Msaada wa dawa nzuri ya mafua/kikohozi kwa mama mjamzito

KITAULO

JF-Expert Member
Apr 27, 2018
1,926
2,776
wadau,

Ninaomba ushauri wa dawa nzuri za mafua au kikohozi kwa mama mjamzito wa mimba ya week 37-38.

Dalili ni;
kikohozi kikavu
kubanwa na kifua
pua kuziba

natanguliza shukrani zangu.

regards.
 
Use..
Amoxicillin for 5days,
Chloropheniramine for 3days.

Hapo kupona muhimu.. akila na matunda matunda.
 
inasemakana hizi siyo nzuri sana... Aminophylline plus Chloropheniramine
Chlorpheniramine haina shida yoyote, see photos below.
Lakini Aminophylline used for precaution, it need a direct prescription from the Physician.
 

Attachments

  • Screenshot_20200806-170424~2.png
    Screenshot_20200806-170424~2.png
    7.3 KB · Views: 277
Kifua hua kinambana hata kipindi hajashika Mimba?

Huwa inatokea ..but hii ys sasa hivi imetokea ghafla tu....kipindi chote cha mimba hajawahi kupata mafua ya kumbana hivi.
 
Back
Top Bottom