Akisoma HGL anaweza soma Bachelor ya IT?

Nyamalapa

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
206
448
Wakuu msaada wenu unahitajika.

Kuna ndugu yangu amesoma masomo ya Arts O Level lakini hesabu yupo vizuri.

Huyu ndugu yangu anataka akimaliza form six asome bachelor ya IT.

Sasa anachohitaji kujua ni je ni combi gani anatakiwa lazima asome form 5 & 6 ili iwe rahisi kwa yeye kuapali bachelor ya IT na kupata admission.

Na je mfano akisoma HGL anaweza soma bachelor ya IT?

Natanguliza shukrani kwa mtakaonijibu.
 
HGL anaweza kusoma IT kwenye vyuo kama NIT,,MOCU ,,n.k lakin olevel awe D ya math
 
Wakuu msaada wenu unahitajika.

Kuna ndugu yangu amesoma masomo ya Arts O Level lakini hesabu yupo vizuri.

Huyu ndugu yangu anataka akimaliza form six asome bachelor ya IT.

Sasa anachohitaji kujua ni je ni combi gani anatakiwa lazima asome form 5 & 6 ili iwe rahisi kwa yeye kuapali bachelor ya IT na kupata admission.

Na je mfano akisoma HGL anaweza soma bachelor ya IT?

Natanguliza shukrani kwa mtakaonijibu.
Aanziee certificate ya IT tu.... Haina haja ya kwenda huko form five
 
Back
Top Bottom