Msaada kwa wanasayansi

ward41

JF-Expert Member
Apr 3, 2022
400
1,399
images (47).jpeg

Wanasayansi wanasema huko anga za juu kuna galaxy trillion mbili na kila galaxy ina nyota 200 billion

Cha ajabu wanasema nyota moja ni kubwa Kuliko dunia yetu.

Je ukubwa wa anga ukoje? Ukubwa wa anga ukoje Hadi ukabeba vitu vyote hivyo

Kama anga imebeba vitu vyote hivyo basi salute kwa Mungu.
 
View attachment 2916910

Huko juu ni vast mkuu hakuna mwisho. Mzee wa siku sayans yake imepita uwezo wa binadamu kufikir
 
View attachment 2916910

Wanasayansi wanasema huko anga za juu kuna galaxy trillion mbili na kila galaxy ina nyota 200 billion

Cha ajabu wanasema nyota moja ni kubwa Kuliko dunia yetu.

Je ukubwa wa anga ukoje? Ukubwa wa anga ukoje Hadi ukabeba vitu vyote hivyo

Kama anga imebeba vitu vyote hivyo basi salute kwa Mungu.
Kwanza kumbu universe is expanding at the speed of light. Mkuu mwanga qa nyota nyingi unazoziona umesafiri ma kumi na maelefu ya miaka ya speed ya mwanga kukufikia wewe. Yani ukitazama nyota fulani ukaiona, ujue huo mwanga unaouona ni mwanga wa miaka elfu au milion kadhaa iliyopita hapo ndipo umefija dunia ilipo.
Universe ni kubwa kiasi hata huwezi comprehend.
 
The universe is infinite, and is still expanding

Halafu kuna watu wanajifanya hawaamini kuwa yupo aliyeumba hivyo

"And the heaven We constructed with strength, and indeed, We are [its] expander."
51:47 Qur an
 
Wanasayansi wanasema huko anga za juu kuna galaxy trillion mbili na kila galaxy ina nyota 200 billion
Taarifa hii si ya kweli.

Kulingana na wanaanga,
hakuna taarifa yenye idadi kamili ya Galaxy 🌌 na idadi za nyota iliyo fixed.

Huwa ni makadirio tu.

Kuna Galaxy kubwa kama hii yetu (Milkway), kuna Andromeda n. K

Galaxy ya Andromeda iliyojirani kabisa na Milkway inakadiriwa kufikisha nyota trillion 1,

Milkway yenyewe inakadiriwa kufikisha nyota billion 100

Kuna dwarf galaxes nyingi tu ambazo hazifikishi hata nyota billion.

Zipo zenye makadirio ya nyota 1000 makumi elfu na kuendelea hadi billion

Mojawapo ya dwarf galaxes zilizokaribu zaidi na jua letu ni

Canis Major Dwarf Galaxy iko umbali wa kilometer 236,000,000,000,000,000, sawa na miaka ya mwanga 25,000 kutoka kwenye jua.

Sagittarius Dwarf Elliptical Galaxy inafuata iko umbali wa Kilometer 662,000,000,000,000,000 sawa na miaka ya mwanga 70,000 kutoka kwenye jua letu.

Hivyo ni bora zaidi kuchukua taarifa kama zinavyotolewa na source husika.
Cha ajabu wanasema nyota moja ni kubwa Kuliko dunia yetu.
Nyota moja? Hii taarifa unaitoa wapi?

Unaweza kulinganisha nyota yeyote na dunia kwa ukubwa?

Dunia ni kitu kidogo sana kwenye space.
Nyota ni madude makubwa sana japo yanatofautiana size, lakini kulinganisha nyota yeyote ile na sayari ni kichekesho
Je ukubwa wa anga ukoje? Ukubwa wa anga ukoje Hadi ukabeba vitu vyote hivyo
Hadi sasa naweza sema hakuna ukomo wa anga, ulimwengu unaendelea kutanuka kila kukicha.
Ukitizama utaona jinsi vitu hivi vinavyoendelea kutengana!/kukimbiana
Kama anga imebeba vitu vyote hivyo basi salute kwa Mungu.
Mungu yupi unayemuongelea hapo?

Habari ya Mungu/miungu haiwezi/haziwezi kuthibitishwa kisayansi.

Hapo unaenda kwenye kuamini siyo ujuzi uliotaka tuujadili hapa.

Je unataka kujua au kuamini?
 
View attachment 2916910

Wanasayansi wanasema huko anga za juu kuna galaxy trillion mbili na kila galaxy ina nyota 200 billion

Cha ajabu wanasema nyota moja ni kubwa Kuliko dunia yetu.

Je ukubwa wa anga ukoje? Ukubwa wa anga ukoje Hadi ukabeba vitu vyote hivyo

Kama anga imebeba vitu vyote hivyo basi salute kwa Mungu.
😂😂😂😂👍🧵
 
Unauhakika Tanzania hii tuna wanasayansi tena wana anga? au wapiga lamli na wasoma nyota na kubashiri ndoto za watu
 
Back
Top Bottom