Msaada: Naombeni kujua bei ya hii gari inatakiwa kuuza bei gani

JAMII BORA

Member
Apr 18, 2017
78
58
Habari wakuu na poleni kwa changamoto za Covid-19.

Nipo kazini hapa na boss Ritesh, ana gari yake ya passo ka-import mwaka jana mwishoni ili aiuzie kampuni hii ambayo yeye ni afisa manunuzi.

Sasa kampuni imeyumba kiuchumi, na Ritesh mkataba umeisha anatakiwa arudi India soon, hivyo kanipa kazi niulizie bei ya gari hii kama umetumia nusu mwaka unaweza uza kiasi gani. Mimi si mtaalamu wa magari na kwa kuwa ana haraka, humu jukwaani naamini wazoefu mtanipa bei ili apime kama inalipa.

Msaada hapa au kwa wasio member ukishindwa kucomment hapa tumia simu :0713 039875

Naomba msaada wenu wa busara na utaalam.

WhatsApp Image 2020-04-01 at 1.12.26 PM.jpeg
WhatsApp Image 2020-04-01 at 1.12.04 PM.jpeg
WhatsApp Image 2020-04-02 at 2.25.22 PM.jpeg
WhatsApp Image 2020-04-13 at 5.28.31 PM (1).jpeg
 
Habari wakuu na poleni kwa changamoto za Covid-19.

Nipo kazini hapa na boss Ritesh, ana gari yake ya passo ka-import mwaka jana mwishoni ili aiuzie kampuni hii ambayo yeye ni afisa manunuzi.

Sasa kampuni imeyumba kiuchumi, na Ritesh mkataba umeisha anatakiwa arudi India soon, hivyo kanipa kazi niulizie bei ya gari hii kama umetumia nusu mwaka unaweza uza kiasi gani. Mimi si mtaalamu wa magari na kwa kuwa ana haraka, humu jukwaani naamini wazoefu mtanipa bei ili apime kama inalipa.

Msaada hapa au kwa wasio member ukishindwa kucomment hapa tumia simu :0713 039875

Naomba msaada wenu wa busara na utaalam.

DEK sio ya mwaka jana kamanda unatakiwa, uuze million 4 fair kabisa
 
DE ni namba ya 2015 hio!

Mwambie Ritesh ajifunze kudanganya watoto kwanza maana huku kuna watu wazima wengi!

Kwa haraka haraka kama ni kigari cha piston 3 au 1KR (998cc) aje achukue mil 3 zake kabla sijabadili mawazo. Ikiwa piston 4 au 2SZ (1290cc) aje apewe 4M chaap kwa ukali!
 
Hizo namba unazijuaje mzeee hebu toa darasa kidogo
 
Kama unadili sana na magari wala haupati shida ya kujua mwaka wa usajili. Mwaka huo ni sahihi kabisa wa usajili wa hilo gari.
Pia akipata 6ml akachinje na bata kama sio kuku.

Kwa sasa bei za magari zimeshuka sana hasa hizi tunasema za mkononi
Unaijuaje sasa mkuuu au zipo alfabetical au ipoje
 
DE ni namba ya 2015 hio!

Mwambie Ritesh ajifunze kudanganya watoto kwanza maana huku kuna watu wazima wengi!

Kwa haraka haraka kama ni kigari cha piston 3 au 1KR (998cc) aje achukue mil 3 zake kabla sijabadili mawazo. Ikiwa piston 4 au 2SZ (1290cc) aje apewe 4M chaap kwa ukali!
Kwamba tatu kama tatu million 😂😂
 
Back
Top Bottom