Msaada: Nina 30,000 hapa, nahitaji kuanza biashara yoyote ile sasa hivi. Niko DSM

Agnes Madaa

Member
Aug 29, 2023
93
169
Hello JF Members,

I'm madam Agnes, leo tena humu Jukwaani. Nisiwachoshe, niko na 30k kwenye kipochi, nahitaji kuanza biashara yoyote ile itakayowezekana sasa hivi.

Mazingira ni Dar es salaam. Siko na aibu, naeza fanya yoyote ile. Ilimradi tu itoshe kunipatia mlo pamoja na saving kidogo kwa ajili ya masuala ya baadae.

Sihitaji kuajiliwa, maake naondoka hivyo kwenye nyumba ya watu nilipokuwa naishi as house girl, watu hawana shukhrani jamani.

Mwenye wazo lolote lile ambalo limemsaidia kuendesha maisha, ama ameona limemsaidia somebody ku run his/her own life anipatie basi. Hata kama ni idea ya kiume, I'm ready.

I'm waiting.
 
Tafuta bangi kwa bei ya jumla 1000 kwa pc. Kwa 25000 utapata c 25. Hiyo buku tano nunua kiberiti na rizla alafu nenda hapo mabibo hostel saa moja jioni uzisukume kwa wanafunzi wa UDSM uziuze kwa 2000 kwa pc.

Huo mzigo ukiisha tayari utakuwa na 50000. Na 25000 kama faida. Rule number one ya pusher usivute kabisa hata kujaribu tena kaa mbali na huo moshi. Kesho yake tena kachukue pull kwa 20000 hapa utapata pc 80. Then jion urudi tena mabibo hostel baada hizi utazisukuma kwa siku 2. Endelea hvyo hvyo mpaka ufikie uwezo wa kuchukua gunia hapa utapata zaidi ya pc 10000 Then hilo gunia lisukume ndani ya mwaka.

Rule number tu usiuzie tamaa. Kwa siku sukuma kete 25 tu ka aloyal customer wako. Yaani walewale wa siku zote. Hizo pc 25 zinakupa 25000 faida ambayo kwa mwezi 750000 iweke kwenye legal business kama mpesa au duka la electronic. Huu ni unakaribiana mshahara wa degree mwalimu. Hizo pc 10000 utazisukuma kwa siku 400. Baada ya siku 400 utakuwa umetengeneza faida ya million 10 stafu na ufocus kwenye biashara ya kulipa Kodi TRA ujenge nchi.
 
Sipo hapa kukukejeli, hiyo pesa haitoshi Kwa chochote kile ila mm nataka nikupe ushauri tu. Kaombe kazi kitambaa cheupe uwe barmaid iam sure Kwa siku hutakosa kuondoka na elfu ishirini mpaka arobaini.

Sio pesa ya kudanga Bali ni kuachiwa chenji za wateja na wengine wakilewa huwa wanasahau chenji lakini pia ukipewa offer ya bia wewe Tia Maji afu pesa weka mfukoni ili baada ya miezi miwili utakuwa umepata mtaji sio chini ya million moja afu utakuja nikupe wazo la biashara.
 
Tafuta bangi kwa bei ya jumla 1000 kwa pc. Kwa 25000 utapata c 25. Hiyo buku tano nunua kiberiti na rizla alafu nenda hapo mabibo hostel saa moja jioni uzisukume kwa wanafunzi wa UDSM uziuze kwa 2000 kwa pc. Huo mzigo ukiisha tayari utakuwa na 50000. Na 25000 kama faida. Rule number one ya pusher usivute kabisa hata kujaribu tena kaa mbali na huo moshi. Kesho yake tena kachukue pull kwa 20000 hapa utapata pc 80. Then jion urudi tena mabibo hostel baada hizi utazisukuma kwa siku 2. Endelea hvyo hvyo mpaka ufikie uwezo wa kuchukua gunia hapa utapata zaidi ya pc 10000 Then hilo gunia lisukume ndani ya mwaka.
Rule number tu usiuzie tamaa.
Kwa siku sukuma kete 25 tu ka aloyal customer wako. Yaani walewale wa siku zote. Hizo pc 25 zinakupa 25000 faida ambayo kwa mwezi 750000 iweke kwenye legal business kama mpesa au duka la electronic. Huu ni unakaribiana mshahara wa degree mwalimu. Hizo pc 10000 utazisukuma kwa siku 400. Baada ya siku 400 utakuwa umetengeneza faida ya million 10 stafu na ufocus kwenye biashara ya kulipa Kodi TRA ujenge nchi.
Wazo zuri

Angekuwa maeneo ya Maswa ningemuuzia debe kwa moja kwa 40k

Pure,dry weed

Faida yake ni more than 100%

Sema Dar mbali
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom