msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Msaada lodge nzuri Musoma

    Wanajukwaa naomba msaada wa Lodges nzuri za bajeti ya kati 25 to 30.
  2. A

    Naombeni msaada wakuu.

    Habari Wana bodi natumia wote ni wazima wa afya. Wakuu Ilikuwa kama mwezi mmoja nyuma nilianza kupata maumivu chini ya mbavu upande wa kulia, hali hiyo ili endelea ndani ya wiki mbili, baada ya hapo yaka potea. Cha ajabu Toka siku ya juzi maumivu Yale yameanza upya, pamoja na homa. Leo...
  3. Naona kama simridhishi demu wangu, ni wa moto sana

    Money Penny njoo kwanza unishauri Jamaa: Nimepata demu mkali, ana shepu kama Vera Sidika wa Kenya Mkali sana Mzuri sana Hapa hapa bongo Ila kila tukiingia kwenye tendo la ndoa naona kama simridhishi, au ni wasiwasi wangu tu? Maana ni wamoutoooooor halafu ana nata sana Nifanyaje? Haya wale...
  4. Wanasheria wabobezi migogoro ya kazi naomba msaada

    Nilimfungulia kesi mwajiri wangu kwa kuniachisha kazi unfairly tena kwa taarifa ya mdomo kwa kosa la uchelewaji wa siku moja tu ~Ni tangu mwezi April ~Kesi ipo CMA hatua ya uamuzi ~Upande wa pili hawajawahi kufika kwenye hearing lakini summons wanazipokea ~Sina mkataba wa maandishi, wala...
  5. K

    Mwenye kujua kuhusu uhamisho wa muda, naoma msaada

    Moja kwa moja kwenye mada naomba kujua stahiki za mtumishi anapokuwa " UHAMISHO WA MUDA" ambao nafikiri ni siku 90 au 120 kama sijakosea. Mimi Niko uhamisho wa muda hivyo naomba kujua haki zangu na ikiwezekana wajuzi niwekee ni sheria za kiutumishi zinasimamia jambo hili.Naona boss ananichezea...
  6. Haya wale Bana Kongo (Bandeko Nangai) Wenzangu hapa JamiiForums Msaada tafadhali

    Hakuna Kitu ambacho GENTAMIYCINE nakipenda ukianza Kuntukuza Mwenyezi Mungu, Mpira na Kusikiliza Muziki wa Congo DR tena mpaka Kuiimba na Kuicheza kabisa na kusahau matatizo yangu yote yakiongozwa na Umasikini wangu Ulionitukuka. Hapa nilipo sasa nausikiliza Wimbo mtamu wa Magie (Magic)...
  7. Msaada wa njia bora ya kuondoa nyuki waliowekamakazi kwenye chumba changu

    Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa tanzania na kazi iendelee Wanajamvi, nimekuwa na tatizo la nyuki kuweka makazi ndani kwenye dirisha la nyumba changu hali iliyolelekea kuhama kabisa na kukiacha kile chumba Sina hakika lini nyuki hawa walianza kuweka kambi ila leo hii usiku wa...
  8. Mafundi umeme wa magari msaada

    Taa za mbele(bim na full)zote haziwaki, lakini pass light zinawaka, indicator zote zinawaka,na hazard zinawaka, gari ni RUNX 2005,INZ,nimefanya yafuatayo 1. Pale kwenye fuse box ya engine slots za taa za mbele ziko empty,hazina fuse(HEAD RH,HEAD LH),ila fuse zingine zote nzima. 2. Relay ya...
  9. Nataka kutengeneza Sexy Voice Kwa audio msaada please?!...

    Samahani wale ma IT na computer science mlioko huku Nataka kutengeneza Sexy Voice Kwa kutumia audio, ndio na edit nini au kuna app gan natumia?! Mume Yuko mbali so lazima nimpagawishe🏃🏃🏃🏃
  10. Kimoja chali, naombeni msaada wenu kwa mliowahi kupata tatizo hili na mkalitatua

    Ndio uzuri wa Jamiiforums, usirl unatupa confidence ya kuweza kuomba ushauri bila aibu. Wakuu, kwa sasa umaridadi wangu kunako uwanja wa sita kwa sita kipindi cha Kwanza nacheza fresh ila kikiisha naweka mpira kwapani maana ni ngumu kurudi kipindi cha pili. Mechi ya Kwanza naipania Sana...
  11. G

    Msaada sehemu ya kupata Vitamin D3 yenye K2 kwa Mwanza au Dar

    Ndgu zangu naomba msaada sehemu gan nitapata Vitamin D3 yenye K2 Kwa Mwanza au Dar
  12. C

    Mkopo kwa dhamana ya nyumba, Msaada wenye Nyumba

    Habari zenu wana jamiii, ni matumaini yangu mu wazima wa afya tele. Nina Shida ya Pesa ya dharura nimejaribu kukopa kwa watu binafsi hawana, katika taasisi nao wanahitaji dhamana (hasa nyumba). Nimefika Bank CRDB nimewambia hitaji langu,wakaniambia mahitaji kwa mfanyabiashara kama mimi, Vyote...
  13. R

    Kesho ndiyo siku ya mwisho ku-confirm chuo gani utajiunga kama una multiple allocations. Wanafunzi watarajiwa Do the needful. Msaada please

    Kesho ndio mwsho wa ku confirm chuo gani unajiunga, short of that unakosa vyoye. Msaada: Je nikiconfirm kwenda chuo fulani, lkn bado my preference sikuchaguliwa nataka kujaribu second window/round. Je inawezekana nikafanya application?
  14. Posho itatolewa: naomba msaada wa kuadd custom location kwenye instagram.

    Ni attach audio ya maelezo tosha
  15. Posho itatolewa: Naomba msaada wa kuadd custom location kwenye Instagram

    Ni attach audio ya maelezo tosha
  16. Msaada: Badala ya kujisajili kama local Undergraduate Applicant, kajisajili kama post graduate applicant

    Naomba msaidie dogo wangu afanyaje mana alikuwa hajui kama kajisajili postgraduate degree badala ya local undergraduate loan application. Hivyo form inamsumbua hatari na ukiwapigia watu loan board hawapokei masimu!
  17. J

    Naombeni msaada wazoefu wa kuagiza magari Japan

    Naombeni msaada wazoefu wa kuagiza magari Japan. Nimeagiza gari japan limefikia hatua wamepakia kwenye meli na wamenijulisha jina la meli, tarehe ya kuondoka na kufika japo wamenambia huwa zinabadilika sometimes. Sasa utata uko hapa sijatumiwa TRACKING NUMBER.ili niweze kufatilia meli iko...
  18. J

    Nimeagiza gari Japan na imepakiwa kwenye meli lakini sijatumiwa tracking number

    Naombeni msaada kwa wazoefu kwenye hili, nimeagiza gari japan, imefikia hatua gari imepakiwa kwenye meli, nimejulishwa tarehe ya kuondoka na kufika japo pia hua zinabadilika. Uhitaji wangu uko hapa sijatumiwa tracking number ya kufatilia meli ya mzigo. Naombeni kujua huwa inatumwa lini?
  19. W

    Msaada kuhusu gharama za fundi

    Habari za asubuhi wazee, Naombeni makadrio ya gharama za fundi kwenye ujenzi wa Msingi, ukuta, mpaka bati kwa wale wazoefu wa hizi kazi.
  20. R

    Msaada: Nini tofauti ya kozi hizi?

    "Bachelor of Arts Economics" na "Bachelor of Arts in Economis" zina tofauti gani?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…