Comrade Liu Yang
Senior Member
- Aug 16, 2023
- 145
- 242
Ni majuzi hapa nimeomba MKOPO wa CRDB kwenye biashara wakahitaji vielelezo vyote nikawapa.
Dhamana ipo (nyumba) iliyopo 25km tokea High Way, wakaenda itembelea dhamana wakajitidhisha ila wakaniambia POLICY yao haiwaruhusu kukopesha dhamana iliyo mbali kiasi hicho.
Wakaniambia kwamba nitafute dhamana nyingine, ndugu zanguni kichwa kimegandana.
Mkopo wanasema umeahapitishwa ilibaki dhamana tu hela iwekwe,
Biashara iko vizuri
Mzunguko uko vizuri
Account iko vizuri
Kila kitu kipo vizuri
Dhamana eti wanasema ipo mbali naombeni msaada wenu tafadhali.
Kama kuna mtu anaweza nisaidia swala langu kwa Kuongea na TOP of the top kwenye mikopo,anisaidiea nitatoa PERCENT kidogo ikihitajika.
Naombeni tu yeyote anaeona anaweza nisaidia hili basi nitashukuru.
Asante.