Msaada simu inapata joto

chibi

JF-Expert Member
Mar 21, 2013
240
65
Habari wakuu,

Nina simu ya mtumba nilinunua kama wiki tatu Sasa ila ina mtindo wa kupata joto nikiwasha data kidogo au nikiunga Hotspot na pc au hata niwasha baadhi ya apps. Cha ajabu naweza play audio usiku kucha na isipate joto au naweza ongea na mtu Muda mrefu still isipate joto

Aina ya simu ni: Samsung galaxy note edge.nilinunua na betri Aina ya excellent

Msaada wenu wadau plz
 
Yes mara nyingi betry ikianza kuisha nguvu inakuwa hivi,na ili kuipunguzia kazi kidogo iweke 3g kuliko 4g muda wote.
Lakini battery haina hata mwezi mkuu vp Hapo ni mwezi huu tar 7
 
Habari wakuu,

Nina simu ya mtumba nilinunua kama wiki tatu Sasa ila ina mtindo wa kupata joto nikiwasha data kidogo au nikiunga Hotspot na pc au hata niwasha baadhi ya apps. Cha ajabu naweza play audio usiku kucha na isipate joto au naweza ongea na mtu Muda mrefu still isipate joto

Aina ya simu ni: Samsung galaxy note edge.nilinunua na betri Aina ya excellent

Msaada wenu wadau plz
Weka kwenye friji
 
[SUP]m[/SUP]

Ni Samsung galaxy note edge mkuu
Dah mkuu,hizi zote nadhani muda wake wa duniani ndio unafanya hata.

Yaani s7 kushuka chini,ni ngumu sana kutulia hasa upande wa betry maana hata betry zenyewe ni kama zimeshaexpire.

Tatizo linaanzia unapowasha data.
 
Back
Top Bottom