msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania Msaada: Boss wangu hataki kunipa mkataba wa kazi, ananiahidi na kunizungusha

    Habari, Naomba msaada wa kimawazo, Boss wangu hataki kunipa mkataba wa Ajira ijapokua nafanya kazi kwa sasa nina mwaka na miezi mitatu, la kila siku nikimkumbusha anaahidi uongo. Ni company private. Nataka kuchukua maamuzi ya kuacha kuja kazini hadi pale atakapo nipatia mkataba huo. Ni...
  2. JamiiForums Tanzania Msaada sites ambazo naweza kudownload material ya kufundishia darasa la 1 mpaka la nne

    Naomba website za kibongo kwa material ya shule za msingi ambazo ni free na hazina complicated log in
  3. JamiiForums Tanzania Msaada: Ninataka kuanzisha kikundi cha wanaume

    Habari zenu ndugu zangu Mimi nimepata idea ya kuanzisha kikundi cha wanaume. Kikundi hicho kitamhusu mwanaume pamoja na jamii. Kikundi hiki kitaanzisha miradi mbalimbali kwa mfano viwanda, mashamba n.k. ilimradi tupunguze ukosefu wa ajira katika jamii lakini mambo yakienda sawa kikundi...
  4. JamiiForums Tanzania Msaada: Nimepatwa na changamoto kwa "Wife" na huyu dada

    Nimeyumba kidogo kiuchumi toka mwezi wa 1. Kutokana na Corona na sehemu nyingi duniani kuyumba kiuchumi pia. Binafsi huwa nanunua kila kitu mwisho wa mwezi na kuweka nyumbani, kila kitu kwa maana ya kwamba hata ikitokea mwezi mzima tukaamua kukaa ndani bila kutoka tutaishi vizuri tu. Pia...
  5. JamiiForums Tanzania Msaada wenu wajuzi wa computer: Bitlocker password kwenye external HDD

    Habarini za muda huu, naomba msaada wenu, kwenye ili, nina HDD (Hard Disk Drive) niliitaji kuiwekea password basi siku ya ijumaa saa 3 asubuhi nikafanya ilo zoezi nilifata procedure zote ila ilipoanza kufanya zoezi la kusoma percentage baada ya ku-react password, ilisoma percentage siku nzima...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Tumbo lina nguruma kama kusikia vitu vinatembea vidonge umemeza hakuna msaada

    Wengi wetu huwa tunakaa au umelala unasikia tumbo lina nguruma au kuna kama minyoo inasikika ikibishana huko ndani, huwa unaweza ukakaa na mwenzio ukasikia na yeye tumbo lina nguruma, mara nyingi huwa tunahisi labda huenda ni chakula hakijaiva na huenda ni dalili za kuharisha au maziwa...
  7. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapambano ya Corona: Kenya yapata msaada wa $78M kutoka Umoja wa Ulaya (EU)

    Katika kupambana na madhara ya corona Kenya imeendelea kupokea misaada kutoka nchi mbali mbali Duniani ili kusaidia sekta ambazo zitaathirika zaidi. Hadi sasa Kenya imeshapokea msaada wa Dollar Millions 350 kutoka umoja wa ulaya na nchi moja moja za ulaya zimeichangia Kenya Dollar Million 33...
  8. JamiiForums Tanzania Msaada wa kutopata jumbe za kampuni za simu

    Wakuu, nimekuwa natatizwa mno kwa kupokea jumbe toka kampuni za cm za Airtel na Vodacom mpaka wakati mwengine zinajaa. Ili kuepukana na hii adha naomba njia ya kufanya. Aksanteni.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ni namna gani Muhitimu wa Kidato Cha sita au Shahada yeyote anaweza kuji unga na kada za kijeshi kama Polisi na Migration

    Wana jamvi habari I za wakati huu na amini wote wazima munazidi kupambana vyema na janga la COVID19 inayo sababibishwa na kundi la VIRUS'S aina ya CORONA. Kama kichwa kinavo jieleza apoo juu msaada tafadhali ivii Ni namna gani mtu hasa kwa muhitimu wa kidato Cha sita au shahada yeyote anaweza...
  10. JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kitabibu na kunijuza mtaalamu anaeshugulika na magonjwa ya akili 'Best Psychiatrist'

    Habari Zenu wandugu! Nina kijana wangu ni rafiki yangu sana! Amekumbwa na dalili zifuatazo. 1. Anaumwa na kichwa sana. 2. Anapoteza kumbukumbu. 3. Highly attract negative thoughts. 4. Anasikia ngumu kufanya maamuzi madogo tu. 5. Anashindwa kuongea kwa kunyoosha sentensi. 6. Anakosa...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Msaada tunaomba Mhe. Paul Makonda atusaidie, Kampuni ya Jog imechukua fedha za wawekezaji

    Ndugu zangu, Naamini hapa jamvini watu wa aina mbalimbali na nyeti wanasoma jumbe hizi. Kampuni ya Jog Agri-Consult & Solutiions (T) Ltd chini ya wakurugenzi wake Grace Mzoo (Mkurugenzi Mtendaji) pamoja na Jackson Bwire pamoja na Mhasibu wao Cecilia Bukukura imechukua pesa za wawekezaji wa...
  12. JamiiForums Tanzania Msaada: Laptop yangu inakataa kuconnect na internet

    Habari yako, PC yangu kwa muda sasa kila nikijaribu kuconect internet kupitia simu yangu inasema "Limited" na status yake inasema "unidentified network" na "no internet access", natumia windows 8. Nimekuja hapa kuomba msaada wenu wa jinsi ya kulitatua tatizo hili.
  13. S

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Mirija ya Uzazi kuziba: Changamoto na tiba yake

    Wana Jf tafadhari naomba kama kunamtu anajua dawa ya kuzibua mirija ya uzazi , kwani nimepima hospitali wamesema mirija imeziba siwezi kupata ujauzito.
  14. P

    JamiiForums Tanzania Msaada naomba kujuzwa ofisi za NACTE zinapopatikana kwa mkoa wa Mbeya

    Natumaini mpo vizuri wakuu, Naomba kuuliza ofisi za NACTE ziko sehemu gani hapa mkoani Mbeya? Msaada please mimi ni mgeni mkoani hapa
  15. JamiiForums Tanzania FAMM (AMTL) Co. walivyopeleka msaada wa kujikinga na Corona kwa Watoto wa Huruma

    Habari za mida huu, mapambano ha Corona yanaendeleaje huko? Narudi kwenye point ya msingi hapa, nimekuja kugundua kuwa watu wengi wenye uwezo kidogo wa kujipatia mahitaji ya kila siku basi kwa namna moja au nyingine ni rahisi sana kusahau kwamba kuna watu wenye uhitaji wapo sehemu hivyo huwa na...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mtoto anaumwa kifua kilichosababishwa na kunywa maji machafu wakati anazaliwa

    Naomba msaada wa matibabu kwa mtoto anayesumbuliwa na kifua ambacho inasemekana kimesababishwa na kunywa maji machafu wakati anazaliwa, kwa sasa anaumri wa mwaka mmoja na miez 6 ameanza kusumbuliwa na kifua anashindwa hata kupumua hadi wampepelee ndo anapata nafuu. Naomba msaada kwa mwenye...
  17. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu Bima ya Afya

    Hello habari, Naomba kufahimishwa kuhusu hili. Iko hivi, nilimtengenezea Bima ya Afya mke wangu mwaka juzi. Kwa bahati mbaya maradhi yakamwondoa. Changamoto nilioipata ni kushindwa kuipata kadi ya bima ya afya baada ya umauti wake. Sasa ninajipanga kuoa tena soon nilikua nataka nitoe...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Msaada, nikienda Mahakamani naweza sikilizwa?

    Mimi ni muajiriwa Serikalini. Nilikopa kwa watu wanaotoa riba alafu yeye anabaki na kadi yako ya benki mshahara ukiingia anachukua. Tulienda nao vizuri baadaye Mambo yaka ingiliana uwezekano wa kuwalipa ukawa haupo nikaanza kuwapiga chenga mshahara ukiingia Mimi natoa kwa NMB Mobile. Jamaa...
  19. O

    JamiiForums Tanzania Tatizo la upele Kidevuni: Chanzo na matibabu yake

    BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA KUHUSUNSHIDA HII Jamani wana JF naombeni msaada wa ushauri wenu kwani kwa muda mrefu sasa ninasumbuliwa na tatizo la kutoka mapele ya ndevu mara baada ya kunyoa, nimejaribu aftershave nyingi tu lakini naona bado hazijanikubali. Kwa sasa hivi nilikuwa natumia...
  20. JamiiForums Tanzania Naombeni aina ya adhabu nje ya kumchapa viboko Mtoto 'Mtukutu' wa kati ya Miaka 7 hadi 9 tu

    Nilidhani Fimbo zangu za Kiserikali / Za Wastani ambazo ni Nne ( 4 ) pekee zingekuwa ni sehemu ya Kumbadilisha Mtoto ila nimegundua ya kwamba hizo ' Bakora ' za Kiserikali hazisaidii kabisa ' Kumuadabisha ' Mtoto hivyo sasa nataka Msaada wenu wa aina ya Adhabu ' Kali ' zaidi za Kumpa Mtoto ili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…