Noamba ushauri kuhusu suala hili la oil ya gari yangu

hp4510

JF-Expert Member
Jan 16, 2012
6,435
6,283
Jamani me natumia gari inaitwa nissan teana 230 na oil ambayo huwa natumia ni 5w40.

Sasa juzi nimeenda kuchange oil fundi anasema nakosea kutumia 5w40 bcoz ni nyepesi sana and natakiwa kutumia Sae 40 hiyo ndio inafaa.

Na niligoogle injini oil kwa Nissan teana Nikapata majibu kuwa 5w40 ndio mzuri zaidi.

Sasa wadau wenye uzoefu na haya mambo naomba ushauri
 
Mkuu hawa mafundi ni ushubwada...na lingine ni kwamba gari ni yako ikitokea imeharibika utambana nalo mwenyew yy hatokwepo so we fuata oil recommended uliyopewa kwenye gar usiskilize mafundi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani me natumia gari inaitwa nissan teana 230 na oil ambayo huwa natumia ni 5w40.

Sasa juzi nimeenda kuchange oil fundi anasema nakosea kutumia 5w40 bcoz ni nyepesi sana and natakiwa kutumia Sae 40 hiyo ndio inafaa.

Na niligoogle injini oil kwa Nissan teana Nikapata majibu kuwa 5w40 ndio mzuri zaidi.

Sasa wadau wenye uzoefu na haya mambo naomba ushauri
Achana na huyo fundi...
Anakuingiza choo cha stand peku...

Hiyo gari Engine oil viscosity yake ni 5w 30, Ukikosa hii weka 10w 30 ukikosa hii ndiyo ufanye last option kwenye 5w 40....

Usiwwke SAE 40, ni oil nzito sana kwa hiyo gari...

Tumeshajadili mada nyingi sana za engime oil humu, zitafute usome....

First choice must be 5w 30

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda kanunue oil na filter mwenyewe kwenye duka la kuaminikaa eneo ulipo.
Fundi mpelekee na usimamie kuhakikisha anatumia oil uliyompatia.Usikubali kununua oil unayoikuta kwa fundi,huwa wanabakia na vibobo hivyo kukuwekea oil ya sae 40 ambayo ni zito na bei rahisi.
 
Nenda kanunue oil na filter mwenye kwenye duka la kuaminikaa eneo ulipo.
Fundi mpelekee na usimamie kuhakikisha anatumia oil uliyompatia.Usikubali kununua oil unayoikuta kwa fundi,huwa wanabakia na vibobo hivyo kukuwekea oil ya sae 40 ambayo ni zito na bei rahisi.
Yaani wale sio tu wanabaki na sae40 mpya Bali mbovu ambayo either wametoa kwenye gari ya mtu na inaonekana angalau nzuri or wamenunua zile international za buku tatu litre 01

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii Sae-40 ni janga kwny nchi hii aisee,itabidi vitafutwe vipindi huko kwny media vya kuipiga vita hii kitu maana imeharibu na itaendelea kuharibu maelfu ya magari ya watu.

Itumike tu huko kwny matrekta n.k
 
Huyo fundi yuko pale Morocco upande wa jengo la Airtel Yan kwa ushauri ambao napata hapa mpaka sasa nawaza why alinishauri vile
 
Huyo fundi yuko pale Morocco upande wa jengo la Airtel Yan kwa ushauri ambao napata hapa mpaka sasa nawaza why alinishauri vile
Alikushauri vile kwa sababu.
1....Hana elimu...huenda ni std 7 failure..
2....Alikuja garage kujifunza ufundi, akakuta mafundi wakongwe wanatumia sae40, naye ikamkaa akilini.
3...Anatumia smartphone yake kupiga picha badala ya kugoogle info ambazo ni useful kuhusu field yake..

Please go for 5w 30 na utaona tofauti hata ya muungurumo wa injini especially pale unapowasha gari asubuhi..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom