Natoka sana jasho na kidole gumba kinawaka moto

MollelNgotila

New Member
May 20, 2020
1
0
Wana Jamii Forum nawasalimu sana wote, wakubwa kwa wadogo.

Nina shida ya Afya!.
Naombeni msaada; Juzi Jumapili iliyopita, mafua yalinianza na kwa kuwa huwa inanishikaga nikadhani kawaida tu lakini cha kushangaza ni kwamba nilianza kukohoa kikohozi kikali japo sio kavu na nilienda Hospital nikapewa SEDITON cough Linctus na CETRIZINE lakini nimetumia hadi mafua yanaelekea kuisha. Changamoto ni Kikohozi.

Na nimeanza kutoa Jasho usiku, mguu wa kulia hasa kidole gumba kuwaka moto. Mguu wa kushoto kwa goti kama inavuta na haina nguvu.

Naombeni msaada Madaktari wa humu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom