msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Msaada wa Postgraduate Diploma katika Recategorization

    Poleni na majukumu wakuu.Mungu ni mwema kila wakati. Kwa wale walio kazini nafikiri watakuwa wanajua kuwa, mtu aliyesoma degree tofauti kwa mfano ktk Elimu anaweza akafanya Postgraduate diploma in Education na akaajiriwa kama mwalimu sawa na yule mwenye Bachelor of Education. Sasa kwa mfano...
  2. M

    Msaada kwa anayejua kuhusu Recategorization

    Poleni na majukumu wakuu. Mungu ni mwema kila wakati.. Kwa wale walio kazini nafikiri watakuwa wanajua kuwa, mtu aliyesoma degree tofauti kwa mfano katika Elimu anaweza akafanya Postgraduate Diploma in Education na akaajiriwa kama mwalimu sawa na yule mwenye Bachelor of Education. Sasa kwa...
  3. Msaada: Mafundi bora kabisa Dar es Salaam wa kunyoosha na kupiga rangi

    Habarini? Gari yangu imepata michubuko kwenye upande wa nyuma na kwa pembeni, nahitaji kurudia rangi sehemu hizo tu na rangi iwe inashahabiana kwa walau 80% au zaidi hapa Dar es Salaam, kwa anayefahamu mafundi bora wanaoweza kuifanya hii kazi anisaidie walau contacts au location. Shukran!
  4. Libya: Waziri Mkuu wa zamani aliyeongoza mapinduzi yaliyomuondoa Gaddafi madarakani afariki dunia kwa Virusi vya Corona

    Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Mpito nchini Libya, Mahmoud Jibril amefariki dunia baada ya kupata maambukizi ya Virusi vya Corona. Imeelezwa kuwa Kiongozi huyo wa zamani aliyeongoza mapinduzi yaliyomtoa madarakani Marehemu Muammar Gaddafi mwaka 2011 alilazwa Hospitali baada ya kupata Mshtuko wa Moyo...
  5. Msaada: Kuna aliyekutana na hii "2020 Annual Visitor Survey" kutoka Opera Browser?

    Habarini, Mimi ni mtumiaji mzuri wa Opera Browser, yaani huwa sina mtindo wa kupakua Apps kujaza kwenye simu. Kutokana na hilo leo kila nikijaribu kuingia kwenye internet web yoyote unakuja ujumbe usemao "Dear Opera user, you are today's lucky visitor for April 5 2020. Please complete a short...
  6. Msaada tafadhali kuna kitu kinanisumbua juu ya kutaftana wapenzi

    Mambo vipi wapendwa wa love connect? Leo nimekuja na hoja moja inayotatiza kichwa change Huwa tunaambiwa kuwa wanaume ni wachache kuliko wanawake , tena wengine wanaenda mbali kusema kuwa ni kama 66% ni wanawake alaf 33% ni wanaume Je hoja hii ina mashiko kias gani? Au nimwamini prof Tibaijuka...
  7. O

    Naomba kujuzwa dawa ya sanza kwa mtoto

    Nahitaji dawa ya mtoto kutoka mfereji kichwani (nzasa).
  8. Msaada: Simu ku-stuck na kujipress yenyewe.

    Habarini, Rejea title inavyosema. Nina simu yangu ya Android (Tecno Spark III) yenye tatizo kama nilivyoeleza kwenye title. Ina kama siku ya nne tangu ilivyoanza kuleta shida ambapo ilianza kwa kustuck... Kadri siku zinavyokwenda tatizo linazidi kuogezeka kiasi cha kuanza kujipress yenyewe...
  9. Tatizo hili linanitisha juu ya mwanangu. Msaada jamani!

    Mwanangu baada ya kumpa uji leo asubuhi niliochanganya na mafuta ya Habbat souda na asali... Akawa anajiangalia tumbo lake kama analipiga piga.. Nikadhani linamuuma labda au ameshiba sana... Shida alipojisaidia toka asubuhi yake kabla sijampa huo uji nilioeleza hapo. .. ALIJISAIDIA KINYESI...
  10. Msaada kwa anaejuwa chanjo ya kuku wa kienyeji

    Wadau habari za jioni, naomba nijikite kwenye mada Kama inavyo someka, anayejuwa chanjo ya kuku wa kyenyeji tafadhari anisaidie maelekezo
  11. Msaada wa sheria kwa nyumba iliyoungua moto

    Habari zenu wadau:- Kuna nyumba ya jamaa wangu, imeteketea kwa moto kutokana na hitilafu ya umeme, kutokana na ajali hiyo, nyumba na vitu vyote vimeteketea. Je naweza kuanzisha kesi ya madai? Naomba muongozo jinsi ya kuanzisha kesi ya madai kwa TANESCO.
  12. Msaada: Laptop Screen Record

    Wana JF, natanguliza shukrani za dhati kwenu. Pia, tuzidi kumuomba Mungu kwa kipindi hiki kizito tunachopitia #Covid19 MADA Kama ilivyo ainishwa hapo juu, nina tatizo la kufanya screen recording katika PC yangu. Nimejaribu kutumia software ya CAMTASIA 2018; shida ni kwamba PC inakuwa nzito ku...
  13. Wizi waongezeka Mbezi Beach: Serikali za mitaa mmewashindwa wale watoto wa Kawe? Polisi Kawe mbona wakiletwa wanaachiwa shida nini?

    Wizi mkubwa na ujambazi wa aina yake umevamia maeneo ya Mbezi Beach kuanzia mto Kawe kupanda juu na kuvuka mpaka JK Nyerere school. Vijana wa kihuni wakitembea kuanzia watano wamekuwa wakikaba mapema sana na hali hii imefanya wananchi kukosa amani kabisa. Wale wanaotumia mto Kawe ndio balaa...
  14. Msaada wa Key ya Windows 10 Pro

    wapendwa naomba msaada wa jinsi ya kuactivate windows 10Pro , key nimezipoteza na ina expire soon.
  15. N

    Msaada kurekebisha samsung galaxy s7 edge camera

    Habari wakuu usikeni na kichwa cha habari apo juu simu yangu samsung galaxy s7 edge tangu juzi imeanza tatizo la kutofungua camera please wajuzi tusaidiane niweze tatua ili tatizo.
  16. Msaada naomba ufafanuzi katika hili la hedhi ya siku mbili na ujauzito

    Hivi mwamke anaetumia siku 2 tu kwa hedhi anaweza pata uja uzito na siku zake hatar kwa yai kushuka na kushika mimba ni zipi.
  17. T

    Marekani Waiomba China msaada

    CHINA YAKUBALI KUISAIDIA MAREKANI KUPAMBANA NA CORONA China imekubali kutoa msaada kwa Marekani ambayo imethibishwa kuwa na maambukizi mengi zaidi ya virusi vya corona kuliko nchi nyingine duniani, ikiwa na zaidi ya wagonjwa 85, 500 kwa mujibu wa chuo kikuu cha Johns Hopkins, Marekan Source...
  18. Naomba msaada jinsi ya KUROOT TECNO LC6

    Nahitaji KUROOT TECNO LC6 Naombe
  19. H

    Naombeni msaada kwenye hili

    Jana ndugu yangu alienda kupima Corona baada ya kupimwa akataka aondoke baada ya kumaliza kupimwa akaambiwa akae kwanza karantini mpaka kesho yake na majibu atapewa hiyo kesho. Na Mungu mkubwa matokeo amepata negative ila wamemzuia kuondoka leo bila kutoa gharama ya kuwepo karantini ambayo...
  20. A

    Msaada wa haraka tafadhali

    Kuna kazi zimetangazwa na NMB lakini kila nikijaribu kulogin inani katalia pasword siikumbuki. Nikiweka email nikaenda kwa forgot pasword ili wanitumie link ya kujireset inanipa majibu haya: Notice SMTP Error: Could not authenticate. Je, ni system yao inasumbua au? Naomba msaada nijue nini cha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…