Msaada: Miguu ya mbele ya Probox inavuma sana

hmtk

Senior Member
May 24, 2013
157
56
Kwenu wataalam wa magari naomba msaada wa kubaini chanzo cha miguu ya mbele ya probox kutoa mvumo mkubwa kiasi ikifika speed 80 km/h hata redio huwezi kusikiliza.

Tatizo lilianza mwaka mmoja uliopita tukashauriwa kubadili bearings tulifanya hivyo haikusaidia, kisha tukanunua used nacoz complete tukafunga ikatulia kidogo. Ila mwezi uliopita tumebadilisha shock-up tatizo limerudi!!!
Naomba msaada wenu wajuzi nini tatizo na utatuzi wake ni nini?

Asante
 
Kwa kuanzia check
  1. Wheel allignment
  2. Ball joints
  3. Stearing rack
  4. Stabilizer link
  5. Engine mounting
 
Nje ya Mada, Hakuna Gari zinateswa Bongo kama ProBox, juzi nilikutana nazo Lwamgasa Katoro nikasema hawa wakiuziwa wanaambiwa na Landcruiser ya chini au ? Ukiuziwa hii Gari 2nd hand Bongo chunguza sana wapi ilikua inatembelea lasivyo unanaua kimeo.
 
Kwenu wataalam wa magari naomba msaada wa kubaini chanzo cha miguu ya mbele ya probox kutoa mvumo mkubwa kiasi ikifika speed 80 km/h hata redio huwezi kusikiliza.

Tatizo lilianza mwaka mmoja uliopita tukashauriwa kubadili bearings tulifanya hivyo haikusaidia, kisha tukanunua used nacoz complete tukafunga ikatulia kidogo. Ila mwezi uliopita tumebadilisha shock-up tatizo limerudi!!!
Naomba msaada wenu wajuzi nini tatizo na utatuzi wake ni nini?

Asante
Kuna bearing zozote za gear box mlizobadilisha?

Au bado hamjawai kubadilisha bearings zozote za hiyo gear box?
 
Kwenu wataalam wa magari naomba msaada wa kubaini chanzo cha miguu ya mbele ya probox kutoa mvumo mkubwa kiasi ikifika speed 80 km/h hata redio huwezi kusikiliza.

Tatizo lilianza mwaka mmoja uliopita tukashauriwa kubadili bearings tulifanya hivyo haikusaidia, kisha tukanunua used nacoz complete tukafunga ikatulia kidogo. Ila mwezi uliopita tumebadilisha shock-up tatizo limerudi!!!
Naomba msaada wenu wajuzi nini tatizo na utatuzi wake ni nini?

Asante

Kuvuma ni beringi tu
 
Back
Top Bottom