nimpe jibu ili kama nashupaza shingo aamue cha kunifanya.

Naombeni mbinu na connection za kujikinga na akijaribu kombora limgeukie.

Wadau wa kibondo, kasulu huko Kigoma na bariadi shinyanga naomba connection tafadhari. Namaanisha ntashukuru sana.

Maisha ni mapambano

Nisaidieni baharia mwenzenu.

Shukrani 🙏🙏🙏

Huyu mwanamke amefura sana na amecharuka amenitisha eti jaribu kuniacha uone. Na ameweka bayana ataanza kwao mang'ola kisha ataenda kuweka Kambi ya wiki mbili kondoa vijijini amenipa siku tano nimpe jibu la kushupaza shingo au aamue cha kunifanya.

Si atakuwa amekusaidia uache dhambi ya uzinzi au?

Otherwise ni kweli kabisa aziniye hana akili kabisa maana anafanya kitu cha kuangamiza nafsi yake
 
Habari wajameni,

Kwa unyenyekevu kabisa wapendwa, jokes aside please, nakuja mbele yenu kinyonge na kuomba msaada.

Kuna mdada mmoja wa kimag'hati niko nae kwenye mahusiano miezi kama mitatu. Huyu manzi yuko Bomba sana yaani bonge la pisi kali na shoo anaweza sana.

Tatizo lake limetokea hivi huyu mdada analazimisha kutaka kunipa plot kule buza kwa mpalange. Mimi nakataa yeye anataka kuforce kisa tu anajua nina demu mwingine wa kisandawe hapa Dodoma na huyo msandawe ni pisi kali kumzidi yeye.
Imani yake jinsi msandawe alivyo anaamini huwa napewa mfumo wa buza na huyo msandawe ndiomana sitaki kumuacha.

Nimempa makavu mimi mfumo wa buza sitaki na kwa mpalange sijafika na sitegemei kufika. Nimemchana kuwa kama umethubutu kuwaza kuniteka kwa mfumo wa buza basi hufai bora tuachane.

Nampenda Mungu na zinaaa kwangu ni ajali ya nafsi ila sio kwamba ndio imenitoa Imani yote ya kumuogopa na kumuabudu Mungu.

Huyu mwanamke amefura sana na amecharuka amenitisha eti jaribu kuniacha uone. Na ameweka bayana ataanza kwao mang'ola kisha ataenda kuweka Kambi ya wiki mbili kondoa vijijini amenipa siku tano nimpe jibu la kushupaza shingo au aamue cha kunifanya.

Naombeni mbinu na connection za kujikinga na akijaribu kombora limgeukie.

Wadau wa kibondo, kasulu huko Kigoma na bariadi shinyanga naomba connection tafadhari. Namaanisha ntashukuru sana.

Maisha ni mapambano

Nisaidieni baharia mwenzenu.

Shukrani 🙏🙏🙏

Wadiz
Nimpe namba yake.. nimkanye ,
 
Akuroge tu,mme zidi.Kwan ungekuwa umetulia na huyo unayesma pic kali yangekufika hayo yote?.AKUROGE TU.
 
Demu wangu msandawe hajui kama nina pisi ingine, nashindwa namna ya kumshirikisha , nawaza nimpe kama story ili nijue ana mbinu gani za kiushauri maana wasandawe si haba
 
Ukisikia anasema nitakuua na ana kuua kweli.

Ukisikia nitakuroga na atakuroga kweli.
 
Habari wajameni,

Kwa unyenyekevu kabisa wapendwa, jokes aside please, nakuja mbele yenu kinyonge na kuomba msaada.

Kuna mdada mmoja wa kimag'hati niko nae kwenye mahusiano miezi kama mitatu. Huyu manzi yuko Bomba sana yaani bonge la pisi kali na shoo anaweza sana.

Tatizo lake limetokea hivi huyu mdada analazimisha kutaka kunipa plot kule buza kwa mpalange. Mimi nakataa yeye anataka kuforce kisa tu anajua nina demu mwingine wa kisandawe hapa Dodoma na huyo msandawe ni pisi kali kumzidi yeye.
Imani yake jinsi msandawe alivyo anaamini huwa napewa mfumo wa buza na huyo msandawe ndiomana sitaki kumuacha.

Nimempa makavu mimi mfumo wa buza sitaki na kwa mpalange sijafika na sitegemei kufika. Nimemchana kuwa kama umethubutu kuwaza kuniteka kwa mfumo wa buza basi hufai bora tuachane.

Nampenda Mungu na zinaaa kwangu ni ajali ya nafsi ila sio kwamba ndio imenitoa Imani yote ya kumuogopa na kumuabudu Mungu.

Huyu mwanamke amefura sana na amecharuka amenitisha eti jaribu kuniacha uone. Na ameweka bayana ataanza kwao mang'ola kisha ataenda kuweka Kambi ya wiki mbili kondoa vijijini amenipa siku tano nimpe jibu ili kama nashupaza shingo aamue cha kunifanya.

Naombeni mbinu na connection za kujikinga na akijaribu kombora limgeukie.

Wadau wa kibondo, kasulu huko Kigoma na bariadi shinyanga naomba connection tafadhari. Namaanisha ntashukuru sana.

Maisha ni mapambano

Nisaidieni baharia mwenzenu.

Shukrani 🙏🙏🙏

Wadiz
Nipe namba ya huyo unayetaka kumuacha, naahidi atakusahau.
 
mbona kufirana kunapewa promosheni sana kiasi hiki?...tuungane kwa pamoja kukemea tabia hii.NB kuwa na msimamo mkuu huenda huyo manzi ni muumini wakuzibuliwa mtaro so anatafuta sababu ili uwe unamfukua, ukikubali tu kwakuwa zinaa ni maswala ya kiroho kuna uwezekano kizazi chako au watoto wako kurithi genetic za kufukua au kufukuliwa mtaro.
 
Back
Top Bottom