Msaada wa kisheria kwa wanawake

ndiuka

JF-Expert Member
Dec 21, 2009
620
703
Wakuu kuna mwanamke anahitaji msaada wa kisheria juu ya masuala ya talaka, je ni taasisi gan ya kisheria inayotoa msaada wa kisheria kwa wanawake ambayo ipo effective.

Kimsingi mume kavunja ndoa mahakamani bila mke kua na taarifa kama mume kafungua kesi ya talaka, kesi imesikilizwa upande mmoja na hukumu kutolewa mke kashangaa tu anapelekewa hukumu ya mahakama.

Alipojaribu kuomba kesi isikilizwe upya ikarudishwa kwa hakimu yule yule na hukumu ikatoka ile ile.

Mke anaona hajatendewa haki na hajui pa kuanzia hivyo anahitaji msaada wa kisheria
 
Wakuu kuna mwanamke anahitaji msaada wa kisheria juu ya masuala ya talaka, je ni taasisi gan ya kisheria inayotoa msaada wa kisheria kwa wanawake ambayo ipo effective. Kimsingi mume kavunja ndoa mahakamani bila mke kua na taarifa kama mume kafungua kesi ya talaka, kesi imesikilizwa upande mmoja na hukumu kutolewa mke kashangaa tu anapelekewa hukumu ya mahakama. Alipojaribu kuomba kesi isikilizwe upya ikarudishwa kwa hakimu yule yule na hukumu ikatoka ile ile. Mke anaona hajatendewa haki na hajui pa kuanzia hivyo anahitaji msaada wa kisheria
Akate rufaa kwakupitia hukumu ya pili ambayo Naye ameshiriki. Mahakama zina levo nyingi kwahiyo akate rufaa na aseme anataka Nini na hajaridhika na Nini.


Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Sasa mtu hakutaki wewe unang'ang'ania Nini? Kuchinjwa? Mwambie akaanze na kirago atainuka tena
 
Sasa mtu hakutaki wewe unang'ang'ania Nini? Kuchinjwa? Mwambie akaanze na kirago atainuka tena

Wanawake wagumu sana kuachika kwa mume mwenye status ama Mali za kutosha.

Ingekuwa mume wake ni wenzangu na mimi angefurahia talaka sana ili awe huru.
 
Back
Top Bottom