KARIBU CHUO DIRECT*
Hiki ni Kikundi Rasmi cha Msaada kwa Waombaji wote wa Vyuo Vikuu na Vyuo vya Kati Tanzania.
Huduma Tunazotoa:
1. Mikopo ya HESLB- Maombi kamili, marekebisho ufuatiliaji
2. Uhakiki wa Vyeti - Vyeti vya kuzaliwa.
3. Namba za AVN & Loss Reports - Tunakusaidia kuipata kwa...
Tokea kushika kijiti cha nchi na mpaka kuleta mauwaji October 29 2025.
Ni ngumu muhalifu kuwanyooshea vidole wahalifu wenzake.
Kwa mambo yanayoendelea haki jaribu kujifanya ana mtumbua basi wakubari siri zao zitakuwa kama zile za marehemu polepole alivyofanya.
Ni ngumu kwa raisi kuwa mkali...
Uongozi Alsaedy High Class tatueni kero za abiria wenu, mtapoteza wateja.
Mimi ni abiria ambaye napenda kutumia usafiri wa bus la Alsaedy high class kwa safari zangu za Dar-Iringa, Iringa-Dar. Mnamo tarehe 9/6/2026 nilisafiri na familia yangu kutoka Dar es salaam na bus la Alsaedy linalotoka...
Habari ya majukumu ndugu zangu mafundi tiles.
Eti njia sahihi ya kubandika hizo tiles hapo pichani zinate vizuri hata watoto wakizichezea zisitoke ni ipi kati ya kutumia gundi yake au kuzibandika kwa kutumia cement.?
Fundi wangu kasema ninunue cement na dukani nilikonunua hizo ndude wanasema...
Vikoba kwa njia ya m koba ya voda jamaa wanatangaza kule fb je hivi inawezakena? Mimi nimeishia nae kwenye chati sasa sijamwelewa nisaidieni
https://www.facebook.com/reel/857641280753316/?mibextid=rS40aB7S9Ucbxw6v
Huyu mtoto anaharibikiwa kisaikolojia,mtoto anayetakiwa kushikwa mkono anamshika Mama yake mgongoni,kwa sababu Mama yake anatembea kwa magoti na mikono,yule mtoto anatazama watu anaogopa anahisi labda yeye ni kiumbe kingine,mtoto mdogo lakini kichwani kwake inaweza kuwa anawaza mambo mengi akiwa...
Salaam,
Bila porojo, inatokea nyakati feed imejaa threads zote umeshazisoma au uliziruka kwa kutovutiwa nazo, mtu unascrow hata nusu saa hakuna nyuzi mpya ni zile zile,
siamini kwamba eti nyuzi zote nimeshazisoma mpaka zijirudie hizo tu kuna muda mpaka naamua kuignore baadhi ya thread kwa...
Kwa miaka takribani 20 ya uwepo wa vyama vingi sikutarajia kukutana na chama cha upinzani kinachopambamia dola huku kikitegemea msaada wa kifedha kutoka nje ya nchi kufanya harakati zake za kisiasa.ni aibu kubwa sana.
Ni heri Kubakia na wazalendo wa C.C.M waliojenga chama chao kwa kushawishi...
Salam wana Jf
Nahitaji kufungua biashara ya wifi yaani nifunge wifi kisha niwe nawaunga jamii iliyonizunguka kwa 500 per 1hrs.
Ila sijui nianze na kitu gani gharama zake? Jinsi ya kudhibiti data washusha movies, umbali kiasi gani ndio mzuri? Kifurushi unlimited haijalishi kitamiwe kiasi gani...
Wakuu naombeni msaada wa video downloader ambayo isio ya kulipia maana nimejaribu kulipia snapany inakuwa inakataa ...ningefurahi zaidi kupata ya ku copy na ku paste link .... shukrani
Nina degree ya computer science.nimefanya kazi shirika binafsi ila kwa sasa sina kazi...Kwa yeyote anaeweza kunipa njia ya wap naweza ajiliwa au kuniajiri ntashukuru.
Habari za muda wana JF,
Katika harakati zangu za maisha nimejikuta tu nadondokea Njombe.
Nina wiki mpaka sasa. Maisha yamenichapa balaa. Mfukoni nina kama 1.5M, nikawa nawaza biashara ya viazi, kwa maana ya chips.
Naomba wazoefu wa mkoa huu wanaoujua vizuri wanielekezee. Hii biashara inalipa...
Habari humu ndani!
Mimi ni mwanamke miaka 29, elimu yangu form four. Natokea dar es salaam(goba).Nilikuwa na uhitaji wa kazi hasa shuleni ninauzoefu nayo,hasa kulea watoto na usafi.Kama kuna mtu ana connection pleas naomba anisaidie.
Naanza kwa kuwaponda viongozi wanaosafiri kwenda nchi za nje na kisha kurudi wakiwa na mashudu kichwani.
Ina maana gani ya kwenda nchi za watu mkarudi kichwa cheupe hata mjifunzi makosa au mbinu.
Hii sio kwa TRA ni kwa idara zote mpaka serikali nzima.
Mfumo wa TRA ulikuwa na njia rahisi ya...
Habari nina mgonjwa anaye tarajiwa kufanyiwa operation siku zijazo, ila ana changamoto nyingine ya kuishiwa damu mara kwa mara.
je naweza pata wapi sehemu ninayo weza kununua damu, angalau chupa 10.
I mean no malice to nobody
Asanteni wakuu, nimesha pata ufafanuzi na msaada zaidi.
Shukrani sana
Eti wakuu hiyo rangi hapo kwenye picha ni ya kupaka ndani au nje ya nyumba.?
Eti ni kweli kwamba rangi ikiwa na neno EMULSION haifai kupaka nje ya nyumba?
Kama rangi hii ni ya nje,je ni miongoni mwa rangi bora?
Kama sio,naomba mapendekezo ya rangi bora za kupaka nje.
Nyumba ilishapakwa...
Ninasumbuliwa na maumivu makali ya meno na fizi ila sina jino lolote lililotoboka wala kukatika maumivu hasa muda wa usiku nashindwa kulala ni makali mno maumivu yanaenda hadi kichani na kweye midomo ya juu na chini kama nimepakwa pilipili
Je hili tatizo linatibika kwa dawa gani msaada wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.