yohanamwipopo
New Member
- Aug 18, 2023
- 1
- 2
Mwaka jana niliapply chuo cha RUCU Iringa na nikapewa mkopo ila kutokana na sababu mbalimbali sikuweza kuripot chuo hicho.
Mwaka huu nmeapply chuo kingine je kuna uwezekano wa kuhamisha mkopo kuja chuo hiki nilichopo sasa?
Mwaka huu nmeapply chuo kingine je kuna uwezekano wa kuhamisha mkopo kuja chuo hiki nilichopo sasa?