Msaada wa Bunge kwa Wahanga wa Mafuriko Hanang

Faana

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
31,895
33,320
Nimesikia katika kipindi cha Nipashe Radio One kuwa Bunge limetoa kilo 3000 za mchele na unga pamoja na kilo 15 za sukari na kiloo ? za mbegu, je idadi ya wahanga imefikia wangapi hivi sasa?
 
Kilo elfu 3 za mchele kwa gunia za kilo 100 ni sawa na gunia 30.

Kwa viroba vya kilo 50 ni viroba 60.

Kwa mgawanyo wa kilo 25 ni viroba 120

Kwa mgao wa watu elfu 3 ni kilo 1.

Idadi ya wahanga ni zaidi ya elfu 3.
 
Shukuru kwanza kabla ya kuanza kufanya hayo mahesabu ya darasa la nne.

Nilidhani ungeuliza Vyama vya matajiri kama shirikisho la wenye wiwanda, chama cha wamiliki wa mabasi ya mikoani, chemba ya wanyabiashara mbona hatuwasikii?
 
Ulishasikia lini hayo mashirikisho yamepewa posho ya mabilioni?acheni kujipendelea jamani
 
Back
Top Bottom