prida
JF-Expert Member
- Jun 2, 2026
- 821
- 1,567
Habari ya majukumu ndugu zangu mafundi tiles.
Eti njia sahihi ya kubandika hizo tiles hapo pichani zinate vizuri hata watoto wakizichezea zisitoke ni ipi kati ya kutumia gundi yake au kuzibandika kwa kutumia cement.?
Fundi wangu kasema ninunue cement na dukani nilikonunua hizo ndude wanasema zina gundi yake maalum.Fundi anadai cement ndo uhakika na kwamba dukani lazima waseme gundi ili wauze.
Sijui nimuamini yupi na ninaogopa fundi asijeniharibia ukizingatia hivi vidude bei yake imechangamka kidogo.
Natanguliza shukrani.🙏