Msaada: Sheria gani inatumika kutenga maeneo kulingana na matumizi mbalimbali?

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,402
74,008
Idara ya ardhi inapotenga eneo kuwa hii ni la viwanda, makazi, soko, shule kanisa, msikiti, Open Space, Soko etc, inatumia sheria gani kuingia kwenye eneo la mtu na kuligawa kwa matumizi mbali mbali as such? Kote bila fidia.

2. Eneo la mtu unalipitisha barabara bila fidia.

What is the law governing that?
 
Rais ndiye custodian wa ardhi ya nchi hii! For the sake of public interest has the power to revoke any land ownership for any other public use.
 
Ni sawa lakini lazima serikali kutoa fidia kwa maeneo walitwaa kwa maendeleo ya umma!!
 
Screenshot_20240420-102224_Adobe Acrobat.jpg
 
Idara ya ardhi inapotenga eneo kuwa hii ni la viwanda, makazi, soko, shule kanisa, msikiti, Open Space, Soko etc, inatumia sheria gani kuingia kwenye eneo la mtu na kuligawa kwa matumizi mbali mbali as such? Kote bila fidia.

2. Eneo la mtu unalipitisha barabara bila fidia.

What is the law governing that?
Danlod app inaitwa ijue Sheria hutajutia

Pamoja hapa Kuna wataalamu pia
 
Angalia humo utakuta nyaraka mbali mbali kuhusu ardhi.

NB: watu wa upangaji/upimaji washakuletea matatizo? Unashangaa eneo lako zuri lenye potential kubwa wanaligeuza kuwa jalala la takataka 😂🤣😂 au makaburi
 
Kuna hii pdf
 
Attachments

  • sw-1682061038-GN. 91 USE GROUPS AND USE CLASSES (1).pdf
    219.9 KB · Views: 1
Idara ya ardhi inapotenga eneo kuwa hii ni la viwanda, makazi, soko, shule kanisa, msikiti, Open Space, Soko etc, inatumia sheria gani kuingia kwenye eneo la mtu na kuligawa kwa matumizi mbali mbali as such? Kote bila fidia.

2. Eneo la mtu unalipitisha barabara bila fidia.

What is the law governing that?
Ardhi ni ya serikali wewe unakodishiwa tu inabidi ujue ilo
 
Back
Top Bottom