Msaada: Nahitaji vifaa vya mazoezi vya mtumba (Dumbbells)

diuretic

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
330
524
Wakuu habari.

Nipo jijini Dar nilikuwa nahitaji dumb bells used au za mtumba au hata zile wanazotengeneza mtaani. Mpaka nakuja kuuliza humu ina maana sina pa kuanzia na naamini ntapata msaada humu.

Uchumi kidogo umebana siwezi kununua vipya kwahiyo yoyote anaeweza nisaidie chimbo la dumb bells za uzito mbali mbali hapa Dar, za mtumba au hata za kutengeneza kitaa nitashukuru.
 
Agiza china mkuu

Sent from my Pixel 5 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom