Tafadhali naombeni Msaada wa Viwango vya Majeshi Bora duniani ili nilifurahie Jeshi langu la JWTZ kuwa namba 6 kwa ubora kama tulivyoambiwa

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,690
109,104
GENTAMYCINE nimepitapita hapa JamiiForums na kuona baadhi ya Watu (Members) wakisema kuwa waliwahi Kumsikia nadhani Msemaji au huyu Kaimu Msemaji wa Jeshi akisema (tena kwa Kutamba kabisa) Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) hili hili ambalo Wiki iliyoisha tu baadhi ya Watendaji wake (hasa hasa MP wa Lugalo Makongo) waliovalia Kininja (Kuficha Sura zao) waliwakamata Raia 74 wasio na Hatia Kawe na kwenda nao Uwanja wa Mateso, Ukatili na Kipigo Mwenge na Kuwajeruhi vibaya wakiwatuhumu Kumuua Mwenzao Afande Muna (Lt. Col) kuwa linashika nafasi / namba Sita (6) kwa Ubora duniani.

Tafadhali naomba mwenye Orodha Kamili ya Viwango vya Ubora wa Majeshi duniani anipe au atuwekee hapa ili tuhakikishe na tusithibitishe kuwa JWTZ ni la Sita ( 6 ) kwa Ubora Kiutendaji ( hasa Kivita ) Ulimwenguni ili nami GENTAMYCINE nilipongeze na nijivunie nalo.

Nitashukuru.

Soma:
- JWTZ: Jeshi letu ni kati ya Majeshi 6 Bora duniani
 
Haliwezi kuwa la 6,hakuna jeshi linalomvamia raia, tena ambaye hana mafunzo yoyote yale,linamvamia kwa makundi,yaani kuonyesha kua mwanajeshi mmoja,hana uwezo wa kukabiliana na mwananchi mmoja,ambaye hana silaha,je wakipelekwa Gaza?

Ule ni uongo bhana.
 
Haliwezi kuwa la 6,hakuna jeshi linalomvamia raia,tena ambaye hana mafunzo yoyote yale,linamvamia kwa makundi,yaani kuonyesha kua mwanajeshi mmoja,hana uwezo wa kukabiliana na mwananchi mmoja,ambaye hana silaha,je wakipelekwa Gaza?
Ule ni uongo bhana.
Jichanganye wakupasue

Uongo wake uko wap? Mbona mnajufanya mna data sana wakati hata vibaka wanawaonea sana mtaani huko?
Ficha ujinga wako........ Fwallaaaaaa wewe... Enheeee Tanzania ni ya ngapi Kwa Intelligence and Security ranks!!!

Nenda kawaulize PK wa Jirani watakuambia why ni 1,2,3 Afrika TI..S.S
 
Acha ufala basi Mzee

Bado vipigo vinatembea hapo Kawe kwenu vibaka, wabakaji, wadokozi?

Msemaji wa Kawe Ndg yangu Genty 😂😂😂
Ninao tu ng'adu kwa ng'adu siwaachi hadi Wajitokeze kuomba Radhi kwa Upumbavu walioufanya kwa Raia wasiokuwa na Hatia.

Mtu anaishi Mbagala anafanya Kazi Mbezi Afrikana ( tena ni Mtu mzima kabisa ) unamkuta Kawe Ukwamani ( eneo la Oil Com Petrol Station ) anasubiri DalaDala za Kawe-Mbagala arejee Kwake Mbagala Charambe unamkamata huku ukiwa umemnyooshea Mjegeju ( Bunduki ) na Kumuinga ndani ya Gari na kwenda Kumtesa Kambini Uwanjani Mwenge na kumuachia akiwa Hoi bin Taaban Saa 9 za Usiku arejee Kwake Mbagala Charambe.

Huu kama si Ukatili, Ushamba na Upumbavu uliovuka Viwango na Usiovumilika kwa Raia ni nini?

Wakiomba tu Radhi ndiyo nitanyamaza.
 
Endelea kubweka sio mbaya ujaenda pale getini na Bango la kubwaa ukiwaambia hayo yote ndg mzalendo

Eneo la Kawe kipigo kitatembea mpaka mwaka uishe mmeyakanyaga

Kwanza wewe ni mkazi wa Maji matitu nashangaa sana unavamia bogi la wajuba
 
Haliwezi kuwa la 6,hakuna jeshi linalomvamia raia,tena ambaye hana mafunzo yoyote yale,linamvamia kwa makundi,yaani kuonyesha kua mwanajeshi mmoja,hana uwezo wa kukabiliana na mwananchi mmoja,ambaye hana silaha,je wakipelekwa Gaza?
Ule ni uongo bhana.
Precisely Chief.
 
Wanajeshi wa "kamlete"..... Yaani mmoja mmoja wanagongeshwa vya kutosha mnoooo... .
 
Endelea kubweka sio mbaya ujaenda pale getini na Bango la kubwaa ukiwaambia hayo yote ndg mzalendo

Eneo la Kawe kipigo kitatembea mpaka mwaka uishe mmeyakanyaga

Kwanza wewe ni mkazi wa Maji matitu nashangaa sana unavamia bogi la wajuba
Ntakuja kuamini pale askari akiamshiwa mbanga na raia ambaye hajapitia mafunzo yoyote ya kijeshi,halafu akapambana mwenyewe,ila nikiendelea kuona hadi akimbie akawalete kama 20 hivi,ndiyo apigane,aaah! hiyo inaonyesha kabisa zile data za eti ni la 6 Africa,ni uongo bhana.Jeshi napendekeza lifumuliwe au muwekezaji aje alichukue,tupate askari imara.
 
GENTAMYCINE nimepitapita hapa JamiiForums na kuona baadhi ya Watu ( Members ) wakisema kuwa waliwahi Kumsikia nadhani Msemaji au huyu Kaimu Msemaji wa Jeshi akisema ( tena kwa Kutamba kabisa ) Jeshi la Wananchi wa Tanzania ( JWTZ ) hili hili ambalo Wiki iliyoisha tu baadhi ya Watendaji wake ( hasa hasa MP wa Lugalo Makongo ) waliovalia Kininja ( Kuficha Sura zao ) waliwakamata Raia 74 wasio na Hatia Kawe na kwenda nao Uwanja wa Mateso, Ukatili na Kipigo Mwenge na Kuwajeruhi vibaya wakiwatuhumu Kumuua Mwenzao Afande Muna ( Lt. Col ) kuwa linashika nafasi / namba Sita ( 6 ) kwa Ubora duniani.

Tafadhali naomba mwenye Orodha Kamili ya Viwango vya Ubora wa Majeshi duniani anipe au atuwekee hapa ili tuhakikishe na tusithibitishe kuwa JWTZ ni la Sita ( 6 ) kwa Ubora Kiutendaji ( hasa Kivita ) Ulimwenguni ili nami GENTAMYCINE nilipongeze na nijivunie nalo.

Nitashukuru.
TANGU LINI JWTZ WAKAWA NO 6
WAKATI WANAKARNE. NYINGI HAWAJAEXPERIENCE TOTAL COMBAT WAR
 
Labda la sita kwa unywaji wa pombe na umalaya

Nimegawa likes kama njugu

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom