sacred wall
JF-Expert Member
- Aug 9, 2017
- 804
- 1,318
Nina kipande cha ardhi. Ni unsurveyed nilinunua kwa mtu. Nikaenda kucheki status yake ardhi, nikakuta humo kuna ramani za open space, Msikiti, Kanisa, Soko etc. eti sehemu hizo zimeshakuwa marked for those activities. Mwenye eneo anasema hajawahi kupimiwa na hajui nani alifanya hayo.
Nataka kujenga maana nilinunua kwa madhumuni fulani. Sheria inanilindaje na eneo langu kuvamiwa na hawa Halmashauri?
Nataka kujenga maana nilinunua kwa madhumuni fulani. Sheria inanilindaje na eneo langu kuvamiwa na hawa Halmashauri?