msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dkt. Stergomena na Balozi Mingjian watiliana Saini Mikataba ya Msaada ya Kijeshi

    Alhamisi ya Januari 18, 2024, Waziri wa Ulinzi na JKT, Dkt. Stergomena Lawrence Tax na Balozi wa China nchini Tanzania, Chen Mingjian kwa pamoja wamesaini mikataba miwili baina ya Wizara ya Ulinzi na JKT ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Wizara ya Ulinzi ya Jamhuri ya Watu wa China. Mkataba...
  2. Cecil J

    JamiiForums Tanzania Msaada location chuo cha Uandishi wa habari Mbeya

    .
  3. Muki1

    JamiiForums Tanzania Msaada kwenye Account ya whatsApp business

    Habarini watu wa Mungu,nina tatizo hili kwenye account yangu ya WhatsApp business. Nimejaribu kuwaomba waifungue sioni response yao, msaada tafadhali naombeni.
  4. Barackachess

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nataka kufungua mgahawa kwa ajili ya mabasi ya mkoani njia ya Mbeya - Dar

    Habari, Naomba ushauri, Nataka kufungua mgahawa wa kulisha mabasi kwa njia ya Dar - Mbeya, Nimeona kuna changamoto ya vyakula vibaya katika njia hii. Mtaji ninao 120milion, Nina migahawa ya kawaida (restaurant Arusha, Mwanza, Dar Es Salaam inayojulikana kwa jina la ifood hivyo nina uzoefu na...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kwenye sakata hili

    Salaam, Mimi ni mjasiriamali mdogo mdogo wa vitenge hasa kutoka Tunduma, katika kuhangaika wa kunifungia mzigo nishajikusanya nikaanza kufanya utafiti nikakutana na sister mmoja anasema yupo Kigoma anaweza kunifungia mzigo Kwa uaminifu mkubwa ila yeye hayuko Tunduma. Basi, nikaanza...
  6. ngara23

    JamiiForums Tanzania Nimepata tatizo la macho toka jana

    Macho yangu yanawasha sana na kutoa machozi mengi, pia matongotongo machoni. Naomba mwenye kujua dawa ya kutumia au ushauri wa kujitibia anisaidie. Niko na hali mbaya. Asanteni.
  7. I

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu account ya Twitter

    Habari wadau kwema wote naona woote hamujambo humu 😁 wenye changamoto yoyote na mahangaiko ya dunia poleni sana, Nije kwenye mada yangu inahusu hivi, nina account ya Twitter sijaingia siku, mpaka yule jamaa akanunua sasa naona vitu vipya nimeingia vizuri sasa kimbembe kinakuja kwenye following...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kubadili tarehe ya kuzaliwa katika cheti cha kuzaliwa

    Habari za wakati huu wakuu, Naomba kwa anaefahamu hatua za kufuata Ili kurekebisha tarehe ya cheti cha kuzaliwa iendane na vyeti vya shule mana cheti kilikosewa tarehe.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nahitaji kubadili tarehe ya kuzaliwa katika cheti cha kuzaliwa

    Habari za wakati huu wakuu naomba kwa anaefahamu hatua za kufuata Ili kurekebisha tarehe ya cheti cha kuzaliwa iendane na vyeti vya shule mana cheti kilikosewa tarehe.
  10. Minjingu Jingu

    JamiiForums Tanzania Niliwahi kosea jambo hili kwa Mwanamke, leo sitaki rudia. Naombeni msaada

    Mwaka jana nli kutana na dada mmoja ambaye mtu wangu wa muda kidogo. Actually mimi ni mtu ambaye nazingatia sana masuala ya usafi kwa mpenzi. Shida ya kwanza ikawa mdada amekuja Hotel ananuka jasho. Hili suala likawa limeanza kunipa changamoto. Pia ana bad breath. So obvious siwez mkiss...
  11. Y

    JamiiForums Tanzania Nikiwa nimelala nikisimama nasikia maumivu makali upande wa shingo kulia kwenda kwenye bega. Na kugeuza shingo inakua inauma

    Wakuu nina shida, mwanzoni nilienda kwenye polyclinic nikaambiwa nina UTI kali, so nikachoma sindano tano nimezimaliza juzi. Shida ni kua nikiwa nimelala, nikisimama ghafla nasikia maumivu makali yanayotoka kwenye upande wa sikioni kushuka kwenye bega upande wa kulia. Na kitu kingine nikiwa...
  12. Mbabazi gitema

    JamiiForums Tanzania Msaada namna ya kurudisha message iliyofutika

    Habarini za muda huu wakuu, Msaada namna ya kurudisha tena msg iliyofutika bahati mbaya anaefahamu njia ya haraka pls nijulishe yani ni msg muhimu sana kwaajili ya malipo.
  13. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Vyoo vya UDOM ni hatari kwa afya ya watumiaji wake

    Jamani tunaomba msaada sisi wana UDOM. Sikatai madarasa mazuri kabisa na pia masomo yanaenda vizuri na walimu wanafanya kazi vizuri sana lakini shida ni vyoo jamani. Vyoo vimejaa balaa na hivyo kufanya tuugue sana. Pia vinavuja kwa juu na hakuna kinachotendeka hadi sasa. Naomba tu na hili...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Mimi ni kijana wa Miaka 25 nna tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume

    Mimi ni kijana wa Miaka 25 nna tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume.. Niligundua hili tangu mwaka 2023 baada ya kushindwa kusex Kwani uume ulisimana ila nataka kuingiza tu nikamwaga na uume ukanywea Kabisaa ndio nikajua kama Sina nguvu za kiume baada ya kuuliza na kuambiwa baadhi ya dalili za...
  15. jastertz

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa anaejua mwenye uzoefu na maswali ya Tutorial Assistant - ECONOMICS

    Habari wana JF, Leo nimeamka nimekuta nipo shortlisted kwenda kwenye interview ya Chuo fulani, ndani ya week mbili zijazo ila sijawahi kufanya interview ya upande wa Economics. Naombeni mnisaidie huwa wanabase kwenye vitu gani hasa, ili nijichimbie huko. Kuna uzi humu wa tutorial assistant...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Msaada wa probate citation

    Je naweza kufungua citation kuwalazimisha warithi wafungue mirathi kwa vile nina maslahi na mali alizoacha baba yao?
  17. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Kutoa msaada ni njia mojawapo ya kujionesha ili upate ushawishi wa kumtapeli mpokeaji

    MSAADA ni kiasi au idadi ya kitu ambacho kinatolewa kwenda mtu fulani ambaye huonekana kuwa anauhitaji wa hicho kitu hivyo msaada kwa maana ya haraka kuwa ni njia ya kujionesha kuwa unatoa fungu fulani ili kupata ushawishi kwa lengo au watu fulani mara nyingi tumezoea kuona wanasiasa wakitoa...
  18. President of China

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uzinduzi wa kampeni ya msaada wa kisheria ya mama Samia - Singida, 10 Januari, 2024

    Kampeni hii ni mahususi kwaajili ya kuwafikia na kutoa msaada wa kisheria kwa Wananchi wote buree, Kampeni hii itahusisha utoaji wa Elimu ya kisheria na kusikiliza migogoro yote ya kisheria ikiwa ni pamoja na mirathi, ardhi, ndoa na usajili pamoja na utoaji wa vyeti vya kuzaliwa na mengineyo kwa...
  19. UMUGHAKA

    JamiiForums Tanzania Wakuu mawazo na msaada wenu kuhusu Chango!

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane! Wakuu naomba kama kuna mtu anauelewa kuhusu kitu kinaitwa Chango/Mchango kinachowapata watoto wadogo anieleweshe maana nimebaki njia panda! Shemeji/wifi yenu kanizalia kakijana ka kiume sasa tatizo kanasumbuliwa na hiyo kitu. Hospitali tushanunua dawa...
  20. President of China

    JamiiForums Tanzania Kampeni ya Masaada wa Kisheria ya Mama Samia

    KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA YA MAMA SAMIA NI NINI? Kampeni ya Masaada wa Kisheria ya Mama Samia (Mama Samia Legal Aid Campaign #MSLAC ) imejikita katika kutoa elimu ya kisheria kwa wananchi hususan katika masuala ya ukatili wa kijinsia, migogoro ya ardhi, mirathi, usuluhishi wa migogoro kwa...
Back
Top Bottom