Kuna uwezekano uka-block baadhi ya watu katika Group la WhatsApp ili usione msg zao?

Tmlekwa

JF-Expert Member
Apr 27, 2012
257
236
Hivi kuna uwezekano ukiwa katika Group la WhatsApp uka-block baadhi ya watu ili usione msg zao? Kwenye magroup kuna baadhi ya member msg zao zinakera.
 
Pole mkuu hao wapuuzi wasikutese, piga bia mbili uwachane laivu kuwa SMS zao nizakiboya na zimepitwa na wakati😆
Huenda hawajui kosa lao
 
Back
Top Bottom