Msaada wa Taasisi au Mawakala wa uhakika wa kuunganisha kazi nje ya nchi (Ulaya/ Marekani/ Kanada)

kikoozi

JF-Expert Member
Jun 24, 2015
2,030
2,930
Habari ndugu zangu wa JamiiForum, naomba kujua ni taasisi gani, au mtu gani wa uhakika wa kuniunganisha na kazi za nje ya nchi kwa gharama nafuu, natamani ningepata kazi katika nchi za ULAYA, MAREKANI AU CANADA sipendelei kabisa nchi za ASIA,

Kama unajuana na mtu wa uhakika isiwe ya ubabaishaji/mataperi, kampuni ya uhakika na gharama nafuu naomba msaada, mimi nipo DAR ES SALAAM,

Note: kazi yeyote halali nitafanya ingawaje elimu yangu ni Degree ila ntaweka pembeni na kufanya kazi yeyote halali

Karibuni kwa ushauri ndugu zangu
 
Nilichogundua tz tunaroho ya wivu sana michongo ipo sana nje huko hutaka upewe mkuu wanaona raha kukuangalia ukigombea daladala na mwendokasi full mishasho..
 
Duh! Mi mwenyewe leo kesho naitafuta hiyo connection, sema sisi wabongo tunabaniana sana. Connection zipo ila sasa Mtanganyika kukupa ni inshu nyingine. Jaribu kule Rwanda ama Uganda nasikia ni chaap kwa haraka.
 
Kweli kabisa unachosema mkuu
 
Duh! Mi mwenyewe leo kesho naitafuta hiyo connection, sema sisi wabongo tunabaniana sana. Connection zipo ila sasa Mtanganyika kukupa ni inshu nyingine. Jaribu kule Rwanda ama Uganda nasikia ni chaap kwa haraka.

Kweli kabisa
 
Pesa yako , visa yako, safari yako...
Watu wakati wengi bongo ni wazushi kuwa makini
 
Mi naomba kujua nchi ya Korea kusini gharama za usafiri in both way ya kuingia pale
 
Back
Top Bottom