Msaada: Hivi portal ya Taesa bado iko active au ilishakufa?

captain 21

JF-Expert Member
Mar 27, 2021
583
1,182
Mambo vipi wakuu? poleni na majukumu. Naomba kuuliza mwenye kufahamu, hivi portal ya Taesa bado iko active au ilishakufa? Maana kwenye siku za hivi karibuni nimejaribu sana kufungua account lakini system inagoma...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom