Nahitaji msaada kama umewahi kutana na changamoto hii

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,468
23,744
Kuna tatizo linanisumbua ni week ya tatu sasa. Nmesafiri kikazi nipo sehemu ya mbali kidogo. Nlifanikiwa kusafiri na secretary ambaye tuna mahusiano ya kimapenzi.

Huku tuliko tunatakiwa kukaa miezi 4 kuna training inafanyika nje ya nchi.huyu dada tulikubaliana ili kubana matumizi tu share room hapa hotel but pia kupeana kampani.

Yeye hajaolewa so yupo huru.dada ni mzuri kwa sura na umbo pia.ni mwanamke ambaye wanaume 10 kati yao 7-9 watasema ni mzuri sana.

TATIZO NI NINI?
huyu dada anakoroma sana usiku. Siyo kidogo.anakoroma kwa sauti mbalimbali ambazo umewahi sikia za mtu kukoroma.

Hapo ndo napata changamoto.binafsi mtu akikoroma nashindwa kabisa kulala.nakumbuka chuo nliwahi kuhama room baada ya kupangiwa room na jamaa anayekoroma.huwa siwezi kulala na ninakereka sana.

Huyu dada ukimwamsha dk moja akigeuka anakoroma tena.sometimes unamwita anaitika akimaliza tu anarudi kukoroma.huwa sielewi inakuaje.nmefikia hatua nameza dawa za usingizi coz najua nikishtuka tu usingizin nikakuta anakoroma ndo silali tena.

Nashindwa kusema nihame room.akiwa hajalala hamna shida tunaenjoy sana tu pamoja.tunafanya yote kwa furaha kama wapenzi wanavyotakiwa kufanya.lakini shida tu inakuja usiku tukilala.

Je, kuna dawa yoyote ya kumsaidia mtu wa namna hii? Kwa mwili yes ana mapaja na makalio makubwa.juu si mnene sana.umbo namba nane.shida inaweza kuwa nini ili pia nimsaidie.maana kiukweli mimi napata shida sijui yeye anajisikiaje.
 
Graduate Anaomba Ushauri Haa 😁😂
Hawa Ndiyo Rais Anawajibu Majukwaani Pumb*v*
Mmekwenda Kuzini Halafu Unataka Dawa Ya Kuzuia Kukoroma. Vitu Vidogo
 
Back
Top Bottom