Msaada wa Kiufundi kuezeka nyumba

bujaganoni

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
561
452
Habari ya mchana wadau wa JamiiForums.

Naomba kusaidiwa kwa anayefahamu, kuna nyumba yenye urefu wa 15m kwa 16m inatakiwa kuezekwa kwa bati za msouth, Gharama yake ya kuezeka inaweza kuwa kiasi gani.

Ahsanteni!
 
Back
Top Bottom