Msaada kwenda Austria.

Al-habiib

Member
Jun 21, 2023
30
32
Habari wakuu,
Nina mpango wa kwenda Vienna-austria Kisha nielekee United kingdom.naomba kupewa miongozo kwa sababu Ni Mara yangu ya kwanza na ninaenda kibiashara zaidi na sjawahi kusafiri nje ya nchi kabisa japo Nina passport toka 2021 .
Naomba kupewa miongozo ifuatayo tafadhali.
1.Ni kampuni gani ya ndege iko vzur na nauli ikoje kwa daraja la kawaida?
2.visa ya Austria Ina cost Kias gani na changamoto zake katka kuipata?
3.ni documents gani lazima niwe nazo Kama mfanyabiashara ili niweze kupata hyo visa?
4.document gani lazma ztahitajika kabla ya kuasifiri mfano cheti Cha Corona ili niweze kusafiri na vna cost shi ngap?
Naomba mchango wenu wakuu na Kama Kuna ya ziada tofauti na hayo manne wakuu.
Shukran.
 
Sawa ni mara ya kwanza lkn Yo dont have to ask that much vitu na gharama zote za visa ziko kwenye website ya ubaloz why unasumbua watu ? yan utaratibu wote uko online

ndugu unauliza mbaka nauli sijui ndege gan iko sawa? kwan si google iko na hizo kampun zipo ni wew na ela yako

sisi ni wawivu sana Tanzania
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom