Msaada: Jinsi ya kufika Meatu (Simiyu)

Mabala21

Senior Member
Jul 24, 2021
125
85
Wadau,

Naomba muongozo, nataka kwenda Meatu Dc, mkoa wa Simiyu kuangalia fursa ya mifugo. Mabasi gani nipande kutokea Dar to Meatu na ni masaa mangapi yanachukua? Pia kijiji gani kuna mnada mkubwa wa mifugo?

Asanteni.
 
WADAU,

NAOMBA MUONGOZO, NATAKA KWENYE MEATU DC, MKOA WA SIMIYU KUANGALIA FURSA YA MIFUGO. MABASI GANI NIPANDE KUTOKEA DAR TO MEATU NA NI MASAA MANGAPI YANACHUKUA? PIA KIJIJI GANI KUNA MNADA MKUBWA WA MIFUGO? ASANTENI.
Panda Allys Bus ya Bariadi au gari zinazoenda Musoma Utashuka Maswa hapo utapata Gari za Meatu

Lakini unaweza kufuata ushauri wa mdau hapo juu, Bariadi kuna mnada mkubwa wa mifugo pia
 
Ahsante sana Ndugu zangu nimepata mwanga mkubwa. Nachoitaji zaidi ni mifugo, na Je Bariadi na Meatu wapi panafaa zaidi kwa kupata mifugo mingi?
 
Utapel.com Kuwa makin usimwamin mshamba yeyote huku ukaona NASA hawa washamba eti wakalimu utalia ndungu kuwa makiniiiiiiiiiikiiiiikkkkkkkkkkkkkkkkkkniiiiiiiiiiimakiniiiiiiiiiiiiiiiiiiii×1000

Safar njema
Wagogo wezi pale pugu usiamini mtu
Wamasai wez huko chaka usiamin mtu
Wakuryaa wez..the same
Wasukuma wez the same
 
Niliwahi kwenda nilishukia shinyanga gari ya kwenda huko meatu ilikua ni moja tu ukichelewa zaid ya saa 6 mchana inabidi usubiri hadi kesho yake
Sijui njia nyingine
 
Wadau,

Naomba muongozo, nataka kwenda Meatu Dc, mkoa wa Simiyu kuangalia fursa ya mifugo. Mabasi gani nipande kutokea Dar to Meatu na ni masaa mangapi yanachukua? Pia kijiji gani kuna mnada mkubwa wa mifugo?

Asanteni.
Panda gari toka Dar mpaka singida mjini halafu panda gari inayoitwa Tunda Best au gari yeyote mpka Meatu
 
Panda gari yoyote ya musoma au bariadi,shukia maswa au shinyanga kolandoto uliza gari za mwanhuzi meatu.

Ama shukia singida kama wadau walivyoshauri.
 
Back
Top Bottom